Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ninashusha windo kwenye PC, nimekutana na machagulio hayo matatu. Nichague kipi ili niweze ku-activate Windows kwa kutumia Kmspico? Nilishusha windows dakika chache zilizopita kwa kutumia Windows...
0 Reactions
4 Replies
451 Views
Wakati huo mwanangu unafukuzwa na kausha damu ulipe deni la laki tano, mwenzako anaoa mwanamke kwa bajeti ya nchi😂😂, life is a bitch, man😭
10 Reactions
29 Replies
1K Views
Nishati ni muhimu sana katika Nchi na Tanzania kama nchi ya kitropiki imebarikiwa kuwe na Jua la kutosha ukiunganisha na vyanzo vingine vingi, vilevile kutokana na Vyanzo vya Maporomoko Nishati ya...
2 Reactions
12 Replies
908 Views
Waziri wa utumishi na Tamisemi mnatakiwa kutoa majibu ni nani aliyehusika na hili. Umeajiriwa mwaka mmoja na mtumishi mwenzio mwingine umemtangulia lakini kilichotokea july-septemba kuna...
0 Reactions
0 Replies
268 Views
Hii ina maana gani pale mtu unapoota ndoto kama hii; Siku moja tulikuwa watatu, mimi na wasichana wawili katika ghorofa fulani floor namba 7. Wale wasichana waliniaga wanapanda lift wanakwenda...
4 Reactions
3 Replies
453 Views
Mkoa wa Mbeya, wilaya ya Mbeya Vijijini, kata ya Iwiji baadhi ya vitongoji tuna tuna umeme wa REA, ambao umekuwa kero kubwa kwetu kwani hukatika mara kwa mara. Muda mwingine hata ndani ya dakika...
2 Reactions
5 Replies
481 Views
Naamini mzee mbowe ni mzee mwenye maono makubwa sana. Kwa busara zake nashauri apate ushauri mwingine kutoka kwa wazee asigombee amuunge mkono Tundu lissu kama baba mlezi wa chama! Chadema ni...
13 Reactions
42 Replies
2K Views
Huu ni muendelezo wa Uzi wa Kuhoji Nishati gani kwa Tanzania ni Safi na Ina Uwezekano mkubwa kufanikiwa. Kwenye huu Uzi taelezea ni jinsi Gani Nishati hii Safi na Bora kuliko Gesi inaweza kuwa na...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Ni dhahiri Tanzania hakuna upinzani wote wametiwa mfukoni. naiona ccm ikitawala kwa muda mrefu sana great than 150yrs. It's very painful. NB: mimi sio mwa CCM.
3 Reactions
4 Replies
329 Views
Niko nimejilaza zangu kitandani nikiwaza na kuwazua huku nikifurahia mvua na radi zinazoendelea huko nje. Katika kuwaza na kuwazua nikamkumbuka Clepatina wa umri wa miaka saba au nane hivi...
53 Reactions
432 Replies
50K Views
Anonymous
Hii imenitokea Niliandikiwa fine ya laki 3 Nikaomba control number Ila niliwaomba niwalipe siku inayofata wakakataa na kunilazimisha nilipe siku hiyohiyo. Baadae wakanipakia Kwa Bajaj peke yangu...
0 Reactions
1 Replies
255 Views
Haya mambo najua watu wengi wamekumbana nayo,kuibiwa simu,Tv,Radio,Pikipiki n.k Mimi nakumbuka mwaka 2017 nipo Mbeya,kuna wafanyakazi wenzangu wawili, walipanga nyumba nzima maeneo ya Iwambi...
4 Reactions
7 Replies
600 Views
Soko la dharura la Mwanakwerekwe C lililopo Wilaya ya Magharibi B Mkoa wa Mjini Magharibi hali yake siyo nzuri kutoka na uchafu kuwa mwingi maeneo hayo. Licha ya kuwa Serikali ilitangaza na kutoa...
1 Reactions
3 Replies
602 Views
Watanzania maskini wengi wao wamekuwa wakipitia wakati mgumu na manyanyaso wengi wao wakiwa ni wanawake na watoto wanaofanya kazi viwandani hali hii haikubaliki na inaminya haki za msingi za...
2 Reactions
6 Replies
575 Views
Arusha Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Deogratius Ndejembi ametembelea eneo utakapojengwa Mji wa “Samia AFCON City” kwenye eneo linalozunguka Uwanja Mpya wa Michezo unaojengwa...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Good Morning my dear brothers and sisters out there. MGAMBO WANAOFANYA KAZI SAMBAMBA NA POLISI NJE YA MIJI MIKUBWA (DAR, MWANZA, ARUSHA, MBEYA) (1) Mgambo anakamata watu anaoishi nao mtaa mmoja...
5 Reactions
29 Replies
1K Views
Habari Wakuu wa JF, Niende moja kwa moja kwenye mada. Hii itaweza kuwa msaada kwa ndugu zetu wanaopanga kuja likizo ya sikukuu za mwisho wa mwaka maeneo ya Arusha na Moshi. Kuna mambo kadhaa ni...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Katika ulimwengu wetu uliojaa maajabu, kila nchi ina kitu ambacho inaongoza au inajulikana nacho duniani. Wakati mwingine, ni jambo la kufurahisha, la kushangaza, au hata la kusikitisha. Katika...
0 Reactions
4 Replies
970 Views
Vodacom Tanzania Hii si sawa, ni Masaa Karibu 20 sasa Huduma yenu haipo sawa, hela za Biashara na transactions zipo hewani! Si sawa! Tunakwama
3 Reactions
8 Replies
539 Views
Waswahel wa Pwani waliosema pesa mwanaharamu sijui ninini kiliwapa mpaka kuna na huo usemi Nijuavyo mimi ukiachana na mengine yote. Kuna kitu kinaitwa kichaa cha pesa! Pesa inachizisha watu na...
18 Reactions
58 Replies
2K Views
Back
Top Bottom