Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ni kawaida mtu anapotuma maombi ya kazi atatakiwa kuambatanisha baadhi ya nyaraka, lakini hizi nyaraka zote kwa wakati mmoja ni kwa ajili ya nini? Mtu anatuma maombi anatakiwa aambatanishe...
3 Reactions
33 Replies
1K Views
Zab 105:17-21 SUV [17] Alimpeleka mtu mbele yao, Yusufu aliuzwa utumwani. [18] Walimwumiza miguu yake kwa pingu, Akatiwa katika minyororo ya chuma. [19] Hata wakati wa kuwadia neno lake, Ahadi ya...
2 Reactions
8 Replies
471 Views
Nashindwa kuelewa hawa viongozi huwa wana tumia akili gani katika maamuzi yao. Msidhani kila mtu anaishi mtumba hapo dodoma muwe mnafanya tafiti za kina kabla ya kuleta hiyo mifumo yenu kwanza...
45 Reactions
174 Replies
15K Views
Tanzania kuna tatizo moja ambalo mimi silielewi kabisa, inawezekanaje watu mna elimu sawa mmoja alipwe pesa nyingiiiiii kuliko mwingine kwa sababu ambazo azieleweki? Kwa mfano Mhasibu wa cheti wa...
10 Reactions
137 Replies
13K Views
Niko ugenini, usiku nikakaribishwa chakula cha jioni, wenyeji wangu ni watu wa imani kali, tukiwa tunaendelea na kula huku tukitazama tv ya Mwamposa akawa anasisitiza na kuhimiza watu watoe...
18 Reactions
34 Replies
2K Views
Biblia inaeleza hatma ya mtu asiye Mkristo kwa njia tofauti, ikizingatia imani katika Yesu Kristo kama msingi wa wokovu. Hapa kuna baadhi ya mafundisho yake: 1. Yesu Kristo Ndiye Njia Pekee ya...
0 Reactions
5 Replies
495 Views
Umewahi kujiulixa hili Makanisa mengi ya kiroho wakianza kuombea watu Kama ULIKUWA HUJUI hili kama ukisikia neno "umeme " nguvu za kiumeee ama za kike Ukisikia mwenye umeme uliopotea nikujuze...
1 Reactions
4 Replies
349 Views
Nauliza tu kwa Nia njemaa WAPENDWA Mm na sehemu kawe tatu za BIASHARA nimekodisha KILA ukifika wakati WA KULIPA kodi nkatumiwa msg za MATAPELI NDUGU....jitahidi basi tulipane Kodi yetu na...
1 Reactions
1 Replies
257 Views
Anonymous
Habari wadau wa Barabarani, kumekuwa na changamoto kubwa kwenye Mtandao wa Polisi wa kuangalia Traffic Fine za magari na madeni ya leseni, mtandao huu umeacha kufanya kazi tangu mwanzoni mwa...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Leo nilikuwa nakimbizana na wapendwa kadhaa kuwasaidia baadhi ya vituon waliivyopelekwa Ktkt pita pita Yangu nimeona vituon vimejaaza pikipik mpaka unashangaa Na zingine zinaozea vituoniiii...
3 Reactions
7 Replies
437 Views
Ni miezi sasa kila nikitaka kununa vitu kupitia Aliexpress haiwezekani Mimi natumia MasterCard za mitandao ya simu Tigo au Airtel ila sifanikiwi kama mwanzo nilivokuwa nafanya
6 Reactions
19 Replies
1K Views
Mwanakwaya wa Kanisa Katoliki Parokia ya Buhangija, Manispaa ya Shinyanga, Agatha Nyahuma (32), mkazi wa Bugayambelele, Kata ya Kizumbi, amefariki dunia baada ya kushambuliwa na watu wasiojulikana...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Ikiwa ni siku chache zimepita tokea maazimisho ya siku ya wanawake duniani na hapa inchini kwetu ambayo iligubikwa na mfululizo wa vibweka,mbwembwe,tambo,mikwala/lawama dhidi ya wanaume, vitu...
3 Reactions
17 Replies
806 Views
Nimeona ma simu zaidi ya 60 kwenye taarifa ya habari wamekamatwa matapeli WA simu Naamini KUWAPATA WAHUSIKA n NGUMU sana Kama n hivyo hizi SIMU TUNASHAURI tukawape wale wanasaidia jamii kama...
3 Reactions
1 Replies
191 Views
Watu ambao anakosea badala ya kuomba msamaha anakutafutia na wewe kosa ili muonekane wote ni wakosefu au wewe ndiyo mwenye makosa. Ukimfanyia kitu kidogo tu anakikuza kiwe kikubwa na kukasirika...
15 Reactions
176 Replies
4K Views
Siku hizi imeibuka tabia ya baadhi ya askari polisi kuvaa kininja na wengine kuvaa mask pasipo sababu ya msingi. Wengine wanavaa shingoni vile vitambaa kama vya masheikh/ waarab (kama alivyopenda...
0 Reactions
5 Replies
488 Views
Kurogwa ni shambulio la kiroho kwa kutumia nguvu za giza, waweza kujilinda kwa njia kadhaa ikiwemo ya uhakika ulinzi wa Mwenyezi Mungu, Vita ya Mababii na mitume dhidi ya shetani ilikuwa ya...
8 Reactions
42 Replies
2K Views
Yaani hawa YANGA wana hasira sana. Kuna gazeti limeandika kwamba simu moja tu itairudisha YANGA kwenye gemu pamoja na msimamo wa sasa kwamba hawachezi tena dabi. Sasa SIMBA wasiombee YANGA...
3 Reactions
22 Replies
878 Views
Msanii wa Reggae Cocoa Tea, aliyezaliwa Colvin George Scott, amefariki dunia. Alipata umaarufu miaka ya 1980 kwa nyimbo maarufu kama "Lost My Sonia" na "Rikers Island." Cocoa Tea maarufu kwa...
5 Reactions
13 Replies
822 Views
Wadau wa JF, poleni na mihangaiko ya maisha! Leo naja na jambo zito, zito kama mawe ya almasi yaliyolala ardhini yakisubiri wachimbaji wenye macho ya kuona fursa! Kuna mabillioni ya fedha...
15 Reactions
35 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…