Wakili Peter Erlinder na kifo cha Prof Juani Mwaikusa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wakili Peter Erlinder na kifo cha Prof Juani Mwaikusa

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Stuxnet, Apr 3, 2011.

 1. S

  Stuxnet JF-Expert Member

  #1
  Apr 3, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,016
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Prof Peter Erlinder ambaye ni wakili anayewatetea watuhumiwa wa mauaji ya kimbari ya Rwanda ya mwaka 1994. Ameomba kuwasilisha utetezi wake kwa niaba ya wateja wake kupitia picha za video yaani 'video conference'. Anasema usalama wake uko mashakani kama atakuwapo mahakamani Arusha kimwili kwa kuwa Serikali ya Rwanda inatekeleza mpango wa kuwaua watetezi wote wa watuhumiwa wa mauaji ya kimbari. Profesa Peter ambaye ni mwanasheria wa Kimarekani anasema hataki yampate yaliyompata mwanasheria mwenzie Profesa Juani Mwaikusa wa UDSM aliyeuawa kikatili nje ya nyumba yake mwaka jana. Ingawa sitaki kuingilia mchakato wa DCI na mahakama lakini nataka mdau mwenye details zaidi atujuze!
   
 2. F

  Ferds JF-Expert Member

  #2
  Apr 8, 2011
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 1,267
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  mbona WENGI TU WANAWINDWA, NITAKUTUPIA LINK UPATE MADATA, JUST NIPM
   
 3. Mu-sir

  Mu-sir JF-Expert Member

  #3
  Apr 8, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 3,633
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  mkuu na mimi nitupie hiyo link.
   
 4. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #4
  Apr 8, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,132
  Trophy Points: 280
  Hata Mtikila anadai anawindwa
   
 5. emma-chriss

  emma-chriss Senior Member

  #5
  Apr 9, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 100
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hivi hio rwanda tribunal haina witness protection programme?
   
 6. S

  Stuxnet JF-Expert Member

  #6
  Apr 9, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,016
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Sawa nasubiri unipe hiyo list
   
 7. kipindupindu

  kipindupindu JF-Expert Member

  #7
  Apr 9, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 1,051
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mambo ya kawaida haya ni kama "occupational hazards"
  we unadhani kumtetea muuaji na mbakaji ni jambo la kufurahiwa na kilamtu?
   
 8. S

  Stuxnet JF-Expert Member

  #8
  Apr 9, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,016
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Ni mahakama tu yenye ku prove guilty of an individual otherwise ni innocence tu ndiyo inakuwa ina prevail. Haiwezekani Kagame ukatili wake ukavuka mipaka kuja kuja kuua wananchi wetu wasio na hatia kama Prof Mwaikusa halafu jamii ikakaa kimya.
   
 9. Jimjuls

  Jimjuls JF-Expert Member

  #9
  Jul 19, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 460
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  naomba na mimi hiyo link
   
 10. Freestyler

  Freestyler Senior Member

  #10
  Jul 19, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 199
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mkuu ni-PM hiyo link...though ingekua better uimwage tu..au unawe unaogopa?
   
 11. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #11
  Jul 19, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Issue za wakubwa izo ukiziingilia wanakupotezea,rest in peace Mwaikasu
   
 12. Aloysius

  Aloysius Member

  #12
  Jul 20, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 83
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tafadhali sana, hizo information zikipatikana, tujuzane bila choyo, hata mimi na tamaa ya kuzion!
   
 13. BCR

  BCR Senior Member

  #13
  Jul 20, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 101
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hinaomba ill link mkuuthanks
   
 14. S

  Stuxnet JF-Expert Member

  #14
  Jul 22, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,016
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Ni Juani Mwaikusa siyo Mwaikasu. Mwaikasu ni Jaji Mstaafu wa Mahakama kuu ya Tanzania na kwa sasa anafundisha Tumaini University pale Iringa campus
   
Loading...