Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Zamani (kabla ya smartphone) nilikuwa nikitaka kudownload miziki naingia Waptrick. Simu kubwa zilipokuja nikaona process za kudownload kwenye browser ni ndefu kwanza vitu vyenyewe unakuta...
17 Reactions
37 Replies
3K Views
Wadau Tusitishane, Tusipangiane na Tusilazimishane. Wengi wa vijana wa ccm {kada} watiifu wamekuwa hivyo kutokana na wazazi wao kuwa watendaji wa vijini/kata, wengine ni watoto wa waalimu hawa...
3 Reactions
15 Replies
752 Views
Wakuu Hili Jambo limenikera Sana Iko HV ,Mimi nilikuwa mtumiaji wa pombe yaani kwa kifupi nilikuwa nabungia Kweli kweli pombe na pombe zangu ilikuwa ni kama ifuatavyo Napenda kutumia Kilimanjaro...
13 Reactions
65 Replies
6K Views
Ebana daah hii Kila inapopigwa nakumbuka tu Ile style ya suti bwanga, mkoti mkubwa🤣na wanchoma kumoyo, umenyoa afro fulani hivi. Zile chupa bia zilikuwa kubwa kubwa kishenzi "ilikua ikifika...
2 Reactions
24 Replies
1K Views
Habari wakuu, kuna yeyote anayefahamu utaratibu na gharama za kufuata ili kupata long term parking katika uwanja wa kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA). Nina safari nje ya Dar kwa siku tatu, na...
7 Reactions
89 Replies
9K Views
Watu kadhaa ambao idadi na majina yao hayajajulikana wanahofiwa kufariki dunia baada ya ajali iliyohusisha magari matano, bajaji nne na pikipiki moja eneo la Mbembela jijini Mbeya. Ajali hiyo...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Jana pita pita yangu, nimeikuta jezi ya Yanga nimeambiwa 45 elfu. Nia ilikuwa ya kununua na kufanyia mazoezi. Nilidhani elfu 5 tu. Najiuliza hivi mtanzania maskini ananua majezi ya club kwa bei...
10 Reactions
24 Replies
1K Views
Wakati natoka home kuelekea kuangalia mpira nikapitia maeneo ya machinjioni mtaani kwetu . NIMEKUTANA na ngombe mnyama akiwa amelala chini huku akiwa amevunjika mguu wa nyuma mfupa uko nje...
12 Reactions
28 Replies
1K Views
Kuna Mambo mengi ya ajabu na ya hovyo Yana fanywa na viongozi wetu lakini wanainchi wapo kimya Kuna mikataba ya hovyo Ina fanyika lakini wanainchi wapo kimya Kuna billions zinaibwa zinafichwa na...
34 Reactions
107 Replies
4K Views
Habari ya jioni wakuu poleni na msiba, naomba niende kwenye maada tajwa hapo juu. naomba ikiwa kuna afisa wa TRA kwenye upande wa forodha kwa mpka wa Tunduma au makao makuu HQ nakuomba inbox...
1 Reactions
4 Replies
379 Views
Shirika la ndege Tanzania- ATC Anzisheni haraka safari za kutoka Dar/Kilimanjaro kwenda JFk New York USA, sababu Kuna abiria wengi sana Toka USA kuja Tanzania. Changamkeni
3 Reactions
9 Replies
814 Views
𝙏𝙝𝙧𝙚𝙚 𝙎𝙩𝙤𝙧𝙞𝙚𝙨 𝙩𝙤 𝙗𝙤𝙤𝙩: 1. Nokia refused Android 2. Yahoo rejected Google 3. Kodak refused Digital Cameras 𝙇𝙚𝙨𝙨𝙤𝙣𝙨: 1. Take chances 2. Embrace the Change 3. If you refuse to change with time...
2 Reactions
1 Replies
290 Views
Dar es Salaam, Tanzania, 25 Novemba 2024 – MultiChoice Tanzania imetangaza ushirikiano na Vodacom Tanzania PLC, kampuni inayoongoza katika mawasiliano ya simu nchini, kwa ajili ya kuzindua Showmax...
3 Reactions
3 Replies
715 Views
Kipi special sanaa katika hii dunia kinachoweza kunijali kwa dhati eti nikionee huruma??? Eti kinifanye nicheze kwa standards zilizo fair, hakipo, so ni muda wa kuwa ruthless. Anaekuhubiria uache...
4 Reactions
5 Replies
498 Views
guest-1787677623
Naamini JF ni Platform kubwa na hata Rais wa nchi na viongozi wengine wanapitia humu. Naanza kwa kudeclare interest binafsi ni Mtumishi wa umma na mshahara ni haki yangu kama ninavyotimiza wajibu...
5 Reactions
43 Replies
5K Views
Kwanini mnaomba maisha marefu hapa duniani wakati kuna maisha mazuri mbinguni kwa baba? Kwanini kifo kinaogopwa wakati ni njia ya kwenda kwa baba kula raha, kufurahia maisha mazuri yasiyo na dhiki?
6 Reactions
42 Replies
1K Views
Oy wanangu niaje Huko chama la wana michezo ya pollonium imezidi vijinafasi vya kupokea hela za mchezo vinawacost sana Watu wanacheza mchezo mbaya wa pesa vijumbe ndo wanatumiwa kuupeleka...
3 Reactions
42 Replies
2K Views
WATOTO HAWATELEKEZI BABA MWENYE NGUVU YA KIFEDHA NA AKILI Mara nyingi sana tunaona na kusikia visa na mikasa Ya jinsi wababa ambao wamesogea kiumri sana...🥸🥸🥸 Wakilalamika kukimbiwa na watoto...
5 Reactions
10 Replies
877 Views
Back
Top Bottom