Hizi ndizo nyumba zinazochangia kuenea kwa UKIMWI

Kiroroma

JF-Expert Member
Feb 6, 2009
370
114
Wadau wa JF ukimwi katika nchi yetu kamwe hauwezi kwisha,ndani ya hizi hotel Madanguro) mambo ya kutisha yanaonyeshwa kwenye mitandao yao ya ndani.Kanda zote za kifedhuli zenye kuonesha picha za ngono ndani na nje ya nchi zinaonyeshwa humu.

Na mahoteli haya yanajaa sana mchana kweupe siku za kazi zaidi kuliko siku za mwisho wa wiki, Wengi wa wateja ni wanandoa, wake za watu na waume za watu. Mara nyingi hutoroka kazini kutumia muda huo kufanya ufuska, Na hata wakati mwingine hutoa visingizio kama wanaugua ,wanauguliwa or any excuse ili wakatimize lengo lao . Hata hivyo vyombo vya dola wanalijua hili , tena na wao ni washiriki wakubwa hivyo hawawezi kulizuia.

Hatari kubwa ni pale watoto wetu wa shule nao huhusishwa katika ufuska huu. Haya ni baadhi tu ya yale madanguro machache niliyoyatembelea kufanya utafiti wa jinsi Ukimwi unavyoenezwa hapa nchini,wangapi wanatumia kinga na wangapi hatumii kinga;


1.Namnani Sinza
2.Blue Rose - Sinza
3.Aspec Resort- Sinza
4.Mbezi Inn- Mbezi
5.Teepee Ubungo
6.Samaria Hotel- Makuburi
7.Transit Motel -Majumba Sita
8.PR Hotel- Uwanja wa Taifa
9.Kusini Guest house -Saba Saba
10...............

===================
10.Sekajembe guest house (majumbasita)
11.Mayfair....Kawe
12.Kunduchi bay resort...Africana
13.Kalembo...Buguruni
14.Mtedzi lodge....External
15.Marriotti......external.
Mji umevamiwa.

====================
16. Ambiance au Corner bar -Sinza Africa sana.
17. Meeda - Sinza Mori
18. Kimboka by Night Club- Buguruni shell
19. Sewa Bar - Buguruni sokoni
Hivi vijiwe vipo juu sana kuliko hivyo mlivyo taja.

Wana JF
ongezeni orodha hii hii tupate kuichambua na kuiweka hadharani hali halisi ya kuenea kwa ukimwi na utovu wa maadili katika jamii yetu.
 
Duh!!!!!...kumbe Namnani wamo siku hizi.Niliishi hapo sana nikisubiri
shule initafutie nyumba during my teaching days in Dar-es-salaam.
Haikua danguro japokua walikua na filamu za ngono zinazoonekana katika
baadhi ya vyumba kila usiku.Naona wameamua mambo laivu siku hizi....Bongo mwisho aisee.
 
Mdau umenigusa.

Na achilia mbali hizo ambazo serikali inaambuliwa angalau vijikodi vya hapa na pale (assumption-they dont evade tax). Kuna hizi ambazo ni guest bubu zilizojazana mikocheni, sinza, mbezi, kijitonyama na kinondoni ndo balaa kabisa, ukiiona ni nyumba ya kawaida tu lkn mafuska wanazijua na wanaambiana wenyewe kwa wenyewe.

Ukiondoa hiyo kuna salon pia za wanawake zimeingia kwenye huu mchezo mchafu wa kuwaunganisha wake za watu na njemba mbalimbali hasa salon za sinza, mikocheni na kinondoni.

Sijui tutajikwamua vipi na hili janga wadau?
 
Mdau umenigusa. Na achilia mbali hizo ambazo serikali inaambuliwa angalau vijikodi vya hapa na pale (assumption-they dont evade tax). Kuna hizi ambazo ni guest bubu zilizojazana mikocheni, sinza, mbezi, kijitonyama na kinondoni ndo balaa kabisa, ukiiona ni nyumba ya kawaida tu lkn mafuska wanazijua na wanaambiana wenyewe kwa wenyewe. Ukiondoa hiyo kuna salon pia za wanawake zimeingia kwenye huu mchezo mchafu wa kuwaunganisha wake za watu na njemba mbalimbali hasa salon za sinza, mikocheni na kinondoni. Sijui tutajikwamua vipi na hili janga wadau?

Mmmhhhhhhhhh tutamalizika kweli kweli.
 
Umeisahau Fine Travellers - Sinza Kijiweni

Hebu elezea kidogo, nshalala hapo mwaka jana na sikuona tatizo! Hana Manager wao Alex ni jamaa poa ulinzi wa magari poa, nyama kwenye jiko pia imetulia na week end kulikuwa na live band kwa pale pembeni.....hakukuwa na dadapoa wala akina kakapoa!
 
Sawa.

Kama kilimo kipo nyuma, na ni cha jembe la mkono.kijiji kimoja chenye kaya zaidi ya 100 kinapelekewa 25 Kgs za Mbegu ya Mahindi.

