Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Leo rais Samia amesema wapo kwenye mchakato wa kusaini mkataba ili tununue umeme kutoka kenya kwa ajili ya watu wa Kaskazini.. Sasa najiuliza kuna haja gani ya kununua umeme nchi jirani wakati...
5 Reactions
42 Replies
2K Views
Wengi wa hawa si wahubiri wa neno la Mungu wa kweli. Wataingiza tu maneno kama Yesu Kristo, Mungu Baba, Roho Mtakatifu, Biblia n.k kuwapumbaza watu ila uhalisia ni motivational speakers...
1 Reactions
15 Replies
671 Views
Matukio ya watu kutoweka katika mazingira yenye kutatanisha huku askari polisi wakihusishwa kuwashikilia yanaendelea kushika kasi nchini. Taarifa mpya zinadai kuwa vijana wanne wilayani Temeke...
2 Reactions
35 Replies
3K Views
Inasemwa bwawa la Nyerere likianza zalisha full capacity tutakuwa na ziada ya 1200 MW. Na kwamba umeme huo tutauuza nje. Ukweli ni kuwa umeme wetu ni mdogo sana, hiyo ziada ni vile tu wengi...
10 Reactions
47 Replies
1K Views
Habari wana jamvi Jana jioni mida ya saa 12 katika mtaa mmoja ninaoishi nilikuwa nimekaa na washikaji zangu tukibishana kuhusu kanuni za mpira baada ya bodi ya ligi kuahirisha mechi ya watani wa...
7 Reactions
25 Replies
2K Views
Tufwate njia ya msalaba Tuifwate mpaka Kalvario Tusimamepo bila haya Msalaba, Msalaba, huponya roho Sala mbele ya altare Ee Mkombozi wangu, nimekuja leo kufuata njia ile uliyoshika siku ya kufa...
5 Reactions
25 Replies
890 Views
Kipindi Serikali au mtu mmoja aliyeamua katangaza Dodoma kama makao makuu kwa maslai yake, watu wa Mikoani wakakurupuka kutoka huko kwenda kuwekeza Dodoma, sasa mambo yamekuwa magumu wanalalamika...
106 Reactions
587 Replies
52K Views
Nimekuwa mtu wa kusaidia sana angalau kwa kiasi kidogo ninachopata kuwatimizia wahitaji. Anaweza akapita mtu anahitaji msaada wenzangu wote watakaa kimya ila mimi lazima nitoe hata kama...
9 Reactions
21 Replies
951 Views
Mbona huku tuko busy na mishe zetu wala hatuna habari na siasa zao za kitapeli? Kwa sasa huwezi ingia tele bila vpn iwe simu au vpn. Nimekaa nimewaza hawa jamaa kwani wana matatizo gani, pamoja...
1 Reactions
12 Replies
828 Views
Serikali inaendelea kutekeleza miradi mbalimbali ya kusafirisha umeme ili kuhakikisha mikoa yote nchini inaunganishwa kwenye Gridi ya Taifa kwani kwa sasa, mikoa ya Katavi, Rukwa, Kagera, Lindi...
3 Reactions
5 Replies
705 Views
  • Closed
OUR PRODUCT -BIBLE CODE (Luka 24:45) zimekua digested kutoka kwenye biblia kwa uongozi wa Roho mtakatifu kwa lugha nyingine hazibuniwi ndo maana chini yake kuna mstari wa biblia. PM NIMEIFUNGA...
47 Reactions
679 Replies
40K Views
Leo nikiwa natumia whatsapp nimekuta picha ya namba yangu ya Tigo kuna mtu mwengine kajipiga selfie Naenda kuangalia usajili wa majina kwa njia ya kutuma pesa nakuta majina tofauti. Hili jambo...
8 Reactions
33 Replies
1K Views
Anonymous
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Masasi - Nachingwea (MANAWASA) imekuwa haitoi maji katika baadhi ya maeneo ya Nachingwea kwa muda mrefu, wakati mwingine inaweza kuchukua mwezi bila maji...
0 Reactions
0 Replies
202 Views
Salute! Nakumbuka mara yangu ya kwanza kuingia Afrika Kusini ilikuwa mwaka 2015, nikiwa chuo mwaka wa 2. Kuanzia hapo safari za kwenda huko Bondeni zikawa ni za mara kwa mara. Lkn kwa bahati...
163 Reactions
403 Replies
86K Views
Wakuu Rais Samia akiongea kwenye Mkutano wa Nishati wa Wakuu wa Nchi za Afrika leo Januari 28,2025 Jijini Dar es salaam. "Tanzania ni moja ya Nchi 12 zitakazozindua mpango mahususi wa kitaifa...
2 Reactions
28 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Bodi ya Mwananchi Communications Ltd, David Nchimbi (wa tano kutoka kulia) akimkabidhi tuzo Elizabeth Muro (kushoto), Mkurugenzi wa Sheria na Uadilifu wa Biashara wa SBL kwenye tukio...
0 Reactions
1 Replies
316 Views
Mshikaki unabeba viungo ambavyo vinafanya mda mfupi kuiva haraka. Kwa mtazamo unaona kabisa serikali inaweza kuwa mshikaki sababu ina viungo vyote. Ukija upande wa nyama choma kwa wananchi hawa...
1 Reactions
1 Replies
279 Views
Nilichojifunza sio kila mtu anagusika . Kuna jirani yetu ukimjaribu basi lazima mpoteane . Nilimfata na kumuuliza inakuaje kila anayetaka kukufanyia ubaya au anayekufanyia anapoteana Alinijibu...
16 Reactions
122 Replies
5K Views
Kwenye maisha kuna mambo ambayo mtu hawezi kuyapanga "Nature takes its course" hauwezi kupanga uzaliwe Taifa gani , Mkoa gani , Rangi gani , Kabila gani , familia ipi au hata Dini gani . Hakuna...
13 Reactions
48 Replies
1K Views
Unawaza, “Nitafanya kesho,” lakini kesho haiji. Unataka kufanya mambo makubwa, lakini hata kuanza kunahisi kuwa ngumu. Unafikiria kuandika kitabu, kuwa na afya bora, au kujifunza jambo jipya...
3 Reactions
2 Replies
405 Views
Back
Top Bottom