Wale malaika wakuitwa waovu, wenye vipaji vingi na tofauti. Wale viumbe waliokuwa takatifu, wenye talanta na ustadi. Walijawa siri na funguo za codes nyingi, walijawa maarifa na miujiza, ila nafsi...
Mwongozo wa Wanaoanza Kujichukia;
Hapa chini kuna sheria 10 ambazo unaweza kutumia ili kuwa mtaalamu wa kujichukia kwa haraka. Mwongozo huu umeelekezwa kwa wanaoanza na hauhitaji ujuzi au uzoefu...
Law school of tanzania imeingiliwa na siasa , Nme sikitishwa na sheria mpya walizo pitisha hawa watu
●kwamba mtu alie kaa kazini kwa zaidi ya miaka 10 akiwa kama legal officer au ana LLB basi...
Matendo haya hayaendi pamoja hata siku moja.. Upande mmoja maji yakipwa basi upande mwingine maji hujafa
Maji yakipwa yana faida na hasara zake! Vilevile maji yakijaa yana faida na hasara zake...
Kadri unavyoendelea kujieleza kwa watu wasiokuelewa, ndivyo unavyoongeza nafasi ya wao kukuumiza ama kukifumua kidonda chako upya.
Mtu asiyekuelewa, atajitahidi kukuonyesha kila kinachokukuta ni...
Kwa wanandoa wengi, kuanzisha biashara ya pamoja ni ndoto ya kuwa washirika wa maisha na kazi.
Unapomuona mpenzi wako sio tu kama mwenza wa maisha bali pia mshirika wa biashara, inatoa nafasi ya...
nimefungua uzi huu kwa lengo la kutaka kusaidia watanzania wenzangu kwa namna moja au nyingine wale wanaopitia changamoto mbalimbali kwenye maisha na kwamba wanahitaji ushauri au msaada wa aina...
Katika mahubiri yaliyofanyika huko Mwanza, mchungaji Moses Kulola alitoa unabii juu ya vita ya Urusi ambao chanzo chake ni Nato na akasema kutakuwa na Vita kubwa chini ya Urusi.
Na pia akasema...
REA KUSAMBAZA MITUNGI YA GESI 13,020 KWA BEI YA RUZUKU MKOANI SHINYANGA
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) unaendelea kutekeleza Mradi wa usambazaji wa mitungi ya gesi ya kilo 6 kwa bei ya ruzuku...
Utofauti ni kuwa, wewe unaumia sasa hivi, mwenzako aliumia jana, mwingine aliumia juzi, na mwingine aliumia miaka mingi iliyopita.
Umewahi kujiuliza, kama hayo maumivu utaishi nayo miaka kumi...
Sogea mbele hata kama unahisi kuchoka ila hakikisha hata unachechemea, unatambaa au unafanya kila liwezekalo katika kujikomboa tu
Kukosea, mapito au kupoteza ni kawaida katika maisha ila...
Leo hii, Watanzania katika mikoa mingi wamejikuta wakikumbwa na tatizo kubwa la kukosekana kwa nishati ya umeme. Hali hii imeleta usumbufu mkubwa kwa shughuli za kila siku, kuanzia viwandani...
Mwanaume self-made ni aina ya wanaume ambao wa mehaso/hustle katika maisha haya na kutoboa au kufanikiwa bila msaada wa mali kutoka kwa ndugu jama au rafiki, wengi wana pambana na watu wenye husda...
🔥 JAMBO NI LA MOTO, TAREHE IMEWEKWA WAZI NI 21 DESEMBA, 2024
Jumamosi, 21 Desemba 2024, tukutane viwanja vya Mbagala Zakhiem. Kuna jambo kubwa la kihistoria kwa vijana wote! Kijana Vunja kabati...
Full Moon ritual
Universe Manifestation
Laws of Attraction
Medium
Astrology
Palm reading
Kwa kibinadamu zaidi, hizi hatua huonekana hazifungamani na roho yoyote.
Ni hatua zisizoonekana...
Jamii imeendekeza zaidi mipira na michezo ya kamari kuliko mambo yanayogusa maisha yao moja kwa moja.
Maana sio ajabu kwa sasa kuona vikundi vya watu vijana kwa watu wazima wamejikusanya sehemu...
Wakuu,
Inakuaje vijana mmekuwa na utovu wa nidhamu kiasi hiki mpaka mnatakiwa mpimwe afya akili kabla hamjawa watumishi wa umma huko Serikalini?
Akizungumza leo Jijini Dodoma na Naibu Waziri ...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.