Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 26,420
- 80,699
Weledi wa kazi umepunguwa, watu wamegeuka miungu watu , yaan fulu tafurani.
Kuna Mahali nilikuwepo kama wiki tatu, watumishi wanaingia kazin kuanzia mishale ya saa tatu mpaka nne Asubuhi .
Saa Tano wanaenda kunywa chai, Saa Saba nanusu wanaenda kula Cha mchana, Kwa hiyo Milo miwili ,Masaa mawili yanakata.
Ebwana wanajikuta miungu watu, nyodoo, na ule "Mimi hapa ndio top " , wanapenda kuabudiwa balaa, ila utendaji kazi SIFURI .
Sasa picha linaanza, kwenye Taasi husika yenyewe, Watumishi wanaingia kazin kuanzia saa nne kasoro , kuanzia mpango kazi ,utendaji ,uwajibikaji ni ilimradi siku iishe.
Hakika MAGUFULI atakumbukwa Kwa nidhamu aliowapa watumishi.
UNAJUA WATANZANIA, WANA KAWAIDA YA KUSOMA MAZINGIRA, WAKIONA KIONGOZI WA JUU NI LEGELEGE NA WAO WANAPITIA HUMOHUMO.
Unakutana na Kiongozi ,picha linaanza, anakuambia Kula Kwa urefu wa kamba, hujakaa sawa, anakuambia sipendi kufoka nyie watu wazima , unageuka kushoto , Mimi naongea Kwa karamu 🤣🤣 duuh!!.
Hivi hata UISLAMU ndio unawafundisha kuiona Pepo ni kufumbia macho ujinga?.