Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Taarifa ninazozipata kutoka ukumbini pale Mlimani City katika uchaguzi wa CHADEMA Taifa, ni kwamba Team Mabadiliko imeibuka kidedea. Hii ni taarifa njema kwa Tanzania Huu ni msiba kwa CCM Hii...
28 Reactions
76 Replies
3K Views
Na nasikia Mmoja wao Watu hawataamini kuwa nae kafika Bei kwani katikati mwaka jana alipiganiwa na kuonewa mno Huruma lakini huyo huyo kaamua Kusaliti na Kufika Bei. Wengine Wawili waliobakia...
0 Reactions
3 Replies
513 Views
🀣🀣🀣 Ndugu yangu ukata ni stage ya kila mtu, unapokuwa katika stage hii unakuwa stressed kutokana na limitations za bajeti yako so kinachofatia ni kujifariji kwa maamuzi unayofanya yaliyo ndani...
6 Reactions
39 Replies
1K Views
Una maoni gani
9 Reactions
72 Replies
4K Views
Uzi wa kutupia clips na screeshots zinazohusu ishindi wa Lisu tarehe 22/01/2025 Kupitia hapa, pongezi hizi ni muhimu kwa kumbukumbu tutakapompongeza tena hapo Oktoba 2025
2 Reactions
17 Replies
987 Views
Yaani unamdhulumu ama kumtapeli mtu kiasi fulani cha pesa,kiwe kikubwa au kidogo,halafu hakupeleki mahakamani,halafu hakumbushii tena deni analokudai. Halafu mambo yake biashara zake zinaenda...
8 Reactions
21 Replies
1K Views
https://www.youtube.com/watch?v=tjFWwo6VAx8 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, DKt. Samia Suluhu Hassan Akiwaapisha Majaji wa Mahakama ya Rufani, Ikulu Chamwino Dodoma, leo tarehe 22...
0 Reactions
7 Replies
994 Views
Macho yangu ya Kiyahudi ambayo huwa yananipa hadi Hisia za Mtu kamwe hayajawahi Kukosea. Kaumia atahama.
5 Reactions
11 Replies
834 Views
Kuna vijana wanaotoka kwenye mazingira magumu lakini wanashinda changamoto na kufanikiwa maishani. Unadhani ni nini kinachowasaidia kufanikisha haya licha ya changamoto kubwa wanazopitia? Na...
10 Reactions
53 Replies
2K Views
Thinking being, hebu jiheshimu, be noble Ni vipi unaweza kujifikiri na ukawa yule unayefikiri kuwa?! Nafikiri mimi ni mtu wa watu, mcheshi, sina makuu, sifa zote za kikristo nipe mimi niliye...
0 Reactions
0 Replies
217 Views
Hongoreni wana Chadema Kwa kufanya uchaguzi Kwa utulivu na amani , Wadau wengi walikuwa wakiandika juu ya ushindi wa Lisu humu mitandaoni na maoni ya wengi yalikuwa yanaonesha kuwa Lisu...
5 Reactions
13 Replies
738 Views
Jamaa yangu ananiambia maneno haya akiwa na huzuni sana. Kama kuna jambo sitakuja jisamehe ni hili la kufikiria kuwa Yericko Nyerere alikuwa anafahamu mambo ya ujasusi. Hili sitajisamehe kwa...
5 Reactions
7 Replies
697 Views
Habari zenu TANESCO mkikata umeme asubuhi tunaomba rudisheni umeme saa kumi na mbili wengine tunaishi mazingira mabaya sana ukikaa vibaya umelala na nyoka kitandani na mna jifunika pamoja kwenye...
3 Reactions
15 Replies
575 Views
Leo ni wiki inafika na sijapata huduma. Update : Leo tarehe 21/12/2024 saa tisa na dakika 35 tanesco wamefika na wametatua tatizo Asante sana meneja asante sana mdau Sope suazo kwa kunipa namba...
4 Reactions
46 Replies
2K Views
Baada ya mechi ya Simba kuisha Tanesco mkachomoa fyuzi, hivi sasa saa 00:00 hamjarudisha umeme Mbagala Dar es Salaam, Sasa saa 00:04 mmerudisha umeme! Mungu awalaani.
0 Reactions
2 Replies
306 Views
Kuna vitu hapa duniani huwezi kuvielewa mpaka akueleweshe Likud. Kuna watu hapa JF WaPo addicted with my opinion about everything. They love the way I think. Sio Kwa meseji hizo inbox wakiuliza...
8 Reactions
20 Replies
1K Views
Simba katuheshimisha Watanganyika.. Kamnyoa kipara mwarabu. πŸ’ͺπŸΏπŸ™πŸΏπŸ’₯πŸ’₯..! TAL ni SIMBA kwa alama .. Ni alama Ya uthubutu mkubwa na fearless.. Tumeanza na SIMBA tunamaliza na LISSUπŸ’ͺ🏿πŸ’ͺ🏿πŸ’ͺ🏿 Huko chama...
16 Reactions
36 Replies
1K Views
Asante, Donald J. Trump! Rais Trump ametimiza ahadi ya kampeni kwa wafuasi wa chama cha Libertarian katika siku yake ya pili ya kurejea ofisini kwa kumsamehe muundaji na mmiliki wa tovuti ya...
2 Reactions
0 Replies
393 Views
Nakumbuka Mwaka 2012 Kipindi Ujana Maji Ya Moto πŸ˜‚, Nilianzaga Mazoezi Ya Ngumi Kwa Ajili Ya Self Defense (Deep Down Ni Ukorofi Tu Ndo Ulikuwa Unanisumbua) Basi Bana Nikapiga Tizi Usiku Na...
2 Reactions
5 Replies
476 Views
Habari ya asubuhi, nimekuwa mfuatiriaji wa huu UCHAGUZI na kipindi Cha kampeni CHADEMA ila hawa baadhi ya makada heshima ZAO ZITASHUKA Kwa kiwango Cha 4g badhi ni hawa. 1. Yericko Nyerere...
6 Reactions
28 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…