TAARIFA : Mliyohitimu Tegeta High School mkachukue vyeti vyenu shule imeshauzwa.

chakii

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
20,819
26,180
As received!



TANGAZO:


KAMA WEWE AU NDUGU YAKO ALISOMA TEGETA HIGH SCHOOL NA HAJACHUKUA VYETI AU LEAVING...AENDE KUCHUKUA MWISHO MWEZI WA NNE.BAADA YA APO UTAPATA USUMBUFU SANA KWANI SHULE HIYO IMEISHAUZWA NA KUWA BRANCH YA CHUO KIKUU CHA MZUMBE...

MPAKA vSASA FORM V NA O-LEVEL WOTE WAMEISHAHAMISHWA


...form six tu ndio wapo kwa kuwa wanajiandaa na mitihani..


sambaza taarifa hizi
 
Shule imeuzwa au majengo ya shule ndo yameuzwa? Huko walikohamia hao wanafunzi ni shule ile ile au nyingine?
 
nawaonea gere waliosoma shule kongwe za serikali! kama azania cdhan kama wanategemea kuuza
 
Inaelekea shule za Wazazi zimewashinda kuziendesha ndiyo maana hata Omumwani ya pale Bukoba mkulu aliamua kuitaifisha.
 
nawaonea gere waliosoma shule kongwe za serikali! kama azania cdhan kama wanategemea kuuza
Hata Tegeta ilikuwa vizuri mkuu, naifahamu kwa ukaribu tangu kuanzishwa kwake. Tatizo hii shule ya wazazi walimwachia Mkuu wa shule pekee, aitwaye Makoyola ikawa kama ya kwake binafsi kwani alijipa tenda ya;
1. Usafirishaji
2. Ushonaji
3. Utengenezaji wa samani
4. Hostel
5. Na tenda ya chakula.
Jamaa aliinuka ghafla kiuchumi na akaanzisha shule yake iitwayo st. Patrick maeneo ya wazo.
Hadi alipopata msukosuko wa kuuza viwanja vya wazi kama diwani na akakimbia nchi.
Ndipo mwanzo wa kuyumba kwa shule hii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom