Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Maafisa Kilimo na Maafisa Ugani wametakiwa kuwa mstari wa mbele kuwaelimisha wananchi kuhusu matumizi sahihi ya viuatilifu kwa lengo la kulinda afya za walaji na kuwaepusha na Magonjwa. Mbunge wa...
0 Reactions
0 Replies
285 Views
Wakuu leo nadhani ni siku yangu nyingine kutumia gharama kubwa kutoka mbagala rangi tatu hadi mzinga. Kiukweli kuna namna naona serikali inachukulia poa hili jambo. Ni serikali ambayo...
1 Reactions
9 Replies
928 Views
MBUNGE DAVID MATHAYO ATOA MILIONI MBILI UKARABATI WA SHULE YA MSINGI KITAMRI Shule ya Msingi Kitamri iliyopo katika Kata ya Stesheni, wilayani Same mkoani Kilimanjaro inakabiliwa na Uchakavu wa...
0 Reactions
0 Replies
347 Views
Licha ya wahusika kujenga mabwawa eneo la Mabibo kwa lengo la kuweka usalama wa kuhifadhia majitaka yanayodaiwa kutokea viwandani lakini Wananchi wapo hatarini kuathirika na maji hayo kutokana na...
1 Reactions
3 Replies
728 Views
JAMANI HVI KWELI VIONGOZI WETU WA JIJI HILI MMESHINDWA KUSIMAMIA UCHAFU? Kuna mitaa ya katikati ya kkoo ,aggrey,sikukuu, yanatiririsha mavi taka kwa miezi sasa hakuna kiongozi anaye jari mbaya...
5 Reactions
28 Replies
2K Views
Wakuu, kwa wakazi wa jiji la Dar tunatumia SOKO la Ilala kujipatia mahitaji yetu pale, ni aibu na udhalilishaji wa binadamu kuona binadamu anaweza kununua kitu cha kwenda kula toka pale. SOKO...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari za Muda wana jf na natumaini wote ni wazima. Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada. Binafsi nimekuwa nikiagiza vitu online hasa aliexpress na mara moja moja kikuu. Nimetokea...
2 Reactions
1 Replies
747 Views
Nimepita leo kwenye soko la vyakula la Ilala Boma maarufu kama Ilala Sokoni, jamani tunalishwa uchafu hili jiji kwanza nashangaa kwa hali hii kama kweli Dar haina wagonjwa wa Kipindupindu. Wauza...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Mimi ni Mkazi wa Mtaa wa Mazimbu Darajani, Kata ya Mazimbu, Manispaa ya Morogoro, jamani mtaani kwetu huku kumekuwa na changamoto ya mto kujaa na kufurika maji hasa kipindi cha mvua hali...
0 Reactions
3 Replies
719 Views
Mlipuko wa Ugonjwa wa Kipindupindu katika Mkoa wa Simiyu, umeendelea kushika kasi, eneo la Wilaya ya Meatu ndilo limeathirika na linaendelea kuathirika zaidi. Jimbo la Kisesa katika Wilaya hiyo...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari za wakati huu wapendwa wanajukwaa. Nimekuja na uzi huu ili kupata elimu kidogo kwenye hizi biashara za mtandaoni kama niza ukweli au la. Ninataka kufanya check ya kuagiza simu aina ya...
2 Reactions
3 Replies
684 Views
Huwa najiuliza masikini tena lenye umri mkubwa linalialia kukosa pesa aisee nashindwaga kuelewa aisee yaani kama Mimi mtoto mdogo mwenye pesa nyingi natamba nyie mijitu mizima mnakosaje pesa hivi...
18 Reactions
177 Replies
9K Views
Katibu Tawala Mkoa wa Simiyu, Prisca Kayombo amemuagiza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Meatu kutumia lugha mbili ya Kiswahili na Kisukuma ili kuweajengea Wananchi wasijua lugha ya...
0 Reactions
4 Replies
481 Views
Kesi ya kuua bila kukusudia inayowakabili wamiliki watatu wa jengo lililoporomoka Mtaa wa Mchikichi na Congo, eneo la Kariakoo, itatajwa leo Desemba 12, 2024 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi...
0 Reactions
2 Replies
530 Views
Timu ya Wataalamu wa Afya ngazi ya Wizara, Mkoa, Wilaya na Shirika la Afya Duniani (WHO) imeingia mtaani na kufanya zoezi la upimaji sampuli za maji katika Visima, Mabwawa na Kaya pamoja na utoaji...
0 Reactions
1 Replies
560 Views
Habari wana JF. Leo napenda kuzungumzia kero ya huduma za Afya katika zahanati nyingi za mkoa wa Tabora. Kwa kipindi cha miaka ya hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa la ufunguzi wa zahanati...
2 Reactions
12 Replies
986 Views
Salam, Wadau wazito mambo yakoje?
10 Reactions
90 Replies
14K Views
Naenda wiki sasa Mtandao wa Telegram haufanyi kazi kwangu siingii siwezi kufanya chochote una load tu kama vile sina internet. nimejaribu simu, computer tofauti ila inakataaa, je Hii ni kwangu tu...
9 Reactions
38 Replies
31K Views
Kama kweli tuko serious katika mapambano dhidi ya Rushwa tungeachana na na ADAN ambaye anatuhumiwa kila kona kwa rushwa. Sisi tumesema tunaendelea naye kwasababu wanufaika wa miradi hii ndiyo...
0 Reactions
2 Replies
343 Views
Wadau hamjamboni nyote? Nimeweka CV ya mhusika Mchana mwema • M.D -Dr. Peter Richard ******* -SUPER SPECIALIST • Registration No: 350 QUALIFICATION(S): • MD(2002) - Tumaini University Kcm...
5 Reactions
22 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…