Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hakika mwalimu alishinda vita ya kijamii, sidhani hapa Africa ana mpinzani katika social policies ambazo hadi leo tunafaidika nazo. Sidhani hii leo kuna kiongozi anaweza akawa honest kuwa...
0 Reactions
1 Replies
282 Views
Imekua kero umeme Karatu mjini upo huku Endabashi mnakata hovyo na mnatuunguzia vifaa. Achia ngazi waje wanaoweza unakiangusha chama cha CCM
0 Reactions
6 Replies
508 Views
RIPOTI kutoka Hospitali ya Taifa ya Afya ya Akili, Mirembe imeeleza kuwa mfanyabiashara Khamis Luwonga (38) anayetuhumiwa kumuua mkewe Naomi Marijani na kumchoma moto kwa kutumia magunia mawili ya...
7 Reactions
69 Replies
5K Views
Ukitazama ramanj vzr ya tanganyika utaona kabsa kuwa Rwanda na Burundi imo ndai ya tanganyika kbsa lkn ajabu Ni nchi zinazo jiitegemeaa Sasa kwani mwalimu hakuona haja tuwe taifa moja badlaa...
1 Reactions
54 Replies
2K Views
Rais Mstaafu Jakaya Kikwete, kwa nafasi yake ya Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Ubia wa Elimu Duniani (GPE) amekutana na Rais wa Nigeria kujadili masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Taasisi...
0 Reactions
5 Replies
496 Views
Habari wakuu, naamini huku JF kuna watu wengi wengine tuna kipato cha kawaida cha maisha ya mtanzania, wengine hatuna chochote zaidi ya kumiliki smartphone kwa ajili ya kureply matusi na...
18 Reactions
105 Replies
5K Views
Marekani baba lao. Baada ya Trump kuanza kuwarudisha makwao waamiaji haramu na kusitisha misaada ya bure kupitia USAID na kujitoa WHO, dunia nzima inalia na kumlalamikia Trump kuwa sio mtu! Kila...
9 Reactions
49 Replies
2K Views
Amani kwenu watumishi wa MUNGU One Man down again Ni denzi kinoma huyu chali ya chuga He rest down because of love MUNGU MWENYEZI awatie nguvu wana familia LONDON BOY
9 Reactions
100 Replies
6K Views
Utafiti wa Viashiria vya UKIMWI wa mwaka 2022/23 unaonesha kuwa, kiwango cha maambukizi katika Mkoa Njombe ni 12.7% kiwango hiki kimeongezeka kwa 1.3% ukilinganisha na 11.4% ya utafiti uliofanyika...
5 Reactions
32 Replies
2K Views
Kuna rafiki yangu fulani amenithibitishia kuhusu ndugu yake aliyepona VVU baada ta kunywa dawa ipo kama chai alienda magomeni ama clinic yake kwa dokta anaitwa tr msigwa hata youtube video zake...
4 Reactions
31 Replies
2K Views
MUNGU BAADA YA KUKATALIWA NA WANADAMU ZAIDI YA MARA MBILI AKAAMUA KWENDA MBALI NA USO WA DUNIA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Maskini! Ni simulizi ya kuhuzunisha Sana. Hakuna kitu kibaya kama...
0 Reactions
1 Replies
590 Views
Kuna namna fulani ambayo wanawake wa kileo wame evolve kuwa allergic na maisha magumu au ya kuunga kuunga. Kuna namna fulani hivi ambayo wanawake wa kileo wameweza ku-set standards zao katika hii...
2 Reactions
1 Replies
461 Views
Wakuu Tanzania tunategemewa kuwa host wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi unaenda kwa jina la Africa Heads of State Energy Summit utakaofanyika January 27 - 28, 2025 Dar es Salaam, Tanzania Tungependa...
0 Reactions
3 Replies
458 Views
Muathirika wa UKIMWI akikubali hali na kufuata masharti tu anaishi miaka mingi sana hata ya maisha ambayo ingebidi aishi .kikubwa kuhakikisha kinga yako iko vizuri iwe kwa dawa -ARV plus lishe...
13 Reactions
100 Replies
4K Views
Wasalaamu...................................... Mimi ni msikilizaji mzuri sana wa vipindi vya Wapo TV vya Askofu Gamanywa na Ngonyani sidhani kama kuna kipindi nimekosa toka wameanza Oct 7 2023...
0 Reactions
1 Replies
362 Views
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Exim, Jaffari Matundu (kati) akizungumza na wanahabari (hawapo pichani) kutangaza ununuzi wa Benki ya Canara Tanzania ambayo rasmi inakuwa sehemu ya benki ya Exim...
0 Reactions
0 Replies
381 Views
What do you usually put in your handbag? Cosmetics, money, keys and what else? Any woman can easily fit in a tiny bag of almost the whole wardrobe. Handbag is still women affairs! If only you knew...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Serikali imejikita kuhakikisha inapunguza bei ya mitungi ya gesi ya kupikia na kutoa ruzuku ya asilimia 20 ya mitungi hiyo Ikiwa ni sehemu ya kutekeleza Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati...
2 Reactions
37 Replies
3K Views
UKIMWI upo ndugu zangu, nimetoka kumpeleka rafiki yangu hospital kupima ukimwi , ameathirika aisee , analia mpaka basi, amekata tamaa. Tuwe makini na wadada.
58 Reactions
483 Replies
28K Views
Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Mhe.Daniel Chongolo, amepongeza maendeleo ya ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Momba iliyopo katika Kata ya Chitete, akibainisha kuwa licha ya kasoro ndogo zilizojitokeza...
0 Reactions
2 Replies
344 Views
Back
Top Bottom