JOHN Chibuga (31), mkazi wa Kijiji cha Bugolola wilayani Ukerewe, mkoani Mwanza, ambaye Desemba 9, mwaka jana aliachiliwa kwa msamaha wa Rais, amehukumiwa kifungo cha miaka 30 gerezani baada ya...
Habari wadau,iv iz elimu za kusoma nyota ,kuangalia kiganja cha mkono ni sahihi au ni za upande wa giza?maana wengine wanasema sio za giza ila unaweza kuzitumia vizuri,dhambi ni pale unapotumia...
Serikali au Wizara husika angazieni kwa kufuatilia uhujumu uchumi unaoendelea katika soko kubwa kabisa Tanzania la Kariakoo.
Utaratibu ambao sio rasmi ila unafuatwa upo hivi, Kariakoo kwa mtu...
Baadhi ya Wananchi kijiji cha Kagunga Wilaya ya Tanganyika, Mkoa wa Katavi wamelalamika kufyekewa hekari 60 za mahindi jambo ambalo wamedai kuzorotesha ukuaji wa sekta kilimo na kujikwamua...
Naona bwana mkubwa Ulega anaendelea kujitengenezea mazingira ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2025. Yani yupo tayari kusomesha wanafunzi.
Haya tunasubiri tuone itakuwa mwendelezo au ndiyo lambisha...
Je, unajua kwamba karibu na Ziwa Eyasi nchini Tanzania, kuna kabila la kale la watu takriban 1,000 ambao ndio wawindaji wa mwisho waliosalia nchini?
Wahadzabe wameishi maisha mengi kama...
Nyie haya mambo yakubeti mtu asije kusubutu kama anajua hela yake ni ya mawazo
Jana ilikua nusu nife kwa presha kwasababu ya betting. Sikuhiyo nimekaa na mtu wangu waheshima kabisa...
Hawa viumbe wako so sensitive kujua ww ni mtu wa aina gani just by looking at you, or kwenye first conversation. So pisi itakuelewa based on vitu vidogo ambavyo usingeweza kuvijua vina effect...
Eneo Mbutu limekuwa sehemu kuu ya kuchimbwa vifusi kwa ajili ya ujenzi mbalimbali.
Hatari kuu kwa watumiaji wa barabara ni haya malori kujaza vifusi kupita kiasi kinachotakiwa na hakuna hatua...
Yaani kwa mwezi tunaweza kupata maji mara moja, na maji yenyewe yatatoka masaa mawili au chini ya hapo, na pressure inakuwa ndogo sana. Ukiwauliza watu wa DAWASA hawana majibu ya kueleweka...
Nimeambiwa unafokafoka hapa, unadhani we nani, ondoka hapa.
Nimekwenda pale jana ikapimwa uziti Ile sanamu nikaambiwa nilipe Sh.100,000( laki moja).
Sina laki moja, nikaanza kuondoka. Nikaambiwa...
Hii changamoto tulisha itolea taarifa kwa Viongozi wetu wa Serikali za Mtaa lakini hakuna mabadiliko yoyote, barabara hiyo iliyoharibiwa na mvua kubwa ya mwaka Jana (2024) na vipindi vingine tena...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko, amesema kuwa ukuaji wa uchumi wa nchi yoyote unategemea upatikanaji wa nishati ya uhakika na yenye gharama nafuu.
Soma Pia: Dkt...
Hii imetangazwa na Kamishna Jenerali wa Mamlaka huyo Aretas Lyimo.
Ilikuwa ni operesheni ya Dec. 2024,ambapo pia walinasa crystal meth 224 kg katika fukwe za Bahari ya Hindi
Meth ni stimulant ya...
Kama aumewahi kusikia ama bado basi nakukumbusa kuwa kuna Kisiwa kinaitwa Pitcairn ambacho ndicho kisiwa pekee Duniani chenye wakazi wachache katika Bahari ya Pasifiki Kusini kikiwa kimejitenga na...
Nina rafiki yangu ambaye aliweka pesa katika Benki ya Umoja wa Afrika huko Senegal kwenye kadi yake ya ATM, anataka kunipa pesa na mimi nipo Tanzania nifanyaje
Habarini.
Wazoefu wa shared office niko na startup yangu, hivyo niomena ni bora nipate shared office kwa miezi hii ya mwanzo kuliko kupanga office nzima maana gharama zitakuwa kubwa.
Hivyo...