Wakuu once again
Leo nimesema niongelee hili jambo. Jamani hali huko mtaani inatisha, hivi watu wanajua kuna UKIMWI?
Yani vibinti vya kuanzia miaka tuseme 17 hadi 24 , hawa ndio niseme kama...
Wajasiriamali wanaofanya biashara pembezoni mwa msikiti wa Mtoro wameitaka serikali kuingilia kati mgogoro unaoendelea kati yao na uongozi wa msikiti huo ambapo umewataka wafanyabiashara kuondoka...
Leo ndio nimepata hasa jawabu japo nilikuwa naelewa kuwa walimuua kwa sababu ya kuigiza ile movie ya
" the devils kingdom"
Na kwa sababu ya kugoma kutoa capital sacrifice ya mama yake mzazi...
Mwalimu Kalokola, huku akishushia kangala la mkopo akiwa na kishikwambi kapwani. Mwalimu huyu anasema walimu wana maisha magumu sana.
Mshahara ukichelewa kidogo tu na mikopo inaongezeka.
Walimu...
Mada Fupi tu maana Kuna mambo mengi ya kufanya pia.
Iko Hivi kuhusu Jiji la Dar es salaam
Mm Naona wanawake wa Dar ni warembo sana. Sure cjui ni macho yangu au nn!.
Kuna Saa unajitahidi hata...
Hili jambo la uchawa binafsi nimeliona ni tatizo ambalo linazidi kutupeleka sehemu mbaya zaidi
Sasahivi makazini boss hata kama anakosea,huwezi kukuta anakosolewa watu wanamsifia hata kwenye...
Wadau hamjamboni nyote?
Mdomo huu umeniponza
Sio utani jana nimenusurika kupigwa vibao na pia nimeoga matusi mengi ya wanywaji wenzangu wa kahawa na wacheza draft hapa kijiweni kwetu
Unajua...
Kuna vitu watoto wanahatibu hadi unajiuliza huyu dogo amewezaje kuharibu hiki kitu, na nini alikua anatafuta huku? Ila uwezi pata jibu kamwe.
Kitu kingine cha ajabu hawa watoto wa siku hizi...
Miaka miwili iliyopita Serikali ilifanya jitihada Kwa kile kilichotajwa kuwapanga machinga, zoezi ambayo lilifanyika nchi nzima. Mafanikio yalikuwa makubwa kwani maeneo mengi ambayo yalikuwa na...
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) inatarajia kukusanya Sh trilioni 3.49 kwa Desemba, 2024 kiasi ambacho hakijawahi kukusanywa tangu kuanzishwa kwa mamlaka hiyo.
Kadhalika, imepanga kuanzia Januari...
Wakuu story ni kwamba huyu jamaa kwenye picha amemuua huyo mkewe usiku wa kuamkia leo huko Mwanza ikidaiwa ni baada ya kumkataza mkewe asiende kwenye show ya Mondi.
Baada ya kumwambia asiende...
Inshu ya betting inathiri kizazi,aisee huwezi amini hali ni mbaya watoto wa Miaka 14 wanabet,huu mchezo umekuwa kimbilio kwa rika ya vijana lakini athari zake ni mno.
Kuna matatizo ya...
Wengi mmenifariji sana, nashukuru sana wakuu.
Napenda niseme kitu kimoja sio Kweli Kuwa sisi graduate ni wavivu hapana, mitaani tu hapa hata kazi za ujenzi na ngumu wanapeana kwa kujuana.
Wakuu...
Watu wa Halmshauri wamekuwa wakizunguka kwenye biashara tofauti na wakipiga faini na ukishindwa kulipa wanakuweka ndani.
Je, Sheria inasemaje kuhusu hili?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.