Kutokana na ongezeko kubwa la vyombo vya moto, vyombo vya usafirishaji na mitambo mbalimbali inayotumia barabara, ipo sababu ya mitaala na miongozo ya ufundishaji au utoaji mafunzo yoyote nchini...
Sitaandika yote kuficha kujulikana Kwasababu za usalama wangu na sitataja Kituo (mojawapo ya vituo vya police DSM) Kwasababu walio nifanyia hayo mateso, wapo na wanaendelea na utumishi wao kuumiza...
USISHANGAE KUONA ALIYETAKIWA KUKUTETEA NDIO ANAHAMASISHA UPIGWE
Ukiona hayo usishangae hata kidogo kwa sababu yoyote anaweza kuwa yule usiyemtarajia kuwa.
Unaweza msaidia kiberiti awashe moto wa...
SINCE CREATION, WORLD POPULATION IS ESTIMATED AT AROUND 109-117 BILLIONS
Given a current global population of about 7.8 billion, the revised estimate means those alive in 2020 represent nearly 7%...
Ushahidi wa kuibuka Kwa Bahari Mpya inazidi.kuwa wazi.
Wanageolojia wanazidi kuonya kwamba ilidhaniwa itachukua mda mrefu ila Utafiti Mpya unaonesha itachukua mda mfupi zaidi.
Nchi mbalimbali...
Kiongozi wa Walio Wengi Bungeni, Kimani Ichung'wah, amemtuhumu aliyekuwa Naibu Rais, Rigathi Gachagua kufadhili vitendo vya Utekaji na Mauji nchini humo kwa lengo la kuichafua Serikali ya Rais...
Nimesikia muwekezaji mmoja Mkubwa tu ( Vasso Agroventures) kwenye media akilalamikia kutozwa kodi kubwa na zisizo eleweka pamoja na kuingiliwa miradi yake ya uwekezaj na mwaka 2021 amepata...
Nimegoogle nikaona konyagi inatengenezwa na kiwanda kinaitwa Tanzania Distillers. Kwa muda sasa kinwaji chenu kimekuwa kikinasibishwa na ndugu Mbowe pale ambapo wahasimu wanataka kumtweza au...
Nipo kikazi mkoa fulani na huwa nina kawaida ya kusafiri between towns kutokana na nature ya kazi yangu na ikibidi huwa nalala lodge/guest unapofika usiku au ninapohisi kuchoka/kupumzika.
Sasa...
Now I'm doing 50+
Leo nimesoma Bible nikaona umri wa binadamu kuishi ni miaka 70
Nimegundua I have only 20 yrs kuwepo hapa Jamvini na duniani.
Nilichoamua kufanya nimeona nianze Kuwa Karibu na...
Nina dada yangu ambaye ameolewa.
Huyu dada yangu na Mme wake kila siku ni matatizo tu.
Maisha Yao yamekuwa kama movie tu.
Mara ana mpiga na kumfukuza nyumbani kwake baada ya miezi kazaa ana...
Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam imeifuta kesi ya mwanahabari Erick Kabendera, aliyokuwa ameifungulia kampuni ya huduma za mawasiliano ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania Public...
Maxence Melo ambaye ni Mkurugenzi wa JamiiForums, jana Aprili 25, 2022 alikuwa katika kituo cha E FM Radio akielezea mambo mbalimbali kuhusu taasisi yake, harakati, mijadala na mambo mengine...
Ujenzi wa Mradi wa SGR hapa Mwanza ambao kwa muda mrefu umekuwa hauna mwendelezo umesababisha kero ya foleni hasa katika Barabara ya magari eneo la Mswahili Mkoani Mwanza.
Kero hiyo ipo zaidi...
Wakuu sina ndoto ya kuja kuwa Rais hata kwa dk1 sina.Msije mkaniteka bure Nikamuacha mke wangu akiwa bado mbichi kabisa.
Mara zote huwa nafikri kama ningepata nafasi ya kuwa rais wa nchi hii...
Huyu jamaa naona baada ya dili lake la voda kufeli Sasa amekanyaga moto yaana watoto wa mjini tunasema kaingia kwenye kumi na nane anataka kujipatia hela Kwa kutunga stori za uongo sababu anajua...
Ni siku ya furaha na huzuni pia
1. Ni siku ya huzuni kwakuwa bado Kombo Mbwana anasota rumande licha ya kutimiza vigezo vyote vya dhamana.. Simulizi yake inajulikana wazi hakuna haja ya kuirudia...
DR Mambo Jambo njoo utoe neno. Afya ndiyo utajiri wa kwanza wa mwanadamu! Baada ya utafiti wa muda mrefu hatimaye imebainika kuwa pombe za aina zote zinasababisha aina saba za kansa.
Iwe...