Viwanda na mashirika yote vimebinafsishwa.

Lazima watu warudi kwenye THE OLDEST PROFESSION on earth.

Cha msingi walindwe.Ipelekwe Sheria,ipite itengenezewe kanuni za kuendesha hii biashara na support service nyingine ziwepo.

Watu walipe rent,wapate chakula,wasomeshe na wajenge pia.
 
1.Namnani Sinza
2.Blue Rose - Sinza
3.Aspec Resort- Sinza
4.Mbezi Inn- Mbezi
5.Teepee Ubungo
6.Samaria Hotel- Makuburi
7.Transit Motel -Majumba Sita (opposite to airport)
8.PR Hotel- Uwanja wa Taifa
9.Kusini Guest house -Saba Saba
10.Sekajembe guest house (majumbasita)
11.Mayfair....Kawe
12.Kunduchi bay resort...Africana
13.Kalembo...Buguruni
14.Mtedzi lodge....External
15.Marriotti......external.

Mji umevamiwa.
 
Siku moja niko na Mr wangu tumekaa sekajembetunapata kinywaji,wahudumu wakaanza kulalamika kuwa Mage kila akija hapa lazima aache kinyesi kwenye mashuka yetu safari ijayo tumzuie asiingie na mtu.

Niliogopa ikabidi tuache soda zetu kurudi msibani.
 
Duh!!!!!...kumbe Namnani wamo siku hizi.Niliishi hapo sana nikisubiri
shule initafutie nyumba during my teaching days in Dar-es-salaam.
Haikua danguro japokua walikua na filamu za ngono zinazoonekana katika
baadhi ya vyumba kila usiku.Naona wameamua mambo laivu siku hizi....Bongo mwisho aisee.

...he
nawajua sana namnani na nilishawahi kuwa mteja wao sana pale. kila nikipata jimama naenda kumalizana nalo pale.
wakati wewe unaishi pale ujue kuna bizinesi nyingine ilikuwa inasonga. hata sasa ukienda unaikuta iko tulivu ila shughuli ipo vyumbani.

Kuna hoteli moja inaitwa Bondeni Hotel pale magomeni. ile ya zamani walah ile ni chaka jingine kwa wanaopenda kujificha.
 
Toka lini Danguro likawa kiwanda cha ukimwi?.. Kwenye madanguro kuna usalama wa kutosha katika kubanjua amri ya sita tofauti na huko mitaani...!
 
1.Namnani Sinza
2.Blue Rose - Sinza
3.Aspec Resort- Sinza
4.Mbezi Inn- Mbezi
5.Teepee Ubungo
6.Samaria Hotel- Makuburi
7.Transit Motel -Majumba Sita (opposite to airport)
8.PR Hotel- Uwanja wa Taifa
9.Kusini Guest house -Saba Saba
10.Sekajembe guest house (majumbasita)
11.Mayfair....Kawe
12.Kunduchi bay resort...Africana
13.Kalembo...Buguruni
14.Mtedzi lodge....External
15.Marriotti......external.

Mji umevamiwa.

16. Ambiance au Corner bar -Sinza Africa sana.
17. Meeda - Sinza Mori
18. Kimboka by Night Club- Buguruni shell
19. Sewa Bar - Buguruni sokoni

Hivi vijiwe vipo juu sana kuliko hivyo mlivyo taja.
 
Hivi SUKA motel bado ipo active bongo? ilikuwa maeneo ya kimara mbele ya stop over kama sikosei
 
16. Ambiance au Corner bar -Sinza Africa sana.
17. Meeda - Sinza Mori
18. Kimboka by Night Club- Buguruni shell
19. Sewa Bar - Buguruni sokoni

Hivi vijiwe vipo juu sana kuliko hivyo mlivyo taja.
Watu mmelala guest house nyingi hivi? Duh
 
List ni kubwa sana sana...Blue Bird...ziko kibao na pataya pia zote siku hizi zinaitwa "kutoka dar kwenda dar.."zimejaa sana na ukiwa na mgeni ijumaa jioni au weekend...hupati hotel Sinza aiseee yaani ni balaaa sana ukijiuliza hawa wageni wametoka wapi??utashangaa...uliza uambiwe...saa 5 au 6 wanatoka zao
 
Sioni point ya kuweka hizo hotel/ motel/ guest houses hapa jamvini na kusema ni madanguro maarufu?

Ina maana hizo ukienda wanawake au wanaume wanapatikana hapo hapo umaarufu wao ni huduma nzuri wanazotoa kwa wateja wanaokodisha vyumba?
 
Hivi SUKA motel bado ipo active bongo? ilikuwa maeneo ya kimara mbele ya stop over kama sikosei

hahahaha mkuu hii imekufa jamaa ameokoka alichoma kreti na kupasua vyupa...lakini hivi sasa sijui jamaa kaishiwa tena naona watu wanaingia ingia pale lakini pamepooza sana kama unataka kulala lazima uwe na kitambulisho cha ndoa.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom