Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Hassan Bomboko amekanusha taarifa zilizozua taharuki mitandaoni kwamba Shule ya Msingi ya Ubungo National Housing ambayo ni ya Serikali, imeuzwa kwa Wawekezaji.
Akiongea...
Wiki iliyopita siku ya Jumamosi, Watoto waliporudi nyumbani walileta taarifa ya kushtua kuwa Shule ya Msingi Ubungo National Housing (NHC) inauzwa, na wazazi tunahitajika kufika shuleni leo...
Duka la Dawa la MSD Mpanda Mkoa wa Katavi linalomilikiwa na Bohari ya Dawa (MSD) sasa ni zaidi ya wiki moja limefungwa bila taarifa yoyote kwa Wananchi jambo ambalo imekuwa kero ambayo...
Salaam JF.
Nilikuwa naomba uzoefu wenu wanaJF, hasa katika hizi dawa wa wanazotumia wezi kuwaibia raia wema kuwapulizia madirishani wakati wa usiku wanapolala.
Kwanza nilikuwa nataka kufahamu...
Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni imempandisha kizimbani Mkazi wa Mabwepande Jijini Dar es salaam, Shembiu Shekilaghe (38) akikabiliwa na mashtaka ya kutoa taarifa za uongo na kujifanya yeye ni Rais...
Mwanafunzi mmoja toka chuo cha Koteti Mkoa Tanga nchini Tanzania anaitwa Bonus Mbono nwenye umri wa miaka 21, amepandishwa kizimbani katika mahakama ya hakimu mkazi kisutu na kusomewa mashtaka...
Mimi Mbwichichi nafahamika na baadhi ya watu humu kutokana na historia yangu ya upambanaji katika kutafuta riziki.
Kwa miaka mingi sana nimekua napambana kupata pesa,lakini hustle nyingi za...
Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limetoa utaratibu wa misa zake ikiwemo kusitisha kupeana amani kwa mikono ili kujikinga na maambukizi ya virusi vinavyosababisha ugonjwa wa Mpox (homa ya...
Nimeona baadhi ya chaneli za Youtube, zinazomilikiwa na watu wa huko US, Canada, UK, Nigeria, SA n.k ambazo baadhi zina maudhui ya kusaidia wahitaji mbalimbali ili kuvutia watazamaji.
Kinacho...
Wakuu jana nilipata mkosi wa kufika mitaa ya mbezi mwisho karibu na shule ya mbezi mwisho, roundabout ya kuelekea goba kuna bar nyingi sana eneo moja kuna guest nyingi sana eneo hilo hilo kuna...
Nimetembelea kahama Leo takribani siku ya Tano mfululizo mita Kwa mitaa naona jinsi biashara zilivyoshamiri, Kahama Kuna pool kubwa Sana ya walipa Kodi kiasi kwamba naona TRA kana kwamba hawawezi...
Leo ndio naelezwa kuwa watu wengi wanaweza kuzurika kulingana na makabira yao na mazao yao.
Nilipata story kuna uchawi ambao unaweza ukawekewa kwenye muembe,mnazi,ndizi,mpapai na mengine ambayo...
Bila kupoteza muda...
Hapa kuna baadhi ya mafundisho ya kipagani ambayo yamekuwa yakihusishwa na Ukristo kutokana na mchanganyiko wa tamaduni za kipagani na imani za Kikristo kupitia historia...
Katika project ambazo zinanipa kutafakari ni kuhusu uhai ambao kama dunia unaweza ukafikiria.
Physics na kemia kuna kitu kinaitwa ukomo wa kitu sana sana unaegemea kwenye kemea kuhusu mada za...
Jeshi la Polisi mkoani Rukwa kwa kushirikina na Mamlaka ya Mawasilino Tanzania TCRA limeanzisha operesheni ya kuwabaini watu wanaojihusisha na utapeli kwa njia ya mtandao na kufanikiwa kuwakamata...
UKIENDA MJINI KUTAFUTA MAISHA HAKIKISHA UNAFANYA HAYA
Anaandika, Robert Heriel
Leo sina mengi ya kusema, najua Maisha hayana Formula Ila zipo Formula katika Maisha. Ukitaka chukua usipotaka...
Mna zile za kusafiri angani kila mwezi.
Kuna siku ya wanawake duniani.
Siku ya maombi ya kina mama.
Kuna mothers day.
Ukipiga hesabu hakuna siku iliyobakia zote zenu.
Ni kawaida mtu anapotuma maombi ya kazi atatakiwa kuambatanisha baadhi ya nyaraka, lakini hizi nyaraka zote kwa wakati mmoja ni kwa ajili ya nini?
Mtu anatuma maombi anatakiwa aambatanishe...