Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Tanzania ndio Nchi pekee ambayo inaruhusu Wakulima wake wawe wanaibiwa na kinyonywa Kwa kuruhusu matumizi ya kilo 100 kama kipimo rasmi Cha kuizia bidhaa za nafaka badala ya kilo 90 kama ilivyo...
0 Reactions
2 Replies
233 Views
U hali ganI mpendwa msomaji, kwa uwezo wa Mungu naamini u bukheri wa siha. Kama kichwa cha uzi kinavyo jieleza basi ni wazi kuwa kwa sasa tunaishi katika Ulimwengu wa faida. Na utambue tu kwanzia...
4 Reactions
8 Replies
586 Views
Vijana wawili ambao ni Bakari Ismail (21) na Shomari Kacheuka maarufu Babuu (22) wamefariki dunia huku vifo vyao vikigubikwa na utata kwakuwa mara ya mwisho December 27,2023 walichukuliwa kwa...
11 Reactions
119 Replies
9K Views
"DRC haiwezi tu kutuambia tunyamaze wakati wanaongeza tatizo la usalama dhidi ya nchi yetu. Hakuna anayeweza kutuambia tunyamaze" "Tumekuwa tukiiomba sana DRC na viongozi wake kwa muda mrefu...
0 Reactions
2 Replies
322 Views
Sina mengi jionee mwenyewe.....
6 Reactions
17 Replies
904 Views
Siku ya Jana kupitia mtandao wake WA kijamii, maarufu Kama X , Bilionea Elon Musk ameandika kua Anampenda Raisi Donald Trump Kama vile mwanaume anavyoweza kumpenda MWANAUME mwenzake. Aisee...
4 Reactions
24 Replies
1K Views
Watumishi wa Umma Huwa wanaonewa sana na Wanasiasa, Kwa kutumia Hawa TAKUKURU. Majizi ya Nchi hii ni Wanasiasa na watu wenye vyeo vikubwa lakini sijawahi sikia hao wanaojiita TAKuKURU...
1 Reactions
4 Replies
245 Views
Kwa utafiti hafifu Mji wa Morogoro una shindwa kupiga hatua kwasababu za KIUONGOZI WA JIMBO! Matatizo makubwa ya Mii huu haya semewi na kusimamiwa ipasavyo na Mbunge na Madiwani sababu hawana...
8 Reactions
56 Replies
2K Views
Elon Musk ameanza kutekeleza mpango wa kuliua Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la Marekani (USAID). Amesema anaamini USAID ni "shirika la kihalifu" ambalo linapaswa "kufa." Kupitia mtandao wa X...
8 Reactions
51 Replies
4K Views
HAKUNA LEGACY YOYOTE UTAKAYOACHA ÀMBAYO ITAFIKA MWAKA 3000 LABDA KIDÔGO KWA BAHATI LEGACY YA KIZAZI CHAKO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Siô kama nakukatisha tamaa Wala hata. Mimi...
16 Reactions
61 Replies
2K Views
India ina mgogoro wa mpaka na China. Sasa ilikuwa imeeweka oda ya drone 400 kwenye makampuni yake ya ndani kwa ajili ya usafirishaji wa vifaa kwa majeshi yaliyo mpakani. Sasa imekuja kugundua hizo...
4 Reactions
8 Replies
729 Views
Yaani JamiiForums ofisi zenu kwanini mnazificha na hamuziweki bayana? Utasikia mara kwa Warioba Mikocheni, Mara Kawe Tripple Seven, Mara Msasani Mokoroshoni. Mbona hivyo? Mnajificha nini?
9 Reactions
37 Replies
5K Views
Hii nchi ni kama ina laana hivi. Umeme unakatika hovyo sana Majenereta yamerudi kwa kasi kariakoo. Huku mitaani wanakata hadi usiku
8 Reactions
53 Replies
2K Views
Orodha hii hapa. Kongowe, hapa ni mpakani mwa Dar na Pwani, kuna movement kubwa sana ya watu, magari mengi na junction ya kutoka Kigamboni kwenda Mkuranga au Mbagala. Mwandege hapa iliwekwa...
3 Reactions
4 Replies
633 Views
Habari za jioni jamii forum Kazi ni maisha,kila hatua na kila siku tunahitaji ubunifu mpya kwenye mishe zetu ikiwa ni njia ya kujikwamua na kuuacha umaskini haswa Kwa sisi watu wa kipato cha...
0 Reactions
0 Replies
249 Views
Serikali ya Tanzania imetangaza kufanya sensa ya uzalishaji viwandani kuanzia Machi hadi Juni 2025, ikiwa ni mara ya kwanza kwa sensa kama hiyo kufanyika kwa wakati mmoja Tanzania Bara na...
0 Reactions
0 Replies
316 Views
Mwigizaji Olivia Hussey maarufu kama Juliet , aliyepata umaarufu kupitia filamu ya Romeo and Juliet ya mwaka 1968, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 73. Mwigizaji huyo ambaye amewahi kuuvaa...
9 Reactions
111 Replies
7K Views
Jana nimerudi nimechoka nikafikia kujitupa tu kwenye kiti hakukuwa na mtu sebuleni ila TV ilikuwa inaonesha chaneli ya Azam 2 Macho yangu yakaona kipande kimoja kwenye tamthilia ya kituruki bila...
34 Reactions
220 Replies
8K Views
Kimbia kajifunze ufundi wa ku-design gypsum boards, tv show case outlook, outlook ya kisasa ya maduka na interior design nyingine kwa pamoja. Kimbia kajifunze mji ulivyo, zunguka utafute nyumba...
14 Reactions
37 Replies
2K Views
Back
Top Bottom