Nawashukuru Wana jf kwa faraaja yenu.

Nawashukuru Wana jf kwa faraaja yenu.

Joined
Oct 27, 2024
Posts
33
Reaction score
277
Wengi mmenifariji sana, nashukuru sana wakuu.
Napenda niseme kitu kimoja sio Kweli Kuwa sisi graduate ni wavivu hapana, mitaani tu hapa hata kazi za ujenzi na ngumu wanapeana kwa kujuana.

Wakuu mnapo ona naandika hapa, mm ni best student kwenye mwaka wetu. Kila napo shika vyeti vyangu roho inaniuma sana.

Mfano, baada ya kufanyishwa kazi nzito Jana na kulipa 1500 usaiku sijalala, nimawaza mambo mengi sana akilini mwangu.

Nimesoma kwa shida na tabu tena kwa juhudi sana ila Leo mambo yanakuwa hivi.

Rafiki zangu wengi hivi sasa ni wanajeshi wengine ni askari,, baadhi yao Wana biashara na familia zao hii kitu Ina ni torture sana kiakili.
 
Mzee life isn't fair.
Utaumia sana ukianza kuview status za vijana wenzio unaohisi wametusua.

Jitahidi kucontrol hayo mawazo ya kukuumiza, focus na yako kwanza.
Kaa mbali na pisi zitakuongezea stress.

Shindana na wewe, wewe wa jana usiwe wa leo na kesho. Leo ukipata buku jero kesho jitahidi uongeze jero iwe buku mbili.

Una udhaifu wowote unaojiona ni kikwazo kwako? Bila shaka upo la sivyo ungetusua, basi anza kuufanyia kazi taratibu.
 
Katika Maisha yako yote Mungu awe WA kwanza ,lakini pia usipende kujilinganisha na watu lazima tu utakosa ujasiri na Ari ya kupambana,jiamini jinsi ulivyo na jifunze kwa waliofanikiwa ,usiache kujifunza maisha ni bahari
 
Mzee life isn't fair.
Utaumia sana ukianza kuview status za vijana wenzio unaohisi wametusua.

Jitahidi kucontrol hayo mawazo ya kukuumiza, focus na yako kwanza.
Kaa mbali na pisi zitakuongezea stress.

Shindana na wewe, wewe wa jana usiwe wa leo na kesho. Leo ukipata buku jero kesho jitahidi uongeze jero iwe buku mbili.

Una udhaifu wowote unaojiona ni kikwazo kwako? Bila shaka upo la sivyo ungetusua, basi anza kuufanyia kazi taratibu.
Kabisa mkuu,Mara mtu ana V8,Mara mwingine ana mall mambo ya nyuma ya pazia ni mengi sana kwa maana mafanikio ni Siri na Siri yenyewe ni mafanikio
 
Mzee life isn't fair.
Utaumia sana ukianza kuview status za vijana wenzio unaohisi wametusua.

Jitahidi kucontrol hayo mawazo ya kukuumiza, focus na yako kwanza.
Kaa mbali na pisi zitakuongezea stress.

Shindana na wewe, wewe wa jana usiwe wa leo na kesho. Leo ukipata buku jero kesho jitahidi uongeze jero iwe buku mbili.

Una udhaifu wowote unaojiona ni kikwazo kwako? Bila shaka upo la sivyo ungetusua, basi anza kuufanyia kazi taratibu.
 
Wengi mmenifariji sana, nashukuru sana wakuu.
Napenda niseme kitu kimoja sio Kweli Kuwa sisi graduate ni wavivu hapana, mitaani tu hapa hata kazi za ujenzi na ngumu wanapeana kwa kujuana.

Wakuu mnapo ona naandika hapa, mm ni best student kwenye mwaka wetu. Kila napo shika vyeti vyangu roho inaniuma sana.

Mfano, baada ya kufanyishwa kazi nzito Jana na kulipa 1500 usaiku sijalala, nimawaza mambo mengi sana akilini mwangu.

Nimesoma kwa shida na tabu tena kwa juhudi sana ila Leo mambo yanakuwa hivi.

Rafiki zangu wengi hivi sasa ni wanajeshi wengine ni askari,, baadhi yao Wana biashara na familia zao hii kitu Ina ni torture sana kiakili.
Kuwa mvumilivu dogo,utatoboa tuu!
 
