Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hii njia ya Kwenda, Da Rainbow katikati ukitokea Tankibovu, wamefungua club. Yaani watu hawalali... Kiufupi ni nzuri hatupingi, lakini wengi wamelalamika watafute jinsi ya kupunguza sauti isizidi...
2 Reactions
11 Replies
638 Views
Hii mada inawahusu ma expert na wale wrnzangu na Mimi, Yaani wale ambao hawana elimu au elimu yako sio dili katika soko la ajira ulimwenguni. Tanzania ukilipwa mshahara hata millioni Moja na...
17 Reactions
73 Replies
5K Views
Nimeona hii habari kuna mradi wa ujenzi chuo cha SUA na kama inavoonekana kwenye picha hapo mkandarasi kutoka china ndio kapewa tenda. Hivi tuwe wakweli jamani hivi mradi wa majengo kama huo kuna...
1 Reactions
8 Replies
592 Views
Kuna stori nyingi hasa za wanafunzi wa shule za sekondari kuona au kukutana na viumbe wa ajabu ajabu wasioeleweka ambao wamepewa jina maarufu la vibwengo. Stori nyingi huwa zinawahusisha hawa...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) limeendelea kuonyesha ubora wake katika usimamizi wa fedha baada ya kutunukiwa tuzo ya mshindi wa tatu wa Uandaaji Bora wa Hesabu kwa Mashirika ya Umma kwa...
0 Reactions
0 Replies
399 Views
Katavi Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Geophrey Pinda amewataka wenyeviti wa vijiji na vitongoji nchini kuacha kuuza ardhi za wananchi kinyemela ili kuzuia migogoro ya ardhi...
1 Reactions
1 Replies
315 Views
Naomba kuuliza, je hii mifuko ya kijamii e.g NSSF fao la uzazi wakikupa , fedha wanakuwa wameipunguza kwenye michango yako, au wanakupa free kwa sababu michango yako inawazalishia riba.
0 Reactions
0 Replies
688 Views
Nyoka wa sumu ana uwezo mkubwa wa kujilinda, hivyo kwa kawaida atafungua mdomo baada ya kukuuma. Lakini sumu yake ni hatari, unahitaji kutibiwa mara moja. Nyoka aina ya cobra ana sumu inayoharibu...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Naombeni mnisaidie nimechoka kuwa mjuaji na kuumiza kichwa changu kwa swali ambalo wadau wana maswali aisee hivi kwanini nyoka hana miguu na anatembea na yawezekana anakimbia kuzidi binadamu? Na...
5 Reactions
51 Replies
2K Views
Nimeikumbuka hii kesi baada ya kuisikia sauti ya hayati kwenye radio wakati anatangaza kuwaachia huru kina babu seya. Nakumbuka kesi ile ilikuwa na utata wengine wakisema kina babu seya...
3 Reactions
59 Replies
8K Views
Na WAF - Ruvuma Waziri wa Afya Mhe. Jesnista Mhagama amesema kiwango cha maambukizi ya Virusi vya UKIMWI kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto yamepungua kutoka asilimia 18 mwaka 2010 hadi asilimia...
0 Reactions
0 Replies
357 Views
Kwa mvumo wa upepo wa historia, CCM inasimama, mwanga na kivuli, Katika shingo za wanyonge, majuto na matumaini, Pamoja na machungu, bado ni kimbilio. Mwarobaini wa taifa, au nadharia ya...
0 Reactions
0 Replies
264 Views
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa (Mb) ametoa wito kwa Wazazi, Walezi na Walimu kuwalea, kuwaandaa na kuwafundisha Wanafunzi katika misingi ya nidhamu bora na tamaduni za kitanzania ili iweze...
0 Reactions
0 Replies
342 Views
Katika uhalisia ndani ya uchaguzi kulikuwa na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu pamoja na ukiukwaji wa sheria za uchaguzi ikiwemo kuwaandikisha watoto chini ya miaka 18 kinyume cha sheria...
1 Reactions
2 Replies
389 Views
Kwema wanajamii? Naombeni mawazo kidogo, nikifika nyumbani mtandao unasumbua hivyo kuhusu suala la kuwa online linakuwa gumu. Kuna njia gani naweza tumia ili niweze endelea kuwa online?
3 Reactions
15 Replies
773 Views
Hii ni baada ya kukumbwa na hitilafu
4 Reactions
36 Replies
4K Views
Leo nimewapeleka wateja wanne toka Mozambique kwenda Zanzibar Jana wakati nakata tiketi zao wakasema wanahitaji abcd, Tukapeleka zote Leo wamepanda boti kwenda Zanzibar wanafika wanazuiwa...
4 Reactions
9 Replies
949 Views
Habari za mchana huu. Dah nimelifuatilia tangazo la YAS na MIXX BY YAS. Yaani chini ya sekunde sitini mtu anakupa content ya maana na kueleweka. Maana mpaka sasa kwa matangazo ya kwetu hasa...
4 Reactions
4 Replies
962 Views
Ni katika kituo cha kupigia kura Mivumoni madale Majira ya asubuhi vituo vinafunguliwa! Polisi wanawathili kwa ajili kuhakikisha ulinzi na usalama wa raia na mali zao (kura zao) Masanduku ya...
25 Reactions
32 Replies
2K Views
Back
Top Bottom