Ukiumwa na nyoka wa sumu, unahitaji kufanya nini?

Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,277
8,850
Nyoka wa sumu ana uwezo mkubwa wa kujilinda, hivyo kwa kawaida atafungua mdomo baada ya kukuuma. Lakini sumu yake ni hatari, unahitaji kutibiwa mara moja.
Nyoka aina ya cobra ana sumu inayoharibu neva. Ukiumwa naye, mwanzoni hutahisi maumivu, lakini baada ya saa mbili, sumu itakufanya kupotea uwezo wa kupumua. Hivyo unatakiwa kuchukua hatua haraka. Kata jeraha na kuonda damu yenye sumu, halafu funga kwa nguvu sehemu ya juu ya ulipong'atwa na kuzuia sumu isiingie moyoni. Usisahau kufungua kamba kwa muda mfupi kila baada ya dakika 10 hadi 15 ili sehemu iliyofungwa isikose damu. Kwenda hospitali na kupigwa sindano la kutibu sumu ya nyoka wa aina hii.
Nyoka aina ya viper ana sumu tofauti ambayo inaharibu damu yako. Ukimuwa naye, usikate jeraha lako, shinikiza jeraha ili kuondoa damu yenye sumu, halafu kuchoma jeraha lako kwa moto, na mwishowe kwenda hospitali kupigwa sindano la kutibu sumu hii.
 
Maelezo yako ni kama mtu kaumwa na nyoka mguuni, sasa hutokea mtu ka ng'atwa kichwani, na nyoka wanatofauti kuna wengine akisha kun'gata kama ni mguuni basi ni lazima mguu ukatwe, make wapo ambao akisha kuuma baada ya dakika chache mguu huanza kuoza.
 
Nyoka wa sumu ana uwezo mkubwa wa kujilinda, hivyo kwa kawaida atafungua mdomo baada ya kukuuma. Lakini sumu yake ni hatari, unahitaji kutibiwa mara moja.
Nyoka aina ya cobra ana sumu inayoharibu neva. Ukiumwa naye, mwanzoni hutahisi maumivu, lakini baada ya saa mbili, sumu itakufanya kupotea uwezo wa kupumua. Hivyo unatakiwa kuchukua hatua haraka. Kata jeraha na kuonda damu yenye sumu, halafu funga kwa nguvu sehemu ya juu ya ulipong'atwa na kuzuia sumu isiingie moyoni. Usisahau kufungua kamba kwa muda mfupi kila baada ya dakika 10 hadi 15 ili sehemu iliyofungwa isikose damu. Kwenda hospitali na kupigwa sindano la kutibu sumu ya nyoka wa aina hii.
Nyoka aina ya viper ana sumu tofauti ambayo inaharibu damu yako. Ukimuwa naye, usikate jeraha lako, shinikiza jeraha ili kuondoa damu yenye sumu, halafu kuchoma jeraha lako kwa moto, na mwishowe kwenda hospitali kupigwa sindano la kutibu sumu hii.

Duu, unang'atwa usiku wa manane, hospitali zimefungwa au huko karibu na hospital, si tayari umekufa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Dah me alishanipita kifuani mchana nmelala kitandani alikua anafukuza panya.jamaa msela wangu mmoja alikua macho anakula bange lilimpita miguuni kabla halijanipita aliliona liliposhuka akalibonda ndo kuniamsha.aisee lilikua joka kubwa vibaya mno mpaka mwili ulisisimka
 
Back
Top Bottom