Usijilinganishe na mtu
Jithamini weww jione ww ni wa thamani
Jichanganye, vijiwe vya kahawa, ongea na watu waambie tu unaweza kufanya kazi yoyote halali.
Ibada iwe ni njia yako nzuri ya kupunguza machungu.
Sadaka hata iwe shilingi 50 inenee

Nilijifunza maisha ni magumu uwe na elimu usiwe nayo bila ya kupambana ni machungu na majuto.
 
Una umri gan
 
Sawa kaka
Uzoefu ninao nilimaliza chuo 1994,nikakaa kwa Mjomba wangu , Mwishowe nikarudi kijijini kwa Bibi yangu nikawa nalima kwa kukata Tamaa!Bibi yangu alikuwa jasiri akaniambia Wewe sio wa kukaa kijijini,kweli nikarudi Tena kwa Mjomba ambaye alinisomesha chuo.Nikiwa natafakari maisha simu ya mezani ikaita natakiwa nipeleke barua ya kuomba ajira kampuni kubwa hapa nchini niwe salesman!Naishi Mungu mwema!Hakuna kukata Tamaa.Ahsante Bibi yangu,hapo alikufa angalia yupo moyoni mwangu!
 
Wengi mmenifariji sana, nashukuru sana wakuu.
Napenda niseme kitu kimoja sio Kweli Kuwa sisi graduate ni wavivu hapana, mitaani tu hapa hata kazi za ujenzi na ngumu wanapeana kwa kujuana.

Wakuu mnapo ona naandika hapa, mm ni best student kwenye mwaka wetu. Kila napo shika vyeti vyangu roho inaniuma sana.

Mfano, baada ya kufanyishwa kazi nzito Jana na kulipa 1500 usaiku sijalala, nimawaza mambo mengi sana akilini mwangu.

Nimesoma kwa shida na tabu tena kwa juhudi sana ila Leo mambo yanakuwa hivi.

Rafiki zangu wengi hivi sasa ni wanajeshi wengine ni askari,, baadhi yao Wana biashara na familia zao hii kitu Ina ni torture sana kiakili.
Umesoma chuo gani?
 
Hebu acha kulia lia na wewe ..

Hiyo hali walipita/wamepitia vijana wengi tu na wanazidi kupitia ila walikaza matako na wakasonga mbele..

Hao wote wangekuwa wanalialia kama wewe basi Tz nzima ingekuwa na watu waliojikatia tamaa..

Usitie huruma kama unaona hakuna watu wa kukuhurumia..

Vijana graduate mtaa mtauzoea tu.
 
Akili ya darasani ni tofauti na akili ya mtaa zamani nilikua kama wewe kwakua nilisoma Bus la njano dadeki uzuri nilishtuka mapema nikaweka vyeti kabatini japo ajira bado naomba ila sio plan A wala B kwangu
 
Usijilinganishe na mtu
Jithamini weww jione ww ni wa thamani
Jichanganye, vijiwe vya kahawa, ongea na watu waambie tu unaweza kufanya kazi yoyote halali.
Ibada iwe ni njia yako nzuri ya kupunguza machungu.
Sadaka hata iwe shilingi 50 inenee

Nilijifunza maisha ni magumu uwe na elimu usiwe nayo bila ya kupambana ni machungu na majuto.
Nadhani Tuishie Hapa Na Kila Mtu Ana Mapito Yake Kwa Wakati Wake,,Shukuru Kwa Yote Endelea Kujipambania Kwa Nidhamu,,,Hekima,,Na Busara Usikose Mawili Kati Hayo,,Kuna Mwingine Anahitaji Hiyo Afya Tu Uliyonayo Lakini Wapi Ni Maumivu Ya Vidonda Na Magonjwa Na Hajui Atapona lini,,,Ulimwengu Na Walimwengu Tangu Na Tangu,,Enzi Na Enzi Hawana Huruma Kamwe.
 
Mungu akusaidie mkuu, ningeomba kwa watu walio katika stream za kazi ndogo ndogo ambao naamini humu wapo, watoe push..

Pia jombaa, ingekuwa vizuri kwenye nyuzi zako ungekuwa unatanguliza taarifa kama mwaka wa kumaliza, umesomea wapi na course gani.

Lakini pia usisahau kutaja basic skills labda ufahamu wa lugha ya kiingereza au la computer.. Hii inaweza kusaidia pia maana kuna kazi mjini ni kiingiereza na kuandika tu mfano za data collection ambazo mimi zilinisaidia sana maana minimum amount ni 50k kwa siku... Ila kupata channel ndio mtihani. Kwa hiyo zingatia hilo mkuu
 
Back
Top Bottom