Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ikiwa leo Tanzania Bara inaadhimisha miaka 63 ya Uhuru wazee waliozaliwa kabla ya uhuru mkoani Geita wamewataka vijana kuacha kuilalamikia serikali kwamba haileti maendeleo kwenye jamii zao...
1 Reactions
0 Replies
219 Views
Mlima Kawetere uliopo kata ya Itezi jijini Mbeya , uliomeguka April 14 ,2024 na kusababisha maafa ambapo nyumba zaidi ya ishirini ,shule , mifugo na mashamba yalifukiwa na tope, umebainika kuwa...
2 Reactions
5 Replies
717 Views
Anonymous
Haloteli wanawaunganisha wateja automatic siku hizi ili kama salio lako huwa hawalikati kutokana na kwamba huna huduma yoyote toka kwako basi wanalazimika kukuunga bila ridhaa yako wewe mteja...
0 Reactions
0 Replies
237 Views
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dk. Tulia Ackson, amewajulia hali baadhi ya Wabunge majeruhi, waliolazwa katika Hospitali ya Taifa...
2 Reactions
46 Replies
2K Views
Kwa nini Barbershop/saluni za sasa mjini wahudumu wanakutazama vibaya sana ukiwaambia hauoshi kichwa au kufanya scrub baada ya kunyoa? Baadhi ya vinyozi kwenye hizi barbershop wakimaliza kukunyoa...
7 Reactions
31 Replies
1K Views
Pamoja Tuhuma nyingi alizonazo nimemfuatilia historia ya mikutano yake alipokuwa RC dar ,Mwenezi na hiki alichofanya leo , huyu sio mtu wa kawaida . Hata ukisema watumishi wanalazimishwa kwenda...
1 Reactions
7 Replies
590 Views
Wale tunaokujaga dodoma nadhani tunaifaham bar maarufu kwa misosi ya Mwanga Bar iliyopo Jijini Dodoma, nikiwa natoka zangu safari kanda ya ziwa nikasema nipite kula hapo kilichonishangaza ni rundo...
0 Reactions
3 Replies
595 Views
MIAKA 63 YA UHURU WA TANGANYIKA: Katika kuadhimisha sherehe hiyo, Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais Dk. Samia Suluhu Hassan leo Disemba 09, 2024 ametoa msamaha kwa wafungwa...
0 Reactions
7 Replies
855 Views
Wakuu naangalia Bss naona inaniboa kabisa pia nimeangalia hata wanao view kwene social media wana zidiwa hata na wachekeshaji wadogo wakati ni tukio kubwa sana!
2 Reactions
34 Replies
2K Views
Paul Makonda, alionyesha hisia kali wakati wa kuabudu na kushindwa kujizuia na machozi.
2 Reactions
4 Replies
468 Views
Askofu Kakobe aliyasema hayo 20.04.2014,Mungu ndiye aliyezigawa nchi na kuweka mipaka(MATENDO YA MITUME 17:24,26).Hivyo Tanganyika ni urithi tuliopewa na Mungu ili iwe urithi.Na kwahakika...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakuu Mkuu wa Mkuo wa Arusha amegiza tarehe 24 kila nyumba ifanye kikao cha familia, ajenda iwe moja tu kwamba; "Tumekuli kuendelea hivi mpaka mwaka mpya (2025) unapoingia? Au tunataka...
4 Reactions
13 Replies
885 Views
Kwa siku za hivi karibuni kuliripotiwa tukio la Mwalimu Josehat Masenema wa Shule ya Msingi Waja iliyopo Geita Mjini kudaiwa kumlawiti Mwanafunzi wake, kutokana na vyanzo mbalimbali suala hilo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Zaidi ya mara moja kiongozi wake muandamizi ambae pia ni makamu mwenyekiti wa Taifa wa chama hiki amebainisha wazi na kulalamikia jambo hili baya kabisa, linalokwamisha mambo mengi sana kusonga...
1 Reactions
5 Replies
348 Views
Wakuu Nabii Mkuu Dkt. GeorDavie, ametoa neno kwa wakazi wa Mkoa wa Arusha na kwakipekee kwa Mkuu wa Mkoa huo Mhe. Paul Christian Makonda akimuahidi kula mema ya nchi.
1 Reactions
6 Replies
654 Views
Nilifika katika Kituo cha Mabasi cha Magufuli, Mbezi, Dar es Salaam, nikapata nafasi ya kuzungumza na Wanawake wajasiriamali wanaofanya kazi katika eneo hilo. Wanawake hawa, wanaojishughulisha...
1 Reactions
5 Replies
812 Views
Je, unajua kwamba "Barabara Kuu ya Kwenda Mbinguni" Njia ya Kati ya 80 (I-80) ni mojawapo ya barabara kuu za kati ya majimbo nchini Marekani, inayopitia nchi kutoka mashariki hadi magharibi...
2 Reactions
10 Replies
759 Views
Wakuu eti kuna ukweli hii miaka tuliyonayo sasa kwa mfano mwaka huu wa sasa yani 2024 ndio umri halali wa Bwana wetu Yesu Kristu (Neema na amani iwe juu yake!) Yaani miaka hii tuliyonayo ilianza...
5 Reactions
37 Replies
2K Views
MKURUGENZI wa Miradi ya Green Faith Duniani Meryine Warah amewashauri viongozi wa madhehebu mbalimbali nchini kutofumbia macho vitendo vya uvunjifu wa haki za binadamu vinavyojitokeza katika...
0 Reactions
1 Replies
276 Views
Wadau habari za muda huu Hili suala la Polisi kutuomba gharama za kumkamata mtuhumiwa kisheria likoje? Kwanini gari la polisi halina mafuta muda wote mpaka pale tu raia atakapoenda kuhitaji...
1 Reactions
3 Replies
416 Views
Back
Top Bottom