Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ila wabongo, aya bwana.
24 Reactions
139 Replies
7K Views
BAADHI ya wazazi katika Kata ya Kivule, Ilala - Dar es Salaam wametupia lawama Shule ya Msingi Anex, Serengeti na Kivule kwa madai ya kuwatenga, kuwanyanyapaa wanafunzi ambao wazazi wao...
1 Reactions
1 Replies
435 Views
Habarini Waungwana, kutokana na changamoto ya usafir, ivi Karibuni nilimshirikisha rafiki yangu kua nataka nijichange ninunue Pikipk used, TVS (angalau namba D). Yeye alishauri Bora ninunue MPYA...
2 Reactions
24 Replies
1K Views
Hellow wakuu, naomba msaaada hapa kwenye cheti cha kuzaliwa wakati wa uhakiki una maana gani leo siku ya tatu bado inasumbua aisee halafu ndugu yangu anataka kuomba chuo, pia muda wa maombi...
0 Reactions
0 Replies
612 Views
Hii inatoa picha Gani kwa taifa? Je kitendo kilichofanyika ni kitendo Cha kiungwana? Mkuu wa mkoa anapata wapi ujasiri wa kuzungumza hadharani kuwa mama mjamzito akakatwe kisu na mumewe...
0 Reactions
33 Replies
1K Views
Nasikia ina watarget zaidi matajiri wa huko Geita, haswa hawa wa migodini. Unakuta mke wa mtu ni chombo anakubaliwa na tajiri mmoja wana plan kukutana lodge then anafumaniwa ghafla na mme wa mtu...
5 Reactions
25 Replies
1K Views
ONGEZA MAFANIKIO: FAIDA TANO MUHIMU ZA KUANDIKA NAMBA 24 KWENYE KIGANJA CHA MKONO. SEHEMU YA PILI. 👉Katika sehemu iliyo pita niliweka msingi wa awali ili kuweza kuelewa ni nini hiyo namba 24...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Baraza la Wawakilishi la Marekani hapo awali lilipitisha mswada wa sheria iliyolenga kuivua China hadhi yake ya "nchi inayoendelea". Hivi karibuni, Bunge la Marekani lilipendekeza azimio lingine...
2 Reactions
1 Replies
992 Views
Hellow Tanganyika, Kuna issues nyingi muhimu niliwaza lini zitapata ufumbuzi, lakini siku chache tu baada ya kuapishwa huyu mtumishi wa Mungu Donald Trump nimepata kuona mwanga mbeleni, Baadhi...
2 Reactions
13 Replies
629 Views
Salaam, Nilipata wasaa wa kutembelea ndugu jijini Arusha takribani wiki mbili zilizopita. Nimejifunza experience mbaya sana ya angalau idadi kubwa ya wakazi wa Arusha bila kujali umri wao. Watu...
15 Reactions
38 Replies
5K Views
Kwema Wakuu! Kuanzia mwaka Juzi 2023 mwezi December, na mwaka Jana kukachanganya kuna ongezeko kubwa la Magari hasa malori ya Mafuta yakiwa na chata la Tai aliyevishwa Taji kichwani. Kama...
9 Reactions
59 Replies
3K Views
Nyie mliojikuta Miamba ya kutetea wapale-stina kiasi kwamba mlijikuta mpaka mnatukana watu kisa Palestina, lakini sasa shida hii ya vita imetokea kwa majirani zetu wa damu kabisa hapo DRC, lakini...
0 Reactions
3 Replies
355 Views
Hatua za kuchukua unapogundua kuwa umepotea njia msituni fuata haya! Hatua ya Kwanza. angalia kwanza ni muda gani umepita au ni dakika ngapi zimepita tangu umegundua kuwa upo kwenye njia isiyo...
5 Reactions
20 Replies
1K Views
Katika utafiti uliofanywa na chuo kikuu kimoja nchini uingereza ukishirikisha watu zaidi ya laki 2 umeonyesha kua maisha ni magumu sana kwa wanaume wafupi na wanawake wanene ukilinganisha na...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Kwa sehemu kubwa mahubiri ya viongozi wa haya makanisa hawakemei dhambi, hawasisitizi maadili wala kukemea mmomonyoko wa maadili unaolitafuna Taifa kwasasa Injili yao ni ya miujiza, utajiri...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Maghorofa 64 yaliyopo eneo la Kariakoo, Manispaa ya Ilala yamejengwa kinyume na sheria na kwamba baadhi yanaweza kuporomoka kutokana na ujenzi wake kuwa chini ya kiwango. Kampuni iliyopewa zabuni...
29 Reactions
113 Replies
7K Views
Wajasiriamali wadogo waliopewa eneo la gati la maji nje ya soko la Kachoma, Kata ya Chemchem Manispaa ya Tabora ili wafanyie biashara zao kwa muda huku serikali ikiwatafutia maeneo mapya na sahihi...
0 Reactions
3 Replies
354 Views
Tokea jana kuna mkanganyiko mkubwa na muingiliano wa Habari, hasa za kitaifa UTV. Je, Msimamizi wa maudhui ya taarifa ya habari ya saa mbili usiku katika chaneli hiyo ya Azam tv amekumbwa na...
1 Reactions
3 Replies
466 Views
..
12 Reactions
168 Replies
9K Views
Back
Top Bottom