Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nahisi sikuhizi wadau wa haya mambo hawaingii kwenye zile sites zao, wananyooka moja kwa moja twitter MADHARA YAKE Porn inamaliza pesa, ni sembe ya kidijitali, mtu yupo radhi ale maandazi usiku...
2 Reactions
12 Replies
798 Views
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Singida imebaini madudu katika miradi inayotekelezwa katika halmashauri za mkoani hapa ambapo Kodi ya Zuio (Kodi ya Huduma) imekuwa...
0 Reactions
1 Replies
594 Views
Kwema Wakuu! Hatufuatiliani wala hatupangiani maisha. Ila tunakumbushana huku nami nikijikumbusha pia Kwa Nia nzuri tuu. Ili baadaye tusijekujikuta katika Huzuni kuu. Vijana tunapoambiwa tule na...
193 Reactions
415 Replies
34K Views
Wakuu, Vitu kama hivi vinapaswa viwe vinafundishwa darasani, kuna namna mitaala yetu inabidi ibadilishwe kabisa
2 Reactions
12 Replies
665 Views
Majaribio hayo yaliyoanza katika Nchi za Tanzania, Uganda na Afrika Kusini yamesitishwa kutokana na takwimu za waliochanjwa kuonesha Chanjo waliyopata haina ufanisi katika kuzuia maambukizi ya...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Anonymous
Maji yanatoka usiku wa manane na yanachuruzika kidogo sana inachukua takriban dakika 10 kujaza ndoo kubwa. Tunashindwa kutambua tatizo ni line za maji au ni sisi. Pia bill ya maji inakuja kubwa...
0 Reactions
0 Replies
199 Views
Niamini Mimi huwezi kuwa member actually active kwenye JF alafu ukawa huna mafanikio kwenye maisha magumu Kama upo kwenye maisha. Magumu ni suala la muda Kama ni jobless ni suala la muda tu...
11 Reactions
32 Replies
827 Views
Waasi wa M23 wa mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo ambao wanaungwa mkono na Rwanda wanaripotiwa kuuteka uwanja wa ndege wa kimkakati wa Kavumba karibu na Bukavu, mji mkuu wa jimbo la...
1 Reactions
1 Replies
424 Views
Watu wengi hawajui Historia ya hili Taifa la Mungu. Israel ndio waliokabidhiwa Nchi ya Kanani , miaka zaidi ya 1800 kabla ya kurudi kwao Kanani mnamo mwaka 1948, walitawanyika katika mataifa...
0 Reactions
13 Replies
660 Views
Maslahi ya mada, 1. Mzee Mwinyi alikuwa Mzee sana kiasi cha kutegemewa kufanya maamuzi yoyote! Kwa umri wake alikuwa kama mtoto akifanyiwa kila kitu. 2. Mzee Mwinyi alikuwa na wake wawili. Kama...
15 Reactions
101 Replies
9K Views
Aiseee, Yani sasa hivi hata thamani ya utu imepotea, Naamini hata babu yako akiamka leo toka kaburini akute jinsi unavyo samabaratisha moyo wako kwa kuunda uongo uongo ndani yako ili mtu fulani...
2 Reactions
12 Replies
549 Views
Kuna mtu mmoja yuko kwenye taasisi fulani nyeti ya serikali. NI MTU mzito sana, Akaniambia Bibi, kazini kwangu kuna fursa ya kupiga, ambayo itakunufaisha na wewe. Nikamwambia ni fursa gani hiyo...
11 Reactions
75 Replies
3K Views
WaziriI wa Maji, Jumaa Aweso amewahakikishia wakazi wa Dar es Salaam na Pwani, upatikanaji wa maji safi na salama katika mikoa hiyo kwani changamoto ya hitilafu ya mtambo wa kuzalisha maji wa Ruvu...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Sio kwamba hauna thamani ni basi tu uko unappreciated Fanya mabadiliko. Jiweke miongoni mwa wanaoona thamani yako then angalia jinsi utakavyoboreka haraka. Wakati ua halichanui, rekebisha...
0 Reactions
1 Replies
305 Views
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso (Mb) amezindua rasmi kampeni ya "Mtaa kwa Mtaa" katika Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA na kuiagiza Mamlaka zote za Maji Nchini...
1 Reactions
10 Replies
972 Views
AWESO ATETA NA WATAALAMU UFUNDI DAWASA, MIKAKATI YAWEKWA BAYANA ~Atoa uhakika wa huduma kwa Wakazi wa Dar na Pwani Waziri wa Maji Mhe.Jumaa Aweso (Mb) amekutana na kufanya kikao kazi na...
1 Reactions
1 Replies
491 Views
Hakuna maji Ubungo riverside maeneo yote kuanzia daraja la Kijazi mkono wa kushoto .. no mambo ya AIBU sana Hakuna taarifa yoyote watu tunaishi kama tuko dunia ya miaka ya 40tatizo ninini.. Bili...
2 Reactions
11 Replies
742 Views
Wakuu, ikiwa leo ni Sikukuu ya Wapendanao "Valentines Day", unasherekea vipi au umepokea nini mpaka sasa? Kama huna ramani unaweza kusherekea siku ya leo kama ifuatavyo; Kubadilishana zawadi...
4 Reactions
13 Replies
991 Views
Kumekuwa na utiririshaji wa majitaka ovyo maeneo ya Ubungo Riverside kuanzia maeneo ya Msikitini mpaka Kituo cha Kaladala karibu na Riverside Bar kuna harufu kali inayosababishwa na maji taka...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Wanabodi Kama kawa kila nipatapo fursa huja na makala zangu elimishi za kwa maslahi ya taifa. Topic ya leo, ni kutoa wito kwa Serikali yetu kuingilia kati kitu kinachoendelea kwenye baadhi ya...
56 Reactions
267 Replies
16K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…