Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Shule ya Sekondari Reginald Mengi yapokea vifaa vya tehama Ofisi ya Mbunge Jimbo la Moshi Mjini imeendelea kutekeleza ahadi zake na kutatua kero mbalimbali za Jimbo kupitia Serikali Kuu...
0 Reactions
1 Replies
258 Views
Jamani mabus ya Hood yamefia wapi? Hood was the only competitor ya Abood and was going faster na pia was sharp wamefia wap? Abood mmewafanya nn?
7 Reactions
90 Replies
9K Views
Hakuna jambo linaondoa UTU WA MTU kama hichi kinachoitwa uchawa,Uchawa ndani yake umeficha maovu,umeficha ukweli,umeficha uzalendo na umeficha uMungu,kwa tafsiri ya chawa ni mtu aliyetayari...
7 Reactions
28 Replies
1K Views
Mwandishi: Dokta. Mungwa Kabili….0744 000 473 Nimekuwa nikipokea barua pepe kutoka kwa watu mbalimbali, wakitaka kujua masuala mbalimbali kuhusu ulozi, uchawi na jinsi ya kujikinga dhidi ya uchawi...
2 Reactions
30 Replies
71K Views
Waziri wa Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo amesema hadi kufikia mwezi June mwaka huu 2024, deni la Serikali liliongezeka na kuwa Tsh. bilioni 96,884.18 (Tsh. trilioni 96.8) ambapo Kati ya...
8 Reactions
74 Replies
3K Views
Wakuu nipo Venue hapa kuna MTU anasoma nyuzi za Robert Heriel na kujifanya ni za kwake huku akijisifu. Hakika JF sasa ni zaidi ya chuo. Hivi wanafunzi wa masters utawadanganya kirahisi hivi!
30 Reactions
101 Replies
4K Views
Ujinga ni bahari kubwa na tunaendelea kuogelea bila boya
26 Reactions
230 Replies
11K Views
Hapa nawajibu wale wenzangu na Mimi, ukiona mtu anakueleza anapata faida fulani kwenye biashara fulani ujue hiyo biashara alishaacha kuifanya kitambo. Biashara ni Siri kubwa na faida za biashara...
25 Reactions
97 Replies
3K Views
Kuna wakati tunaingia kwenye ugomvi na watu kwasababu ya kushindwa kusema hapana Na Kuna wakati tunaingia kwenye magumu ambayo hatuku paswa kuya pitia kwa kushindwa kusema hapana Unapo shindwa...
1 Reactions
1 Replies
319 Views
Wakuu, Kama utakuwa umefatilia speech za huyu mzee utakuwa umegundua kitu. -Anaongea kwa masihara lakini ujumbe unaokuwepo ni mzito na unaleta sense. 📌Sikia akiongelea mgogoro wa waarabu wa...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Ijumaa Novemba 22, 2024: Waziri Mkuu aunda Tume maalumu ya watu 21 - Kwa mujibu wa maelekezo ya Rais Dkt. Samia, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amezindua Tume maalum ya wajumbe 21 ambao wamebobea...
35 Reactions
883 Replies
90K Views
Kwa mujibu wa maelekezo ya Rais Dkt. Samia, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amezindua Tume maalum ya wajumbe 21 ambao wamebobea kwenye masuala ya ujenzi kuchunguza chanzo cha tukio la ajali ya jengo...
4 Reactions
71 Replies
5K Views
Wakazi wa Mtaa wa Ginery maeneo ya Singida Sekondari tunaomba tusaidiwe barabara. Hali ni mbaya sana hasa msimu huu wa mvua. Watoto wanaenda shule kwa tabu maji na matope ya kutosha. Wanakwenda...
1 Reactions
3 Replies
623 Views
Wakuu, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amezindua Kamati ya Wataalamu ya Uchunguzi wa Jengo lililoporomoka katika eneo la Kariakoo ikiwa ni utekelezaji wa maagizo ya Rais Samia ya kuchunguza chanzo...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Ukipata hela umepata vyote! Ukikosa hela umekosa vyote! Kosa vyote lakini kamwe usikose njia za kupata hela na kuimudu hiyo hela ikae na wewe! Akili kubwa kuliko zote ni jinsi ya kuipata hiyo hela...
11 Reactions
44 Replies
1K Views
Kwa mujibu wa ripoti za Benki Kuu ya Tanzania (BoT) na Wizara ya Fedha, hadi kufikia Septemba 2024, zinaonesha Deni la Serikali lilifikia Tsh. Trilioni 98.5 ambapo kwa kipindi cha miaka 9 Deni...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Thamani yako ipo kwenye namna unavyojiwekea mipaka katika maisha yako kulinda nguvu zako, marifa yako na muda wako. Watu la asili yao hupenda kuwatumia wenzao Kwa maslahi yao, ukizubaa utatumika...
7 Reactions
3 Replies
547 Views
Katika miaka ya hivi karibuni, Ulinzi wa Taarifa Binafsi ni muhimu sana maana taarifa za mtu zinaweza kutumika vibaya muda wowote bila ya muhusika kujua. Leo nimewaza sana zile Hotel, Lodge, au...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Back
Top Bottom