Hivi Karibuni mtu mmoja anayejihusisha na mapenzi ya jinsia moja Philemon Aggrey ameokoka na kuonesha kuwa ana nia ya kuacha na ushoga. Jamaa ameshare upekee wa maisha yake na kuonesha yako mengi...
Ok mm hapa ni mzigua sasa kuna kitambu kinaniambia ety nikifa mungu atanihojii kiarabu kwaiyoo huyoo mungu hajuii kama mm sijuii kiarabu na huyoo mungu kweli atakuwa yuko sawa akamuhoji mtuu na...
Habari za muda huu waungwana.
Hili jambo limekuwa likitatizo sana fikra zangu kila nikiona mtoto wa kiume ameketi na kufuatilia tamthilia moja kwa moja na kila episode huwa namuwazia vibaya sana...
Binadamu kumbuka u mavumbi wewe na mavumbini utarudi,
Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke siku zake hapa duniani ni chache Sana,
Ushawahi kukutana na hizo quotes? Ndio mfumu WA maisha ulivo yaani...
katika maisha kuna ule usemi wahenga walikuwa wnatumia wakiwa wanasema kikulacho kinguoni mwako, basi usemi huu umekuwa wa kwel katika maisha yetu ya kila siku ambapo wale tunao waamini sana na...
Pia soma:
~ Baadhi ya wanafunzi waliopata Samia scholarship UDSM wakumbana hali ngumu kufuatia kutopata fedha za kujikimu na ada ya masomo
~ Wanafunzi wa Chuo cha Takwimu Mashariki Mwa Afrika...
Waungwana hivi zile pesa tunazolipa wakati wa kuingia kwenye vyoo hasa maeneo ya Stand zinafanya kazi gani?
Maana vyoo vingi vya Umma vina changamoto ya usafi na ukosefu wa maji bila kusahau...
Good afternoon JamiiForums.
Je, unataka urafiki wenu uendelee kudumu miaka na miaka? Basi usijenge nyumba jirani na yule "best friend" yako. Usifikiri mkijenga majirani ndio mtadumisha urafiki...
Kuna wakati maisha yanakuwa ni ufala sana kwani ingawaje wanaoyaishi ni binadamu wenyewe lakini hukosa usawa kabisa...
Kuna mtu muda huu anakufa baada ya kukosa elfu tatu ya dawa ya mseto, Kuna...
Kila bayana humpa mtu uhuru wake na haki yake, naendelea na kauli yangu mwaka 2025, no meet no meeting, no meeting no meet.
Kila mwamba ngoma huvutia kwake, mpira hauchezwi bila kufika uwanjani...
Habari...
Ntafuta marafiki wa jinsia zote wa kupeana nao changamoto za kimaisha, ushauri na kubadilishana mawazo.
Nitafurahi sana wakiwa watu simple, watafutaji, wenye mawazo chanya, uvumilivu...
Habari za sikukuu wapendwa
Nikiwa kama mwanajamii asee haya mambo yanayofanyikaga siku kama hizi za sikukuu(ukitoa siku nyinginezo),hali ni mbaya mno mtaani
Ndani ya siku hizi 2 tu yaaani jana...
Nashangazwa sana ndoto nazoota,kuna wakati nawaota watu ambao nawajua,lani kuna wakati nawaota watu ambao sijawahi kuwaona hata siku moja,na sina uhusiano wowote nao.Wajuzi hebu nitoeni...
Habarini wanajamii forum!
Tuingie kwenye mada moja kwa moja..
Mimi ni kijana aged 24 years,katika kipindi fulani cha maisha nikiwa shule ya msingi nilipoteza uwezo wa kusikia (deafness) nasikia...
Hivi niseme kutafuta vyanzo vya mapato katika msikiti na kwanini ni wao tu mbona Makanisa katoliki hakunaga utaratibu huu?
Na wale wazee wanakuwepo pale Kkoo na bango la msaada wa ujenzi Msikiti...
Teknolojia ya AI na drones inaleta mapinduzi makubwa katika sekta ya kilimo cha misitu, ikilenga kuongeza uzalishaji kwa njia endelevu huku ikilinda mazingira ya asili.
Kwa kutumia teknolojia...
Wasalaam.
Zimesalia siku 20 tu mwaka 2019 uishe. Ni siku chache kweli kweli na zinakwenda kasi haswa.
Wengi watakuwa wanatafakari namna miezi 12 ilivyokwisha na huku wangali:
- Hawajatimiza...
Moja, haonekani.
Pili, anatetewa na binadamu.
Tatu, hakuna ushahidi wa kisayansi.
Nne, anaenezwa kwa imani na vitisho siyo ufahamu.
Tano, wanaomhubiri wanatofautiana na kuchukiana.
Sita...
Mtaani mchuano wa DStv na AzamTv ni Mkali sana.
DStv katika kuendana na kasi ya AzamTv ameamua kuachia ofa chaneli zote bure hata kama hujalipia kuanzia jana Desemba 27 mpaka kesho Desemba 29...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.