Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

π—§π—”π—‘π—­π—”π—‘π—œπ—” π—ͺπ—˜π—‘π—¬π—˜ π—žπ—¨π—§π—¨π— π—” π— π—”π—¨π——π—›π—¨π—œ 𝗠𝗔𝗖𝗛𝗔𝗙𝗨 π— π—§π—”π—‘π——π—”π—’π—‘π—œ π—žπ—¨π—žπ—”π— π—”π—§π—ͺ𝗔 Ongezeko la watumiaji wa intaneti Tanzania imezongezeka kutoka mwaka 2023 kwenda 2024/2025, huku zaidi ya watu Milioni 33.3 wanatumia...
2 Reactions
28 Replies
1K Views
Mambo vp wadau?. Hivi kama umeenda TRA kufanya makadirio na waka sema utumie mashine ya EFD wakati hata uwezo WA kununua hyo mashine huna inatikiwa ufanyaje wakuu
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Sisi Wakazi wa Mikumi Wilaya ya Kilosa Mkoani Morogoro tuna kero ya muda mrefu ya foleni ya magari makubwa ya mizigo katika Mizani ya Mikumi, hali ambayo inatufanya kuhofia kutokea kwa ajali...
0 Reactions
2 Replies
836 Views
Polisi mkoani Katavi inawashikilia askari wawili wa Shirika la Hifadhi Tanzania (TANAPA) kwa kosa la kumuua kwa risasi mfugaji aliyetambulika kwa jina la Gimbagu Mandagu mwenye umri wa miaka 25...
2 Reactions
31 Replies
2K Views
AMEACHA VYETI VYAKE KWENYE GARI Anayemfahamu Ndugu Ramadhan Ally Idavas, Vyeti vyake ninavyo. Nilichanganya begi, nikachukua lake nikaacha langu kwenye basi la An Express la kwenda Dar es...
8 Reactions
16 Replies
1K Views
KANUNI YA MTETEMO/PEPONI VS KUZIMU Imeandaliwa na kuandikwa na Dogoli kinyamkela πŸ—£οΈHakuna kinachopumzika, Kila kitu kinajongea, Na kila kitu Kiko kwenye mtetemo/kinatetema. ✍️Kila kitu...
3 Reactions
7 Replies
801 Views
Waliowengi wanaweza kua na shaka na utendaji wa Paul Makonda kwenye wizara kama waziri ila trust me mpaka hakuna ambacho kimekosekana kwenye wizara ya NISHATI ila umeme wa uhakika umekua...
2 Reactions
8 Replies
593 Views
Natumai mu wazima wa Afya Huku tukizidi kupiga hatua mbele katika Bwana Mimi ni Msikilizaji mzuri sana wa Mahubiri TV, Na sio Msabato pia siwezi kuwa Msabato Ila neno la Mungu halina dini...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Nimeamua kuuleta huu uzi kutokana na mada kadhaa nilizoziona humu JF zinazoongelea vituo vya watoto yatima kwa mtazamo hasi. Baadhi ya watu wametamani hata hivyo vituo visipewe misaada au vifutwe...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Afisa bima wa VodaBima kutoka Vodacom Tanzania PLC kanda ya Ziwa, Hellen Masali akimuwekea mafuta mteja wa kampuni hiyo Omari Ramadhan jijini Mwanza. Mafuta hayo yametolewa bure ikiwa ni moja ya...
0 Reactions
4 Replies
463 Views
Vijana wengi na watu wa mikoani, na pengine kwa kukosa Exposure hudhani Watu wanaoishi Dar wanafaidi sana pengine kwa Maisha mazuri, hali ya hewa nzuri na pesa za kukidhi kila mahitaji Yao...
96 Reactions
540 Replies
33K Views
Nimeona mahojiano ya kikeke na mbowe. Mbowe anasema amemfanyia mambo mengi ya kiutu ili kuboost safari ya mafanikio ya Lissu. Kana kwamba anasema lissu hapaswi kumfanyia hivi kwa maana yuko...
1 Reactions
0 Replies
337 Views
Jana nimemaliza safari yangu ya kikazi ya siku 4. Nilianzia Dubai nikakaa siku 1 kisha nikaelekea Abu Dhabi nikakaa siku 2. Nikamalizia Qatar siku 1. Na kila mara nikiwa kwenye ndege narudi bongo...
22 Reactions
118 Replies
4K Views
Kwa uchunguzi wangu mdogo nilioufanya nimegundua Wanachama wengi wa Ccm hawataki tundu Lissu ashinde nafasi ya uenyekiti Chadema. Hapo kabla ya Ndugu Lissu kutangaza nia ya kugombea nafasi ya...
4 Reactions
14 Replies
937 Views
Mwandishi Constatine Mathias akamatwa na Polisi Simiyu Mwandishi Constantine mathias wa uhuru media wa Mkoa wa Simiyu amekamatwa na jeshi la polisi jana usiku Juni 17.06.2024. Baada ya...
1 Reactions
11 Replies
878 Views
Kufuatia kukamatwa kwa mwandishi wa Habari Dina Maningo, Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umesema mwandishi huyo bado hajapatiwa dhamana jambo ambalo wamedai kuwa kinyume...
0 Reactions
2 Replies
602 Views
TAMKO KULAANI KUKAMATWA KWA WAANDISHI WA HABARI KANDA YA ZIWA Dar es Salaam, Tanzania - Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) unalaani vikali vitendo vya kukamatwa kwa...
0 Reactions
1 Replies
503 Views
TAMKO KULAANI KUVAMIWA KWA MWANDISHI WA HABARI Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) unalaani vikali kitendo cha kuvamiwa na kuzuiwa kufanya kazi za uandishi wa habari kinyume...
3 Reactions
8 Replies
749 Views
Mwandishi wa Milard Ayo wa Jijini Arusha Godfrey Thomas akiwa katika majukumu yake ya kawaida akiwarekodi wananchi walio funga barabara ya Arusha Dodoma. Kwa madai ya kuchoshwa na vifo vya...
7 Reactions
39 Replies
4K Views
Mwandishi wa Habari Eugen Peter anatafutwa na Familia yake pamoja na Ofisi yake ya Ayo TV Dar es salaam baada ya kutoweka bila kujulikana alipo leo ikiwa ni siku ya tisa. Mara ya mwisho Eugene...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…