Binamu wanaoana.....
Watoto wa baba mkubwa na mdogo wanaoana. Zanzibar limetamalaki sana hili.
Yote hayo mimi yamenishinda; yaani nikamuoe mtoto wa baba mkubwa/mdogo? Damu yangu? Nimeshindwa...
Wakuu mpo vizuri?
Nimeajiriwa recently na kiwanda fulani cha wachina, wanatengeneza bidhaa fulani ambayo ni very fast moving na ni bidhaa pendwa kwenye society yetu ya kitanzania.
Kwa kweli toka...
Rais wa Marekani, Donald Trump, ameagiza ujenzi wa kituo cha kuwashikilia wahamiaji katika Kituo cha Guantanamo Bay, ambacho alisema kitakuwa na uwezo wa kuhifadhi hadi watu 30,000.
Alisema kituo...
Wakuu kwema? Twende moja kwa moja kwenye mada.
Huduma ya Bolt ukititokea unataka kuwasiliana nao labda umepoteza kitu au una malalamiko kwenye huduma yao, hakuna chaguo la kuwapata moja kwa moja...
Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Mhe. Queen Cuthbert Sendiga akikata keki ikiwa ni ishara ya kumbukizi ya kuzaliwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan iliyofanyika Kiteto...
Habari Wana jukwaa la JamiiForums, leo nimekuja na jambo hili linalowahusu hawa Wafanyabiashara wa Samaki katika masoko ya Soweto na Uyole jijini Mbeya.
Baadhi ya hao watu hawajali kabisa afya za...
Kuna Shule ya Msingi Irunda ipo Kata ya Ngoma Wilayani Sengerema Mkoani Mwanza inakabiliwa na upungufu wa madawati ambapo karibu nusu ya Wanafunzi hulazimika kusoma wakiwa wameketi sakafuni...
BAADHI ya wazazi katika Kata ya Kivule, Ilala - Dar es Salaam wametupia lawama Shule ya Msingi Anex, Serengeti na Kivule kwa madai ya kuwatenga, kuwanyanyapaa wanafunzi ambao wazazi wao...
Hellow wakuu, naomba msaaada hapa kwenye cheti cha kuzaliwa wakati wa uhakiki una maana gani leo siku ya tatu bado inasumbua aisee halafu ndugu yangu anataka kuomba chuo, pia muda wa maombi...
Hii inatoa picha Gani kwa taifa? Je kitendo kilichofanyika ni kitendo Cha kiungwana?
Mkuu wa mkoa anapata wapi ujasiri wa kuzungumza hadharani kuwa mama mjamzito akakatwe kisu na mumewe...
Nasikia ina watarget zaidi matajiri wa huko Geita, haswa hawa wa migodini.
Unakuta mke wa mtu ni chombo anakubaliwa na tajiri mmoja wana plan kukutana lodge then anafumaniwa ghafla na mme wa mtu...
ONGEZA MAFANIKIO: FAIDA TANO MUHIMU ZA KUANDIKA NAMBA 24 KWENYE KIGANJA CHA MKONO.
SEHEMU YA PILI.
👉Katika sehemu iliyo pita niliweka msingi wa awali ili kuweza kuelewa ni nini hiyo namba 24...
Baraza la Wawakilishi la Marekani hapo awali lilipitisha mswada wa sheria iliyolenga kuivua China hadhi yake ya "nchi inayoendelea". Hivi karibuni, Bunge la Marekani lilipendekeza azimio lingine...
Hellow Tanganyika,
Kuna issues nyingi muhimu niliwaza lini zitapata ufumbuzi, lakini siku chache tu baada ya kuapishwa huyu mtumishi wa Mungu Donald Trump nimepata kuona mwanga mbeleni,
Baadhi...
Salaam,
Nilipata wasaa wa kutembelea ndugu jijini Arusha takribani wiki mbili zilizopita. Nimejifunza experience mbaya sana ya angalau idadi kubwa ya wakazi wa Arusha bila kujali umri wao.
Watu...
Kwema Wakuu!
Kuanzia mwaka Juzi 2023 mwezi December, na mwaka Jana kukachanganya kuna ongezeko kubwa la Magari hasa malori ya Mafuta yakiwa na chata la Tai aliyevishwa Taji kichwani.
Kama...
Nyie mliojikuta Miamba ya kutetea wapale-stina kiasi kwamba mlijikuta mpaka mnatukana watu kisa Palestina, lakini sasa shida hii ya vita imetokea kwa majirani zetu wa damu kabisa hapo DRC, lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.