Leo asubuhi nilichapisha uzi hapa kwenye jukwaa la siasa kuhusu Interview za walimu, wengi waliunga mkono hoja ya kuwa interview ziendelee lakini wachache waliendelea kuweka msimamo kua interview...
Mwalimu wa Madrasa, Musa Bashiru Musa (24) ambaye kipande cha picha jongefu (video) kilisambaa katika mitandao ya kijamii kikimuonyesha akiwapiga fimbo za mikononi wanafunzi wake, amepandishwa...
Nikushauri hapa Enyi Serikali hivi vifo visivyoeleweka vya Watanzania wenzetu huko Nje ya Nchi, Muwe mnavifatilia, kila Nafsi ya Mtanzania iwe yenye thamani
Basi ikishindikana, tutumie Ujomba na...
Ndugu vijana wenzangu Tanzania, hongereni kwa majukumu ya kila siku.
Mawaidha yangu muhimu kwenu leo, ni kuwaomba rafiki zangu wasomi wasaka ajira, kujitenga na uvivu lakini pia kuacha tabia ya...
Jiji la mwanza na wilaya ya ilemela hasa maeneo ya kuanzia mabatini mpaka nyakato hatuna hduma ya maji toka jana siku ya Alhamis tarehe 27/2/2925 mpaka leo Ijumaa ya tarehe 28/2/2025.
Maji...
" Jana Niliona toleo lilotamalaki sana kwenye Vyombo vya habari kuwa Wazazi wasiwapeleke Watoto wao Kusomea Ualimu kutokana na Maslahi Kiduchu amabyo mwalimu Anapata au Analipwa.
Nikaenda mbali...
Vilaza ndo utawakuta gyms wanakuza vidali,shingo,mgongo,Makario,mapaja na wanafanya kegel
Watu wenye I Q kubwa kuanzia 100+ utawakuta wanafanya squash, jogging , cycling,hiking,ping pong,chess na...
Habari ya asubuhi wanabodi kijana wangu anahangaika kuomba ajira katika jeshi la zimamoto na uokoaji ila cha ajabu portal yao inasumbua inakataa taarifa inaandika processing tu kwa aliefanukiwa...
Nimeona hii qoute ya habari
Kwa upande wake Mkurugenzi wa Nishati Jadidifu na Teknolojia Mbadala akizungumza kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu wa REA, Mha. Advera mwijage amesema mitungi ya gesi...
Sifahamu kama serikali ya Samia inathamini wananchi wa mikoa hii miwili katika suala la kupata habari kutoka chombo cha umma ambacho kodi zao zinachangia kukiendesha.
Usikivu wa TBC ni wa hovyo...
Katika documentation ya maisha yake, inasemaakana huyu simba aliua fisi karibia 400 na Madume wa simba 130.
Alijulikana kwa ujasiri wake na nguvu kubwa ya kupigania ngome yake kwa muda mrefu sana...
Mfano, mdada anauza duka au anatoa service yoyote, ikatokea nikammpenda au kumtamani kingono
Sasa, nikamtongoza na akanikataa, asee Huwa nasitisha kwenda dukani kwake kupata huduma, Hilo duka na...
Mimi ni Mtumishi wa Umma, ninahofu na usalama wa Taarifa zangu binafsi na za Utumishi kutumiwa na watu wasio sahihi.
Jumamne ya tarehe 3/12/2024 mtu mmoja mwenye namba 0768***684 ambaye baadaye...
Daniel Edigar Mkinga, Katibu NETO
"Viongozi wetu wa Serikali, kutokana na uhalisia wa wahitimu na changamoto zinazoonekana katika zoezi la usaili kwa kada ya ualimu, tunapendekeza yafuatayo...
https://youtu.be/9ebMOVI87h0?si=sJm0h1XJPQDVVuaQ
Jana nimetumiwa hiyo link na rafiki zangu ambao sio watanzania wakishtushwa na kukasirishwa na huyo mzungu akiwadhalilisha Watanzania hasa...
Kesi ya Zombe ni moja ya kesi maarufu za mauaji nchini Tanzania. Inamhusisha aliyekuwa Afisa wa Polisi, Abdallah Zombe, na maafisa wengine wa polisi waliotuhumiwa kuhusika na mauaji ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.