Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kuna wakati najiuliza maswali mengi nakosa majibu! Utofauti wa mwanamke na mwanaume upo na kila mtu anafahamu hilo, ila tunaamua kuchagua tu kuziba masikio na kusema kuwa tupo sawa. Hii picha...
5 Reactions
9 Replies
497 Views
Wakuu Wizara ya Afya imewekeza Sh5 bilioni katika ujenzi wa jengo jipya la tiba mionzi katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini (KCMC) pamoja na ununuzi wa vifaa tiba vya kisasa. Hatua...
1 Reactions
8 Replies
719 Views
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) katika lengo la kuimarisha ushirikiano baina na Viongozi wa Serikali za Mitaa, imeanzisha motisha maalum ya kuwawezesha Viongozi...
1 Reactions
4 Replies
360 Views
U hali gani Tanzania ! Naomba niweke mchango wangu wa mawazo hapa Jamii Forums. Napenda kuweka wazo rasmi kwa National Housing Corporation (NHC) kuwa ipewe umakini, umuhimu na umaanani katika...
1 Reactions
3 Replies
604 Views
WAZIRI MHAGAMA: HOSPITALI YA KIBONG’OTO KUWA TAASISI YA MAGONJWA AMBUKIZI Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama amesema Hospitali Maalum ya Tiba ya Magonjwa Ambukizi kibong’oto inatarajiwa kuwa...
0 Reactions
0 Replies
309 Views
Kamati ya msaada wa Kisheria imewasilisha taarifa ya utekelezaji wa shughuli hiyo iliyodumu kwa muda wa siku 10 ndani ya mkoa wa Lindi tangu ilipozinduliwa Februari 19, 2025 wilyani Ruangwa na...
3 Reactions
5 Replies
393 Views
Hebu tujadili Ujue naona miaka 5 au 10 ijayo nawaona Rwanda na Uganda kama watu ambao wanaweza kuja kuvuruga east Africa, Rwanda Tayari huko Congo mnajionea na anazidi kujitanua kijeshi kwa...
4 Reactions
24 Replies
797 Views
Anonymous
Mwanza kata za Isamilo na Kiloleli hazina maji kwa zaidi ya wiki mbili sababu ukarabati miundo mbinu, maji tunapa ziwani . Hatujui yata rudi lini je huo ni utaratibu wa ukarabati maana imezoeleka...
0 Reactions
0 Replies
291 Views
Mwili wangu wote unatetemeka, hasa ukizingatia huwa sina Shaka na Watumishi wakweli wa Mungu. Nabii Denis ameusoma unabii anaodai kwamba umetoka kwa Mungu, ni siku kama mbili au tatu zilizopita...
7 Reactions
47 Replies
2K Views
Yani wanaanza mfungo, mara ttiiii, nyuzi karibia laki 😂😂 Mishe mishe zao mwezi huu mnaona kama zinawakera? Anyway maisha yaendelee, mwanadamu ni zaidi ya dini ndio maana imemshinda.
4 Reactions
12 Replies
465 Views
Mwaka 2021 kuna rafik angu aliibiwa simu sasa yule aliyemuibia simu akatoa ile line akaanza kuwapigia contacts zilizopo na kuwaambia amepata dharura anahitaji laki 3. Mimi alinipigia na...
2 Reactions
1 Replies
196 Views
Wakuu Nafanya biashara ya kuchukua mzigo Dar. Changamoto ni gharama za usafiri unajikuta faida inaishia kwenye nauli. Nielekezeni njia rahisi ya kusafirisha mizigo kutoka Dar kuja Mwanza kwa bei...
2 Reactions
31 Replies
3K Views
Yani natamani na nina hamu sana zali la kupigwa kwa kula hadharani mchana badala ya usiku mwezi huu linipate huko Zenji. Patachimbika maamae huo mkono ntakavyoutembeza. Yani ngumi za uhakika...
14 Reactions
55 Replies
2K Views
Tanzania shippers Council Baraza la wasafirishaji shehena Tanzània limeandaa mjadala wa wazi wa kibiashara baina ya Serikali na sekta binafsi katika Ukumbi wa Peack Cock Hotel Jijini Dar es...
5 Reactions
20 Replies
968 Views
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Ahudhuria Dua Maalum ya Hitima ya Marehemu Mzee Omary Rashidi Mchengerwa ZANZIBAR – Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Hemed Suleiman Abdulla, ameungana...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Kwanza ulemavu ni nini ni ile hali ya ugonjwa au kupatwa vurugu na mchafuko au hali ya kua na hitilafu ya kudumu na upungufu wa kitu. Kuna aina nyingi za ulemavu kama ifuatayo; •Ulemavu wa Viuongo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ili kupata watumiaji wengi mitandao ya kijamii imekuwa ikivutia watu wengi kwa malipo ya maudhui na idadi ya wafuasi waliopo kwenye maudhui. Kutokana na sisi kulala na yeye jamiiforum kuzidi...
2 Reactions
13 Replies
722 Views
Katika Uislamu, swaumu ya Ramadhan ni ibada yenye masharti na mwongozo maalum. Moja ya hoja zinazojitokeza ni iwapo kipofu anaweza kufunga, kwani kuna Aya na Hadithi zinazozungumzia umuhimu wa...
5 Reactions
8 Replies
871 Views
Habari wakuu! Yaani kuna vyitu vingine vinatafakarisha sana! Dodoma ni makao makuu ya nchi lakini mpaka leo maji ni shida yaani ni mgao na siku za mgao huo maji yanatoka kwa matone jamani sehemu...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Tumsifu Yesu Kristo wapendwa Leo hii tuna vuguvugu la uekumene, kutafuta umoja ambao Yesu kabla mateso, kifo na ufufuko wake aliuombea (soma Yohane 17). Kuna mambo mengi tunayoshirikiana na...
3 Reactions
14 Replies
632 Views
Back
Top Bottom