Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Duniani kuna Wachungaji wa aina mbili, wema na wabaya Wachungaji wema mara zote wanahubiri habari njema za Mungu, mara zote wanaeneza Upendo, Amani, Mshikamao na kupigania utulivu ndani ya mioyo...
1 Reactions
3 Replies
539 Views
Wakurugenzi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa wametakiwa kusimamia kwa weledi miradi ya maendeleo ili kuwapunguzia viongozi maswali kwa wananchi. Maelekezo hayo yametolewa na Waziri wa Nchi, Ofisi...
2 Reactions
17 Replies
708 Views
Mara kadhaa Serikali imesisitiza kuwa suala la malipo ya michango ya ziada ni suala la makubaliano kati ya Shule na Wazazi au Walezi wa Watoto, hilo linaangukia pia kwenye suala la chakula kwa...
4 Reactions
46 Replies
2K Views
MWANAMKE INITIATIVES FOUNDATION (MIF) YAGAWA AMBULANCE 4 NA VITI 50 KWA WENYE ULEMAVU Siku ya tarehe 27 Januari 2025, kwenye sherehe ya kuzaliwa kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe...
2 Reactions
6 Replies
544 Views
Mkazi wa Kijiji cha Mwihitiri wilayani Ikungi mkoani Singida, Frank Joseph (28) amefariki dunia baada ya kudaiwa kupigwa pamoja na kuingizwa miti sehemu ya haja kubwa na askari wa jeshi la akiba...
5 Reactions
24 Replies
2K Views
Nataka niweke hao wanyama nyumbani kwangu kuna mtu akaniambia tausi wapo ikulu na labda wanaopewa ni viongozi wakiomba.Nani anajua wapi nitawapa tausi kuhusu kobe nashangaa wameadimika sana...
3 Reactions
30 Replies
2K Views
Nataka niweke hao wanyama nyumbani kwangu kuna mtu akaniambia tausi wapo ikulu na labda wanaopewa ni viongozi wakiomba.Nani anajua wapi nitawapata tausi kuhusu kobe nashangaa wameadimika sana...
4 Reactions
12 Replies
622 Views
Trump ametufundisha jambo kwa sasa fukuza wazungu kwenye migodi nasisi tuchimbe dhahabu zetu wenyewe fukuza kwenye gesi uko yaaani ubaya ubwela tu kila mahali tukae wenyewe fukuza kwenye viwanda...
3 Reactions
18 Replies
603 Views
"Nawajulisheni kwamba nimeandika barua kwa katibu mkuu, nimeondoa kusudio la kugombea nafasi ya makamu mwenyekiti wa chadema Tz bara, na nimewasilisha barua ya kugombea uenyekiti wa chadema Taifa"...
3 Reactions
10 Replies
834 Views
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Kilimanjaro, imezuia Sh329 milioni zilizopangwa kutumika kununua jenereta mbili kwa ajili ya iliyokuwa Mamlaka ya Uendeshaji na...
0 Reactions
2 Replies
365 Views
Wakati majirani huko na kule wanabaguana ni vema wakachungulia huku na kujifunza. Vilevile na sisi tukachungulia kule ili kuona ni vipi tusijefanya makosa kama yao. Sifa za Makabila; (Ili uwe...
2 Reactions
13 Replies
605 Views
Watu wengi sana wanaishia kuumiza na wezi kwa kuchukua risk ya kuanza kutaka kunegotiate na kubishana, wengi wao huwa hawana uzoefu, baada ya kuumia ndio hujifunza maana somo huwa linaeleweka...
13 Reactions
44 Replies
2K Views
Kwa mujibu wa taarifa ya jeshi la polisi mnamo January 02 mwaka huu, wananchi wa Kijiji cha Ng’ombo wilayani Nyasa walimuua mamba na kufanya kitoweo. Majira ya saa kumi na moja alfajiri kwenye...
2 Reactions
44 Replies
2K Views
Wakuu baada ya Mo Dewji kudukuliwa nimeona nije na madini hapa ili tukuchue hatari kwani hiki kinaweza kumtokea mtu mwingine. Lakini pia nimeshuhudia marafiki zangu wengi akaunti za mitandao ya...
1 Reactions
4 Replies
391 Views
Habarini wanaJamiiForums, Mimi ni mdau wa kupenda maendeleo na ustawi wa wengine pia.Kuna hili swala la ajira za Walimu mtindo wanaotumia kupata walimu wa kuajiriwa ni mzuri ila una mkwamo mkubwa...
2 Reactions
11 Replies
661 Views
Wastaafu Kufuata Huduma ya NHIF Dodoma Sasa Limekwisha "Mbunge wa Jimbo la Kiteto, Mhe. Edward Ole Lekaita Aliandika Barua Kwenda Wizara Ya Afya Kuomba Wazee "Wanatakiwa Wasije Hapa Dodoma Ama...
0 Reactions
1 Replies
376 Views
Wakuu, Madereva wa Magari yanayofanya safari za Nachingwea, Ruangwa, Liwale, Mtwara na Masasi kutokea Stendi kuu ya Mabasi Mkoani Lindi wamegoma hii leo januari 8, 2025 kwa kile walichokieleza...
1 Reactions
2 Replies
753 Views
Mkuu wa Wilaya ya Lindi Mhe Victoria Mwanziva amefanya ziara maalum ya kukagua utekelezaji wa Miradi ya Maji- Wilaya ya Lindi na kubainisha mafanikio na megauzi makubwa Sekta ya Maji ikiwa ni kazi...
0 Reactions
1 Replies
231 Views
WAKALA wa maji na usafi wa mazingira vijijini(RUWASA) Wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma,umeanza kutekeleza program ya uchimbaji visima 900/5 kwa kila Jimbo ambapo Wilaya hiyo yenye majimbo mawili ya...
0 Reactions
2 Replies
447 Views
Habari wadau, sina mengi ndugu zangu naomba kujua wapi nitapata soko la madini aina ya ulanga mweusi na kyanite, msaada wa upatikanaji wa soko. Natanguliza shukran
1 Reactions
2 Replies
447 Views
Back
Top Bottom