Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

https://www.instagram.com/p/Ddu3mhyoS9n/
1 Reactions
0 Replies
42 Views
Acha Kiherehere cha Kutaka Kuona Yasiyoonekana Utazika Furaha Yako Milele! Watu wengi mpo hai na mna amani kwasababu tu Mungu amewaziba macho msione uchafu na uozo unaowazunguka. Mnaishi kwenye...
9 Reactions
50 Replies
1K Views
Kuna watu wanatafuta hela kwa nguvu, lakini hela ikiingia tu inatafutwa starehe. Leo unakopa ili uonekane una maisha. Kesho unahangaika kutafuta hela ya kurejesha deni. Mzunguko unaanza tena...
0 Reactions
4 Replies
75 Views
Speak english only. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
126 Replies
7K Views
Nakumbuka siku moja nikija kwenye msoto na ukata + jobless,nimekaa zangu nasikiliza redio flan kipind cha michezo. Mara likatolewa TANGAZO LA KAZI,nikaona fursa hii hapa,nikanakiri zile namba...
2 Reactions
5 Replies
221 Views
Kumekua na wimbi la wadanganyika wakiamini kuwa AZUMA ( Azithromycin ) ni dawa za kutibu UTI . Hii kitu imesambaa sana kiasi cha wimbi kubwa la watu wakizibugia kama pipi , huku wakiamini...
24 Reactions
131 Replies
2K Views
Kwa zaidi ya wiki moja nimekuwa nikihisi kana kwamba kuna mdudu anatambaa tambaa kwenye bega langu la kushoto. Nikipapasa sehemu hiyo sioni kitu. Leo nikasema "enough is enough"(yatosha sasa)...
18 Reactions
62 Replies
2K Views
Jana usiku majira ya saa sita usiku kuna kijana wa kiume umri miaka 24 ni member mgeni akiwa na posts 9 tuu, alipost akitangaza kuwa yeye ni shoga na anatafuta basha. Kwa muda mfupi kabisa post...
45 Reactions
263 Replies
40K Views
Wako baadhi ya watu wanaoota ndoto wakiwa kifua wazi, wako peku, wako uchi kwenye ndoto Ndoto zote hizo ni moja hatakama zinakuja tofauti-tofauti na tafsiri yake ni UMEFUNGWA NA ROHO YA...
6 Reactions
15 Replies
218 Views
Kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Michael Mwendapole (22), maarufu kwa jina la Juja wa Ubalozini amefariki dunia baada ya kudaiwa kuchomwa kisu katika tukio lililotokea kwenye nyumba moja ya...
2 Reactions
13 Replies
242 Views
  • Redirect
WAZIRI AKWILAPO AZINDUA KLINIKI YA ARDHI YA KIDIJITI MTWARA MTWARA Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt. Leonard Akwilapo, amezindua rasmi Kliniki ya Ardhi kidijiti mkoani...
0 Reactions
– Replies
– Views
MTWARA Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt. Leonard Akwilapo, amezindua rasmi Kliniki ya Ardhi kidijiti mkoani Mtwara huku akiwataka wananchi kutumia fursa hiyo kupata...
1 Reactions
1 Replies
166 Views
Utambulisho wa JamiiSound: Platform ya Kusambaza na Kusikiliza Muziki (Music streaming platform) katika hatua zake za awali. Tunafurahi kuwatambulisha Watanzania wenzetu JamiiSound, moja kati ya...
5 Reactions
15 Replies
140 Views
Alafu koku lazima awe mweusi mrefu kiasi sio mnene ,ila natasha wengi wao ni weupe alafu wana makebo makubwa koku ni wana maneno mengi saanaa, alafu natasha ni mabingwa wa vizinga
6 Reactions
32 Replies
329 Views
Habari za miaka kadhaa wakuu kwema ni mm fundi bishoo bishoo fundi napenda kuwajulisha kuwa mwakani nataka kujenga na kununua gari nashukuru pia nmeoa kwa sasa nina familia na pia na majukumu...
3 Reactions
33 Replies
299 Views
Tanzania inaelekea kuanzisha huduma za usafiri wa magari ya kamba (Cable Transport) baada ya Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) kuanzisha kitengo maalum kitakachosimamia na kudhibiti aina...
2 Reactions
7 Replies
422 Views
Hii vita bashite hawezi kushinda kwa ninavowajua Hawa GSM kwa sasa nguvu Yao ni kubwa na Wana ushawishi kwa mama kizimkazi kumzidi Albert bashite.
4 Reactions
34 Replies
687 Views
Wananchi wa Mkoani Njombe wamepata hati miliki za makazi kupitia Ardhi Kliniki, kwa kutumia mfumo wa kidigitali wa e-Ardhi ambapo zoezi hilo limefanyika Mtaa wa Idundilanga kwa ushirikiano wa...
0 Reactions
0 Replies
40 Views
Kamishna wa Ardhi Msaidizi Mkoa wa Manyara, Bwn. Erick Makundi, akikabidhi hati kwa mmoja wa wananchi waliojitokeza kupata huduma katika Kliniki ya Ardhi ya Mkoa, inayofanyika katika Viwanja vya...
0 Reactions
0 Replies
68 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…