CHADEMA mnafeli padogo sana katika harakati zenu za kisiasa mnadhani kwamba mkiikaba serikali ndio mtafanikiwa serikali Inanguvu sana hamuna uwezo wa kushindana nayo
Hivi nyinyi ni wanasiasa gani...
Kuvaa nguo zisizo za heshima ni moja ya sifa za wanamuziki wetu. Wote tumeona na tunaangalia TV chanel zetu za ndani. Siyo vyema kusimulia zaidi kinachoonekana kwenye miili ya wanamuziki hao...
Watu wa Mikoani kama mnavyotuita tumepata Media kubwa kutoka Singida, ambayo Kwa Sasa inakamata pande zote Tanzania
Umeajiri watangazaji maarufu na wana vipindi Bora sana
Za chini ya kapeti ni...
Juzi kati nilikuwa Tabora, Kata ya Goweko, Kijiji cha Kamama niliendea kumtembelea ndugu yangu wa karibu pande za Uyui mkoani hapo, kuna kitu ambacho nilikiona na nikajiambia hii sasa ni hatari...
Kuna kipindi ilishawahi Azam cola kushtakiwa kwa sababu kutumia neno Cola sababu wenye Cola waliona ni neno lao.
Hili jambo la sukari ni kama monopoly business ambayo haitaki mwengine kuanzisha...
Uchafuzi wa mto Goba unaweza kuonekana kutoka angani. Hamuamini? Angalieni picha zilizo chini. Zinaonyesha picha za satelaiti za mto Goba. Kati ya 2018 – 2021, kulikuwa hakuna maeneo makubwa ya...
Habari wanandugu,
Nianze kwa kusema kuwa niipongeze serikali kwa nia nzuri iliyonayo ya kupitia na kupanga upya viwango vya mishahara kwa wafanyakazi wa kada zote.
Kwa muda mwingi tumeshuhudia...
Binamu wanaoana.....
Watoto wa baba mkubwa na mdogo wanaoana. Zanzibar limetamalaki sana hili.
Yote hayo mimi yamenishinda; yaani nikamuoe mtoto wa baba mkubwa/mdogo? Damu yangu? Nimeshindwa...
Wakuu mpo vizuri?
Nimeajiriwa recently na kiwanda fulani cha wachina, wanatengeneza bidhaa fulani ambayo ni very fast moving na ni bidhaa pendwa kwenye society yetu ya kitanzania.
Kwa kweli toka...
Rais wa Marekani, Donald Trump, ameagiza ujenzi wa kituo cha kuwashikilia wahamiaji katika Kituo cha Guantanamo Bay, ambacho alisema kitakuwa na uwezo wa kuhifadhi hadi watu 30,000.
Alisema kituo...
Wakuu kwema? Twende moja kwa moja kwenye mada.
Huduma ya Bolt ukititokea unataka kuwasiliana nao labda umepoteza kitu au una malalamiko kwenye huduma yao, hakuna chaguo la kuwapata moja kwa moja...
Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Mhe. Queen Cuthbert Sendiga akikata keki ikiwa ni ishara ya kumbukizi ya kuzaliwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan iliyofanyika Kiteto...
Habari Wana jukwaa la JamiiForums, leo nimekuja na jambo hili linalowahusu hawa Wafanyabiashara wa Samaki katika masoko ya Soweto na Uyole jijini Mbeya.
Baadhi ya hao watu hawajali kabisa afya za...
Kuna Shule ya Msingi Irunda ipo Kata ya Ngoma Wilayani Sengerema Mkoani Mwanza inakabiliwa na upungufu wa madawati ambapo karibu nusu ya Wanafunzi hulazimika kusoma wakiwa wameketi sakafuni...
BAADHI ya wazazi katika Kata ya Kivule, Ilala - Dar es Salaam wametupia lawama Shule ya Msingi Anex, Serengeti na Kivule kwa madai ya kuwatenga, kuwanyanyapaa wanafunzi ambao wazazi wao...
Hellow wakuu, naomba msaaada hapa kwenye cheti cha kuzaliwa wakati wa uhakiki una maana gani leo siku ya tatu bado inasumbua aisee halafu ndugu yangu anataka kuomba chuo, pia muda wa maombi...
Hii inatoa picha Gani kwa taifa? Je kitendo kilichofanyika ni kitendo Cha kiungwana?
Mkuu wa mkoa anapata wapi ujasiri wa kuzungumza hadharani kuwa mama mjamzito akakatwe kisu na mumewe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.