Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Jeshi la Polisi Nchini limesema katika kushiriki Maadhimisho ya Siku 16 za Kupinga Ukatili wa Kijinsia kwa Mwaka 2024 litashirikiana na Wadau mbalimbali kufanya Maadhimisho hayo katika Kanda...
0 Reactions
0 Replies
421 Views
Habari yenu wana jamvi. Kuna mikopo ambayo huwa inatolewa na serikali kupitia hazina Kila mwaka kwenye halmashauri zetu. Sasa nimefukuzia huo mkopo Miaka 3 sasa bila mafanikio hata sijui huwa...
4 Reactions
26 Replies
2K Views
Sehemu wanazopendelea Kukaa majini. Ikumbukwe kuwa majini walipopigwa na kufukuzwa,hawakuzuiwa kuendelea kuishi katika mgongo wa ardhi,Laa hasha! Bali walitawanywa na kuzuiwa kuishi katika...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Salaam. Moja kwa moja kwenye mada. kwa ufupi kuna kipindi fulani nilikuwa na kipindi kigumu sana. Kuna kaka mmoja kaka wa rafiki yangu akaniunganishia kazi hapa Dar es Salaam. Ila wakati napata...
12 Reactions
44 Replies
2K Views
Maisha lazima yaendelee. Ni kauli za wafanyabiashara kwenye maghorofa mawili yaliyo pembeni ya lile lililoporomoka katika soko la Kariakoo ambao sasa wanaendelea na shughuli zao za kibiashara...
1 Reactions
0 Replies
366 Views
Roman Empire ilikuwa na nguvu sana ndio maana mpaka leo inaendelea kutawala dunia.
13 Reactions
166 Replies
5K Views
Mpaka sasa hivi milioni mbili yangu hata sijui ntaipataje Msitumie huu mtandao kama mnapenda pesa zenu
1 Reactions
2 Replies
431 Views
Aisee kama mwanadamu ndiye ameletwa kuja kutawala dunia kwanini tunaviogopa baadhi ya viumbe kama nyoka,simba,chuo,tempo na baadhi ya viumbe? Na kwanini? Napatwa na hasira nyingi kujiuliza kwanini...
1 Reactions
12 Replies
651 Views
Tangu mtandao ubadili jina yaani ni majanga tupu. Ni zaidi ya lisaa sasa, huduma ya Mixx by Yas (zamani Tigo pesa) haipo hewani. Sio kwa menu ya kawaida wala kwenye App yao. Nilikuwa nilipie...
4 Reactions
8 Replies
3K Views
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam imewaachia huru wafanyakazi wawili wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Johnson Kato (57) na Gasper Kimaro (30) waliokuwa wanakabiliwa na kesi ya...
4 Reactions
6 Replies
852 Views
Mbele ya Waziri wa Tamisemi na Viongozi wengine akiwemo Mbunge, Jiji la Mbeya wametia Saini Kwa mbwembwe kuanza Ujenzi wa stendi Kuu ya Mabasi,soko na Barabara. Kwa picha (renders) walizoweka...
2 Reactions
63 Replies
7K Views
Wataalam naombeni utofauti wa sehemu hizi pamoja na sifa zake. BAR, NIGHT CLUB na RESORT, sifa ya bar ni ipi, ya resort ni ipi na sifa ya...
0 Reactions
0 Replies
331 Views
Zaidi ya watu 200 wakazi wa kijiji cha Kagunga, Halmashauri ya wilaya ya Kigoma, mkoani Kigoma wako mafichoni/ porini huku usalama wao ukiwa shakani kutokana na kile kinachodaiwa uwepo wa...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Naona Makemeo yanazidi kuwa mengi. Wapendwa, kukemea kwetu hakubadilishi lolote kwa yule aliyekwisha kufa. Ni Mungu mwenyewe wa Haki ndiye ataitwaa roho ya mja wake nanyi mtabakia na hayo U...
2 Reactions
19 Replies
482 Views
Samahani, hapo swali ni moja tu maana kuna mtu akishakunywa pombe tu anafanya vitu vya hovyo sana, baadae anarudi anakaa sawa, then anarudia tena makosa tena yanakuwa makubwa tu, watu wanamsamehe...
1 Reactions
4 Replies
402 Views
Hukumu ya kesi ya kulawiti inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu (RC), Dkt. Yahya Nawanda inatarajiwa kusomwa leo Ijumaa Novemba 29, 2024, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mwanza. Kesi...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
"Pray for Palestine" "Pray for Ukraine" "Pray for Congo" "Pray for Kariakoo" Hizi zimekuwa nyimbo kila mahali utakapopita mtandaoni imekuwa ni kawaida ya wanaoamini kuna Mungu wakijifariji kwa...
2 Reactions
5 Replies
481 Views
Hivi vitabu vya Mungu tunavidharau bure kusema usioe mwanamke ambaye sio bikra utakuwa umefanya big mistake kubwa. Wengi wetu tunachukulia maneno haya ni uongo na pia Hayana maana yeyote kwetu...
9 Reactions
15 Replies
856 Views
Wakuu habari za wakati, ni matumaini yangu wote ni wazima wa afya. Naomba kufahamu utaratibu wa kuonana na watu au ofisi ya watu wa usalama wa taifa katika ngazi ya mkoa.
2 Reactions
2 Replies
665 Views
Habari zenu ndugu zangu, Nimekuwa nikipambana na tatizo la kunywa pombe kupita kiasi kwa muda mrefu. Nilianza kama njia ya kupumzisha akili, lakini sasa imekuwa janga kubwa. Nimepoteza kazi...
10 Reactions
89 Replies
5K Views
Back
Top Bottom