Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hassanein Hiridjee Ndio jina lake Yeye ni mmiliki wa Axian Group ambayo inamiliki Axian Telecom yenye makao yake nchini madagascar mwaka 2022 kampuni ya axian Telecom ilinunua hisa za Tigo na...
12 Reactions
44 Replies
5K Views
Wapendwa naomba niulize kwani ni Muda gani sahihi wa kumtakia mtu usiku mwema?
3 Reactions
10 Replies
570 Views
Mkurugenzi wa Kampuni ya Vanilla International Limited, Saimon Mnkondya, maarufu Manguruwe akitoka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam leo baada ya kesi inayomkabili kuahirishwa...
1 Reactions
8 Replies
837 Views
BASHUNGWA ATOA MAAGIZO KWA IGP, WAMBURA KUELEKEA SIKUKUU ZA MWISHO WA MWAKA. 📌 Kuimarisha ulinzi, doria na ukaguzi vyombo vya moto usiku na mchana. 📌 Kuondoa vizuizi na vituo vya ukaguzi maeneo...
0 Reactions
1 Replies
419 Views
Wakuu hii ni historia ya Mwanasoka Luis Nani, ni Historia inayoelezea mapito na magumu aliyoyapitia huyu jamaa. Lengo la kukuletea hii kukutia moyo Kijana mwenzangu Dada/Kaka na wadogo zangu mnao...
3 Reactions
4 Replies
805 Views
Sina shaka TAL ni mtu mwenye akili na uwezo mkubwa sana. Akichaguliwa kuw M/Kiti CDM atawafaa sana na kuleta mageuzi makubwa. Changamoto niionayo kwake ni kujiamini sana. Kujiamini ni faida na...
0 Reactions
0 Replies
236 Views
Inawezekana Polisi na wao wameshachoka kutumika kama Toilet paper chini ya uongozi wa ccm.. sema ndio hivyo hakuna namna na walishaapa watailinda katiba ya nchi , na rais .. Ila deep down hata...
0 Reactions
6 Replies
471 Views
Ajabu sana hii, Leo nimemwambia wakala amsajilie Line ya Vodacom Tanzania mzee wa miaka 77, wakala amepambana imeshindikana anasema voda hawaruhusu mtu wa miaka 75 na kuendelea kusajiliwa line...
4 Reactions
8 Replies
603 Views
Kiukweli, unatupambania sana vijana na hakika unatutakia mema. Kijana yeyote anayejitahidi kupambana lazima ataona juhudi zako. Mheshimiwa, nimejitahidi kadri ya uwezo wangu, lakini nimeshindwa...
3 Reactions
11 Replies
677 Views
Katika hii dunia, tunao watu wajinga sana wa aina mbili: Wajinga wenye kaujanja fulani, wenye uwezo wa kupewa elimu na kuacha ujinga. Wajinga wenye upumbavu wa kuwatotosha, uliowasahaulisha...
1 Reactions
0 Replies
475 Views
Wakati wakiripoti habari ya Mkurugenzi wa Kampuni inayotengeneza Pombe kali mkoa wa Manyara ndugu David Mulokozi kuhusu kununua helikopta yake binafsi, hawa hawa waandishi wetu wa habari badala ya...
3 Reactions
7 Replies
628 Views
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ameagiza Wakala wa Barabara nchini (TANROADS) kufanya kazi usiku na mchana ili kukamilisha miradi ya dharura iliyo chini yake. Waziri Ulega ametoa maagizo hayo...
0 Reactions
1 Replies
354 Views
Kwenye hii kampeni ya kutumia nishati safi viongozi wa serikali wanagawa mitungi ya Taifa Gas tu (kampuni ya Rostam Azizi). Je kwanini hawagawi mitungi ya O-gas, Manjis, Oryx, Lake nk? Kwanini...
5 Reactions
12 Replies
823 Views
Ila nchi hii ina viongozi wa ajabu sana, hapo unakuta waziri anayehusika kwa kushirikiana na timu Msoga, kwakua tu stendi ina jina la Magufuli, basi kubadilisha jina, ikashindikana baada ya mchezo...
25 Reactions
576 Replies
14K Views
Na Mwandishi Wetu, Tanga. NAIBU Waziri wa Nishati Judith Kapinga amegawa mituni ya gasi 1500 kwa wakazi wa Kijiji cha Msomela Handeni Wilayani Handeni mkoani Tanga iliyotolewa na Kampuni ya Taifa...
0 Reactions
8 Replies
957 Views
Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Wakili Albart Msando(kulia) akimkabidhi mtungi wa Taifa Gas Shekh wa Wilaya ya Handeni, Shaban Kizulwa wakati wa hafla ya kukabidhi mitungi 300 ya Taifa Gas Bure kwa...
0 Reactions
10 Replies
863 Views
Serikali ya Tanzania imekabidhiwa mitungi 10,000 ya gesi, ikiwa ni juhudi ya kuunga mkono kampeni ya matumizi ya nishati safi nchini. Mitungi hiyo imekabidhiwa kwa Serikali jana Jumamosi, Machi 9...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Mr. Manguruwe yamemkuta huko. Mkurugenzi Mwanzilishi wa Kampuni ya Vanilla International Ltd, Simon Mkondya (40) maarufu kwa jina la Dkt. Manguruwe na mwenzake wamefikishwa katika Mahakama ya...
11 Reactions
89 Replies
7K Views
Hivi inakuwaje waislamu walilipwa mapema ili wajiandae na sikukuu yao tar 16 Tu!! Ila ona huku mpaka leo kimya.. Tujikumbushe hapa Pia soma > Wafanyakazi wa Serikali Zanzibar wamelipwa tayari...
0 Reactions
16 Replies
824 Views
Kampuni ya Mawasiliano ya Tigo Tanzania imebadilishwa jina na sasa itajulikana kama YAS kuanzia leo. Mabadiliko haya yametangazwa mchana huu jijini Dar es Salaam katika hafla iliyohudhuriwa na...
27 Reactions
236 Replies
21K Views
Back
Top Bottom