Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Imetokea Jana Kinondoni. Picha linaanza wiki moja iliyo pita jamaa alienda kuweka simu zake mbili ( Smart phones) kwenye kibanda cha mchajisha simu, kisha akaenda zake pale Garden ( Mkwajuni)...
12 Reactions
42 Replies
2K Views
Nina wiki sasa hapa Morogoro mjini, cha kushangaza umeme unakatika kila siku,sio asubuhi,mchana au usiku. Nimeongea na wenyeji wanasema wameshajizoelea hizi shida. Tunamuomba Waziri mwenye...
0 Reactions
5 Replies
421 Views
Wanawake wenu wanaharibika. Watoto wenu wanapotea. Na si kwa sababu yao pekee—bali kwa sababu nyinyi mmejigeuza watu wa hovyo! Mmekaa kimya mkiona kila kitu kinaporomoka, mnaigiza kutoona...
5 Reactions
15 Replies
886 Views
wilaya ya kahama kuwa na vyanzo vya mapato na madini lakini kama naona makao makuu ya mkoa yana lazimisha shinyanga kuwa yenye kila kitu kizuri kuanzia barabara za ndani mataa ya barabara wakati...
0 Reactions
1 Replies
624 Views
Chadema siyo taasisi ya kidinini bali ni chama cha kisiasa! Chama cha kisiasa kina sera na itikadi! Kuna vijana hapo chadema wanajiona wameshaota masharubu kiasi cha kuzarau uongozi wa chama...
1 Reactions
16 Replies
716 Views
Tanzania na Japan kupitia Shirika lake la Maendeleo (JICA), zimetiliana saini mkataba wa msaada wa Yen za Japan bilioni 1.527 sawa na shilingi bilioni 27.3 kwa ajili ya kuboresha sekta ya afya...
2 Reactions
16 Replies
713 Views
Habari zenu wadau wa JamiiForums! Leo nimekuja na mada 🔥 inayogusa maendeleo yetu kama Waafrika. Tumeona dunia ikibadilika kwa kasi kutokana na teknolojia, lakini swali ni moja: Kati yetu...
1 Reactions
33 Replies
1K Views
Mabaki ya mwili wa Naomi Orest Marijani aliyeuawa kisha kuchomwa moto kwa kutumia magunia mawili ya mkaa ndani ya banda la kuku na Mume wake Hamis Luwongo Mai 15, 2019 maeneo ya Gezaulole...
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Wakuu nataka nikapumzike Cape Town kama siku 3 hivi. Ndege gani nitapata ticket cheap? Nimechek Rwandair, Ethiopian na Kenya Airways Direct flight to CPT ni maumivu matupu. Eg. KQ (Dar-CPT-Dar)...
10 Reactions
87 Replies
5K Views
Kila siku tunasikia kauli kama “Afrika inaweza,” “Sisi ni watu wa nguvu,” “Tuna rasilimali nyingi kuliko Ulaya na Marekani.” Lakini, je, kweli tunaweza? Ikiwa Afrika inaweza, mbona hatujawahi...
2 Reactions
10 Replies
722 Views
Katika imani kuna mambo yanafanyika sana. Na leo hii naona msalaba kwa baadhi yenu kwenye paji la uso. Waislam wanagunga tu kwankunuia hii kupakana matope usoni hii ni ishara gani.? Kwanin kama...
5 Reactions
31 Replies
2K Views
Japo sio rahisi kusema lkn wapo wanaume wengi sana wanopokea kipigo kutoka Kwa wake zao. Kwa macho yangu shangazi yangu alikuwa anakung'uta vilivyo mmewe. Siku akiliazisha Hadi alikuwa anakimbia...
10 Reactions
95 Replies
3K Views
Shekhe Ponda amesema kuwa suala la yeye kuitwa mtata halimshangazi kwakuwa anasimamia haki na lengo lake ni kutafuta haki na ndiyo maana hata Mtume Muhamad na Yesu walionekana watata mbele ya...
0 Reactions
4 Replies
465 Views
guest-1788672427
Niliwahi kudhulumiwa huko nyuma na watu ambao niliwaamini sana, walinirudisha nyuma kwasababu nilikuwa nafanya kazi ngumu na malipo yalikuwa kidogo mno sana, nilijibanaaa sana sana, nikapata kiasi...
11 Reactions
48 Replies
3K Views
Habari! Mada kuu mahali popote walipo wawili, watatu au hata mtu mmoja ni pesa (mafanikio). Ukikaa maingilio ya Kariakoo asubuhi utajionea maelfu ya watu wakitembea kwa haraka sana kufukuzana na...
15 Reactions
18 Replies
3K Views
Form 4 una “A” za kutosha, Form 6 una Div 1 kali (point 3-7), Chuo una first class, distinction. Mpaka unakufa sahau kabisa kumiliki gari kama hii. Utakaza sana ila utaishia kuendesha Passo...
27 Reactions
70 Replies
4K Views
Shekhe Issa alipokuwa akihojiwa na Jambo Tv ameeleza kuwa mwaka 2013 risasi aliyopigwa ilipita nyuma ya beaga na kutokea mbele. Anaeleza hata askari wengine walioshuhudia tukio hilo walishangaa...
1 Reactions
7 Replies
721 Views
MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), imevitaka vyombo vya habari nchini katika kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu kuvipatia vyama vya siasa nafasi sawa katika...
1 Reactions
5 Replies
382 Views
SERIKALI kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imekabidhi magari 12 kwa Maafisa wa Uthibiti Ubora wa Shule, ikiwa ni sehemu ya jitihada za kuboresha mifumo ya usimamizi wa elimu nchini...
0 Reactions
0 Replies
507 Views
Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) imeendelea kufungua fursa za kiuchumi kwa kuboresha miundombinu na kuondoa vikwazo kupitia mradi wa RISE sehemu ya uondoaji vikwazo katika...
0 Reactions
0 Replies
326 Views
Back
Top Bottom