Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu, Licha ya kuwa asilimia kubwa ya watu wameacha tamaduni na mila zao za asili kwa utetezi kwamba zimepitwa na wakati. Lakini kuna msemo wa wahenga unasema mtu haachi asili yake,hata wewe...
4 Reactions
21 Replies
951 Views
MAMBO MAKUU UNAYOTAKIWA KUFANYA PALE UNAPOHISI KUTENGWA NA WAZAZI, NDUGU NA MARAFIKI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Vijana wengi wamejikuta katika hatua ngumu na Mbaya katika maisha yao baada...
16 Reactions
49 Replies
2K Views
So I came to realize that it is all about time. Knowing 1. Where to put time 2. Where to take time 3. Where to time 4 where to be on time 5. Knowing the time 6. What will be on those time You...
3 Reactions
11 Replies
479 Views
Ismail Jussa, makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Zanzibar aneleza kuwa licha ya kuwepo kwa muwekezaji katika bandari ya Malindi lakini bado kuna changamoto katika kushusha mizizgo ambapo meli...
0 Reactions
1 Replies
361 Views
Wakuu, Awali ya yote nitakachokiandika hapa naomba kieleweke kwa Jicho la tatu sio Jicho la kawaida. Mwaka 2025 ndio mwaka ambao wanaume wengi hususani vijana watakatisha uhai wao kwa wingi...
9 Reactions
33 Replies
2K Views
Bodi ya wakurugenzi pamoja na Menejimenti ya mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira katika manispaa ya Mpanda wamefika mjini Moshi mkoani Kilimanjaro kwa lengo la kujifunza mbinu Bora za...
0 Reactions
0 Replies
330 Views
https://www.youtube.com/watch?v=VJmfnduWSJk The Chanzo imefanya mazungumzo na Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa juu ya masuala mtambuka ikiwemo suala la Serikali kuaminika kwenye taarifa...
0 Reactions
0 Replies
368 Views
Miaka ya nyumba wazazi wetu wakilipa Kodi ya kichwa ilikuwa elfu 5 tu. Napendekeza Kodi ya kichwa iwe elfu 50 Kwa mwaka. Kila mwanaume na mwanamke mwenye umri wa miaka 18 ambaye sio Mzee au...
4 Reactions
17 Replies
757 Views
Nyuso za wanadamu zinazidi kuwa fupi zaidi, hii inasababisha kupoteza meno. Kutokana na mabadiliko katika lishe, nyuso zetu zinapungua ukubwa, na tunakua na taya ndogo hii inamaanisha kuna kua...
2 Reactions
0 Replies
238 Views
Kwa muda mrefu sasa kila ninapokutana na video clip ya EFM radio ni ya watangazaji wake wakiwa wanafanya comedy. Hii redio wamehamia rasmi kufanya comedy? Kama hawajahimia mazima kwenye comedy...
2 Reactions
11 Replies
611 Views
Mara nyingi mwehu ndama Huwa Sina shobo na haya mapombe yenu ya bei mbaya , Lakini kwa kuwa nimeshakuwa mshua , na vumba langu ndani ya chodo linasoma kimtindo basi ushua wangu haujifichi kuanzia...
6 Reactions
31 Replies
1K Views
BABA MTAKATIFU FRANSISKO AMEMTEUA PADRE JOSAPHAT JACKSON BUDUDU KUWA ASKOFU MSAIDIZI JIMBO KUU KATOLIKI TABORA Hongera sana wanajimbo Kuu Katoliki Tabora, Hongera Taifa la Tanzania kwa zawadi...
6 Reactions
37 Replies
2K Views
Maji yanachukua takriban 70% ya uso wa dunia. Hata hivyo, bahari hizi ni za kina kifupi ikilinganishwa na ukubwa wa sayari yenyewe. Na ni 0.5% tu ya maji ya dunia ambayo yanapatikana hii...
3 Reactions
7 Replies
531 Views
Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) imesema leseni ya kampuni iitwayo Kalynda E-Commerce Limited iliyotolewa Juni 21, 2022 ni kwa ajili ya uuzaji wa jumla wa vifaa vya kielektroniki na...
8 Reactions
65 Replies
8K Views
Mshtakiwa katika Kesi Namba CC.5866, Baraka Benedicto ambaye anashtakiwa kwa kosa la ulawiti, licha ya kufika Mahakamani, Februari 26, 2025 ameshindwa kutoa ushahidi wake kama ilivyopangwa kwa...
3 Reactions
3 Replies
754 Views
Najua sisi wabongo ni wazito mno kujifunza lugha za watu zaidi ya kiswahili na kiingereza ila niwahimize vijana kujitahidi kujua kiingereza na lugha nyingine moja ya kimataifa. Kwa...
21 Reactions
58 Replies
2K Views
Maono ya taifa ni dira inayofafanua malengo makuu ya nchi kwa muda mrefu. Ni muhimu sana maono haya yatoke kwa wananchi wenyewe, kwani wao ndio wahusika wakuu na walengwa wa maendeleo. Makala...
0 Reactions
2 Replies
410 Views
Habarini wana jukwaa, ni asubuhi ya harakati na pilika pilika lakini katika hali ya kushangaza kuna watu wanataka kusababisha siku isiishe vizuri kwao na kwa watumiaji wengine wa barabara. Dereva...
2 Reactions
12 Replies
966 Views
Back
Top Bottom