Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari wana jukwaa Mimi ni mkazi wa Dodoma,maeneo ya mpwapwa,kuna ndugu yangu aliomba shamba awe analima, Nilimpatia likiwa ni pori,amelisafisha ila aliokota mawe mawili ambayo anadai ni kama...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Haya ni baadhi ya mambo yanayotesa sana vijana wa taifa hili. 1. Pombe kali, visungula, double kick 2. Betting 3. Ngono zembe 4. Simba na yanga 5. CCM Kama kuna vingine unaweza kuongezea
5 Reactions
7 Replies
522 Views
Nakumbuka hivi karibuni Benki Kuu ya Tanzania (BoT) ilitangaza kufungia jumla ya Application 69 zilizokuwa zinatoa mikopo kidijitali bila leseni. Hatua hii ilikuwa ni muhimu katika kudhibiti...
1 Reactions
0 Replies
300 Views
Kwanza hakikisha unampunguzia majukumu maana hutafuti mtumwa, nunua baadhi ya mashine mf. Mashine ya kufulia, zipo za laki 6 nzuri sana, mashine ya kudekia zipo za laki 4 nanusu nzuri sana...
1 Reactions
1 Replies
461 Views
Aslaam, Wakuu, nimewaza hapa juu ya haya mawazo ya WATANIONAJE, WATANIFIKIRIAJE na WATANICHUKULIAJE namna yanavyotufelisha wengi katika kufanya maamuzi. Miongoni mwa mawazo yanayobomoa VIJANA...
5 Reactions
10 Replies
623 Views
Habari wakuu, Niende moja kwa kwa moja kwa mada.. Nionavyo sasa, kuna upepo unaovuma, upepo huo ni wa kila mtu anataka awe tajiri, yaani awe na pesa mingi. Kiu ni kubwa ya watu kutaka kuwa...
5 Reactions
9 Replies
2K Views
BOT walitoa tamko kutoitambua baadhi ya kampuni za mikopo online,nakuelekeza ziache operations zake. Mbona bado zinafanya kazi na msg bado zinatumwa Kwa watu? Hii inamaanisha nini wakuu? PIA...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Naombeni majibu tafadhali! 1. Mtu asiye na taaluma ya madini anaruhusiwa kumiliki leseni ya aina hiyo? 2. Utafiti wake utamnufaishaje? 3. Endapo utafiti wake utamwezesha kugundua mahali penye...
0 Reactions
0 Replies
200 Views
Hey wanajamvi heri ya msimu huu wa sikukuu na tukiwa tunaelekea kumaliza mwaka, naamini pilika zinawaendea vizuri kabisa. Kwa sisi tunaopata nafasi ya kuzunguka sehemu tofauti tofauti ndani ya...
4 Reactions
8 Replies
606 Views
Wahubiri wanatumia watu kua mtaji wao, na kumekua na mahubiri ya kuhubiri mafanikio, na Kuna utapeli unaombatana na Dini, wahubiri wanajinufaisha kupitia Fedha za waumini wao. Jopo kubwa...
3 Reactions
7 Replies
486 Views
Mahakama ya Hakimu Kisutu iliyopo Dar es Salaam, imeahirisha kesi inayowakabili wamiliki wa jengo la ghorofa lililoporomoka eneo la Kariakoo hadi Januari 13, 2025 kwa ajili ya kutajwa. Kesi hiyo...
0 Reactions
3 Replies
730 Views
Juzi kati nilikuwa katika mishe zangu za harakati za kupambania mkate wa kila siku ambayo ilihusisha uuzaji wa nyumba. Biashara ikafanyika vizuri na mwisho wa siku dalali akaondoka na Shilingi 10...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Tunamshukuru Mw/M kwa uzima na afya Hali ya ajira na mfumo wake wa kuijiri kwa nchi yetu bado sio wa kuridhisha sana,mamia ya wanachuo wameendelea kusota mitaani kwa ukosefu wa ajira ,miundombinu...
27 Reactions
176 Replies
68K Views
Kuna utafti naufanya kuhusu tabia za binadamu na mabadiliko ya hisia! Nafanya utafti wa tabia kabla ya kuchoma sindano ya covid na baada ya kuchoma sindano! Naangalia uaminifu katika Angel ya...
2 Reactions
13 Replies
923 Views
Hukumu imetolewa na Jaji Laila Mgonya wa Mahakama Kuu baada ya kuridhika na ushahidi kupitia mashahidi wake 32 ambao umethibitisha washtakiwa walitenda kosa hilo. Mwanaharakati wa ujangili na...
13 Reactions
108 Replies
17K Views
Mitume wa Mwanzo Walivyoteswa na Kuuawa Petro Mtume Petro alikuwa kiongozi wa kanisa la kikristo. Alikuwa ni mvuvi kabla Yesu hajamteua kuwa mwanafunzi wake. Aliuawa huko ROMA, ITALIA. Alipata...
8 Reactions
17 Replies
2K Views
Mara ya kwanza kanipigia bi dada mmoja anasema ananiona nimekaa restaurant moja hapo Mlimani City. But i am not there. Nipo almost 10 kms from there nikiwa sijatoka hata nje ya hapa nlipo. Saa...
13 Reactions
44 Replies
3K Views
Wakuu, jana nimetoka kwenye mishe zangu nikapitia bar flani ya jirani kupooza koo kidogo. Wakapita walokole flani hivi tunafahamiana nikawapungia mkono,wakaniita pembeni,jambo Lao kubwa likawa...
8 Reactions
70 Replies
3K Views
Kweli nimeamini umri sio kitu chochote cha maana katika maisha yaani hapa nimeona wamiliki wa lile gorofa Kariakoo aisee mmoja tu ndio mkubwa nimemzidi miaka 15 wengine ni vijana wadogo kabisa...
18 Reactions
68 Replies
4K Views
Nichukue fursa hii kwanza kukupongeza kwa kuteuliwa kwako kushika nafasi ya Waziri wa Ujenzi. Ni imani yangu kuwa Mhe. Rais kakuamini katika utendaji wako wa kazi na nina imani kuwa utamsaidia...
0 Reactions
9 Replies
793 Views
Back
Top Bottom