Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

VIAMBATANISHO MUHIMU WAKATI WA KUOMBA MKOPO KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU. Barua ya maombi ya Mkopo ikitaja kiasi cha fedha kinachoombwa na kikundi. Nakala ya katiba...
3 Reactions
4 Replies
2K Views
Tukiachana na vyoo vya umma bado miji yetu inakosa kitu muhimu sana. SEHEMU ZA WATU KUVUTIA SIGARA. Inakera sana kuona watu wakivuta sigara popote pale katikati ya mji na kuleta kero kwa...
0 Reactions
3 Replies
300 Views
Familia ya Abeid enzi za uhai wao Habari wakuu ujumbe huu nimeupata kutuko group moja nikaona ni vyema kushare wa Watanzania wenzangu Ili tuchukue tahadhari[emoji24][emoji24][emoji24] Inauma Sana...
54 Reactions
246 Replies
29K Views
Usiombe biashara ife au kazi iote mbawa, naishi maisha ya kuungaunga mwezi wa pili sasa baada ya kibarua kuota nyasi, poleni sana kwa mliowai kuishi maisha haya, maisha ya kula mlo mmoja na...
47 Reactions
187 Replies
17K Views
Karibu utiririke…
5 Reactions
34 Replies
2K Views
Kama sio asili inachukua mkondo wake kwamba haya yanatotokea hayana budi/ yana budi kutoka, basi kuna genge la watu lina nia mbaya sana na Tanganyika huko mbeleni Ama la linafanya haya yote kwa...
3 Reactions
13 Replies
790 Views
Wadau hamjamboni nyote? Tafakuri ya kina kwa wanatheolojia na wenye ilimu wote Karibuni tujifunze
3 Reactions
44 Replies
1K Views
Kabla ya Wakoloni hawajaanza kutawala Africa baada ya mkutano wa Berlin wa 1884/1885 Africa ilikuwa haijawahi kuwa na hospital, shule, reli, barabara, mfumo wa sheria, mahakama na umeme. Hivi...
1 Reactions
2 Replies
329 Views
1. Los Angeles ni nyumbani kwa wakazi wengi zaidi wa Wenyeji wa Hawaii nje ya Hawaii, kutokana na uhamaji mwanzoni mwa karne ya 20. 2. Ishara ya Hollywood awali ilisomeka "Hollywoodland" na...
4 Reactions
8 Replies
2K Views
UNAUFIKIAJE UTAKATIFU?. Katika mambo ambayo, watu wamefungwa na kuona ni ngumu ni hali ya kufikia utakatifu. Kanisa katoliki wamebaki kutangaza watu fulani, kuwa ni wenye heri na watakatifu...
3 Reactions
15 Replies
828 Views
Ongeza Maarifa Yako! JE, WAJUA?❓ Ndege hawakojoi. Farasi na ng'ombe hulala wakiwa wamesimama. Popo ndiye mamalia pekee anayeweza kuruka. Mifupa ya miguu yake ni myembamba sana kiasi kwamba...
6 Reactions
17 Replies
2K Views
Wadau hamjamboni nyote? Nauliza nipate kujua, nipate ilimu na maarifa Swali lijibiwe bila mihemuko au hisia au chuki au kutegemea ushahidi wa wengineo Leteni ushahidi wenu Wasabato...
4 Reactions
23 Replies
964 Views
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, amesema Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam imeanza mchakato wa kuboresha sekta ya usafiri wa bodaboda kwa kusajili madereva, kuwapatia namba za...
0 Reactions
3 Replies
416 Views
Yaani huku mtaani ni shida sana, nchi yetu imekuwa kama haina kiongozi mkuu wa kukemea yaani. ...wageni (wahindi, wachina n.k) wanazidi kuongezeka mitaani. wamegeuka mamachinga wanazungusha...
9 Reactions
41 Replies
2K Views
Habar za saiz wakubwa.. Akili bandia (kwa Kiingereza: Artificial Intelligence, AI) ni teknolojia inayohusisha utengenezaji wa mashine au mifumo ya kompyuta yenye uwezo wa kufanya kazi ambazo kwa...
4 Reactions
42 Replies
2K Views
Ndugu yangu anaitwa Ester Wilbard, nilipotezana nae mwaka 2012 akiwa Katoro Geita, alikua anajihusisha na kazi ya mama ntilie ila kwao ni mzaliwa wa Ngara. Lengo la kumtafuta aliacha mtoto wake...
11 Reactions
35 Replies
2K Views
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Poleni ndugu zetu wa kkoo na wahanga wote ambao mmepta mtihani huo, Leo ngoja niwakumbushe vitu muhimu ambavyo vinatakiwa tuvifanye katika...
39 Reactions
60 Replies
4K Views
Wandugu Habarini, Binafsi Kila Nikiamka Asubuhi Baada Ya Kumaliza Ratiba Za Kawaida Hua Naingia Kwenye Mitandao Mitatu Ya Kijamii Kwa Muda Wa Masaa Mawili. Hua Naanzia WhatsApp, Nakuja...
8 Reactions
26 Replies
1K Views
CCm ndio Serikali yenyewe Kitendo cha awamu hii ndani ya miaka 5 mmeshindwa kuwaletea wananchi mabasi ya mwendokasi watu wanapata mateso alafu nakuja kuona yutong za ccm kma 30 na ushee...
6 Reactions
28 Replies
2K Views
Dar ni Jiji la kwanza kwa maendeleo Tanzania na yamkini Afrika Mashariki. Dar imejaa Fursa mbalimbali za kujikwamua Kiuchumi kwa kijana mtafutaji na mpambanaji hasa ambae ana lengo la kutoboa...
19 Reactions
243 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…