Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hakuna kitu cha kijinga na cha kishamba kama tabia ya kurithi adui au maadui wa mtu ,,, unakuta mtu anavuta taswira ya ubaya wa mtu au wa watu kwa kusimuliwa tu wakati hajawai hata kuwatia...
1 Reactions
5 Replies
391 Views
Mkuu wa idara ya Afya,Lishe na Ustawi Halmashauri ya Wilaya ya Meru Dkt. Evarist Chiweka ameongoza kikao kazi cha Waganga wafawidhi na waratibu wa Afya ngazi ya Halmashauri kujadili Taarifa ya...
1 Reactions
1 Replies
276 Views
Africa tuna matatizo sana, ukiwaangalia wabunge wengi wa Tanzania wana mivitambi mikubwa, mitumbo mikubwa, tuna wabunge matumbo tumbo. Fyuu hovyo nimeona video clip ya like libunge la malinyi...
0 Reactions
4 Replies
237 Views
Askari wa Usalama wanaomlinda Rais wa Uganda Yoweri Museveni walimzuia mwanaume asiyetambuliwa aliyekuwa akijaribu kumkaribia Rais Museveni katika viwanja vya Msikiti wa Mbogo wakati wa mkutano wa...
3 Reactions
16 Replies
939 Views
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Machi 12, 2025 ameweka jiwe la msingi la Mradi wa Upanuzi wa Mtandao wa Majisafi ya Ziwa Victoria kutoka Makomero - Mgongoro, uliopo kijiji cha Mwamayoka, Igunga...
0 Reactions
1 Replies
449 Views
Tuvalu ni nchi ndogo ya visiwani iliyoko katika Bahari ya Pasifiki, kati ya Australia na Hawaii. Inaundwa na visiwa tisa vidogo vya matumbawe na ina idadi ya watu takriban 11,000, hivyo kuwa moja...
2 Reactions
16 Replies
993 Views
Kampuni za Kitanzania Zahimizwa Kuchangamkia Zabuni Comoro Kampuni za Kitanzania zimetakiwa kuomba kandarasi za ujenzi wa miradi inayofadhiliwa na Shirika la Maendeleo la Ufaransa visiwani Comoro...
0 Reactions
9 Replies
607 Views
Wananchi wanaoishi kwenye maeneo mbalimbali ya mkoa wa Mwanza na Kagera ambao hutegemea kusafiri kwa kutumia meli ya MV. Victoria wameombwa kutumia usafiri mbadala wakati huu ambapo meli hiyo...
0 Reactions
1 Replies
780 Views
Serously amka utafute ustadi wa kufanya jambo lolote la kukuingizia pesa. Na wewe kama una hio nafasi ishikilie kwa shukrani na unyenyekevu
6 Reactions
24 Replies
1K Views
🚨BREAKING: China’s first ever AI agent is here. 'Manus' can automate 50+ tasks at once, SNS analysis, financial transactions, research, purchasing, and many more. Some say it’s even more accurate...
0 Reactions
0 Replies
321 Views
Huko Siria kumekuwa pagumu mno Sasa ni kuuana tu wenyewe kwa wenyewe Al Julan ameomba meza wayajenge na wafuasi wa Assad, maana wamekuja na nguvu mpya na kutoa changamoto ya uhakika. Wanajeshi...
4 Reactions
13 Replies
776 Views
Wakuu habari za mda huu hili jambo nimelifiliria nikaona ni tatizo kubwa sana ambalo limetengenezwa kwenye jamii kwanini tunafundishwa kuogopa mgonjwa wa ukimwi ? Yaani mtu akigundua unafukuzia...
3 Reactions
23 Replies
1K Views
Yaani unanunua jeans leo mwezi march unavaa ukifua mara mbili tu nguo inapauka vibaya mno kiasi cha kuonekana ni kama ya mwaka juzi. Hivyo hivyo na bidhaa nyingine, kama viatu yaani ni shida tupu...
27 Reactions
40 Replies
2K Views
Je, umewahi kujiuliza kwa nini baadhi ya mataifa yanafuata demokrasia, mengine yanapendelea udikteta, na mengine yana mfumo wa kijamaa? Kwa mtazamo wa haraka, tunaweza kudhani kuwa sababu kuu ni...
2 Reactions
2 Replies
463 Views
Mfumo mpya wa kinga ya mwili umegunduliwa. Upo katika sehemu ya mwili inayojulikana kwa kusaga protini. Mfumo huo una muundo wa siri unaoweza kutapika kemikali zinazoua bakteria. Watafiti kutoka...
7 Reactions
69 Replies
3K Views
"USITAFUTE Mapenzi Katika Umri Wa Kutafuta PESA" Jana Nimechelewa Sana Kulala Nilikuwa Nasoma Tafiti Fulani Kuhusu UMRI na MAISHA. Nikajifunza Kwamba Kuna Umri Ukiwa Nao Fursa Nyingi Zinakuwa...
5 Reactions
8 Replies
1K Views
Inajulikana Rais Trump katika kipindi kisichozidi siku 100 maamzi yake yameathiri watu wengi na Taasisi nyingi duniani kote,najua Tanzania siyo kisiwa lazima kuna watu wameathirika na maamzi ya...
0 Reactions
4 Replies
383 Views
Naomba msaada kwa Tanzania Benki gani inatoa huduma hii ya Recurring Depost? Nimejaribu kutafuta maelezo kwenye mtandao sijapata. Nahitaji sana hii huduma
3 Reactions
22 Replies
1K Views
Nliposikia serikali imetoa kiasi cha Tsh Bilioni 30 kwa ajili ya ukarabati Uwanja wa Hayati Mkapa nlipigwa na Dafrao kwanza nikiamini hizo bilioni 30 zilikua na uwezo wa kujenga kiwanja standard...
3 Reactions
1 Replies
538 Views
Heri ya siku ya Uhuru Watanganyika wote. Habari za saa wanachama wote natumai ni njema, moja kwa moja niende kwenye dhumuni la mada hii. Mada hii inazungumzia Muafrika na akili , kama ambavyo...
9 Reactions
91 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…