credit card ndio suluhishoNina rafiki yangu ambaye aliweka pesa katika Benki ya Umoja wa Afrika huko Senegal kwenye kadi yake ya ATM, anataka kunipa pesa na mimi nipo Tanzania nifanyaje
Tena awe makini hasa January hii ataliaHatuna Benki ya Umoja wa Afrika.
Hatuna pesa ambayo huwekwa kwenye kadi ya ATM.
Pia hatuna mtu akawa na pesa yuko nje ya nchi na asifahamu namna ya kutuma pesa Tanzania.
Kuwa makini.
aHatuna Benki ya Umoja wa Afrika.
Hatuna pesa ambayo huwekwa kwenye kadi ya ATM.
Pia hatuna mtu akawa na pesa yuko nje ya nchi na asifahamu namna ya kutuma pesa Tanzania.
Kuwa makini.