Marafiki wa kweli ni faraja.

Mpauko

R.I.P
Jan 19, 2019
2,323
3,353
Habari...

Ntafuta marafiki wa jinsia zote wa kupeana nao changamoto za kimaisha, ushauri na kubadilishana mawazo.

Nitafurahi sana wakiwa watu simple, watafutaji, wenye mawazo chanya, uvumilivu na sense of humanity especialy wenye kujitambua

Imani yoyote
Umri wowote
Mahali popote



Nipo Mtwara
25 yrs
A man

Napenda kutembelea maeneo tulivu, napenda soka na kusoma vitabu.

NOTE:Only katika jf, unles otherwise..
 
Back
Top Bottom