Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Anonymous
Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu SAUT CAMPUS ya Mwanza. Changamoto tuliyonayo hatuna canteen za chuo. Majengo yamechakaa sana imefika hatua wazabuni wamekimbia kwa miundombinu kuwa chakavu sana...
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Kama kuna Mzazi ambaye hujampeleka Mwanao kusoma SAUT Mwanza jua umepoteza bahati Kubwa na Ijutie sana.
8 Reactions
50 Replies
2K Views
Kwa wakongwe wa habri nchini, bila shaka mtakuwa mnamjua ndugu Charles Kayoka, huyu kwa mara ya mwisho alikuwa mwalimu wangu pale chuo kikuu cha Tumaini DSM, walai nilipenda jinsi alivyokuwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Inasikitisha miaka zaidi ya 60 ya Uhuru wa Tanganyika eti tunaagiza MAJENEZA China na Afrika Kusini?
2 Reactions
31 Replies
2K Views
Waziri wa Fedha Mhe.Dkt Mwigulu Nchemba amesema Marehemu Mzee Wilfred Ngure ambaye ni Baba Mkwe wake alikuwa ni Mtu mcha Mungu na mpenda Elimu. Dkt. Mwigulu amesema hayo leo Machi 25, 2025 wakati...
1 Reactions
5 Replies
637 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi kama ifuatavyo; 1) Amemteua Bw. Emmanuel Mpawe Tutuba, Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango kuwa Gavana...
21 Reactions
274 Replies
35K Views
Habari za leo wakuu, Ninafikiria kati ya njia mbili za kusafiri, aidha kwa pikipiki au kuisafirisha chombo yangu used kwa malori ya mizigo. Kwa wale wenye uzoefu na route hii kwa pikipiki...
9 Reactions
73 Replies
14K Views
Hapa nakitambulisho cha mpiga kura tangu 2015 hakina hitilafua hata nukta. Miezi kadhaa iliyopita nimepokea kitambulisho changu cha NIDA. Tena nawashukuru maana aliniletea mjumbe wangu wa Nyumba...
6 Reactions
23 Replies
1K Views
Hii itasaidia sana kuongeza uwakilishi wa wananchi katika vyombo vya maamuzi kitaifa na kusogeza huduma za kijamii kisiasa na kiuchmi karibu zaidi na walipo wananchi. Zaidi sana, itarahisisha...
0 Reactions
4 Replies
483 Views
5 Reactions
16 Replies
848 Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Rukwa limewakamata watuhumiwa watatu kwa tuhuma za kumuua Mwanafunzi wa Kidato cha Nne wa Shule ya Sekondari Kagwa iliyopo Manispaa ya Sumbawanga aitwaye Novatus Adelhard...
4 Reactions
50 Replies
3K Views
Vijana wa siku hizi acheni mambo mengi ya kijinga ambayo ni pamoja na: 1.Kubeti 2. Energy drinks 3. Pombe 4. Club life 5. Too much time on social media 6. Ushabiki wa mpira wa miguu uliopitiliza...
26 Reactions
115 Replies
5K Views
Kampuni kubwa za Kichina zinazojihusisha na uzalishaji wa saruji zimeibuka kuwa tishio kubwa kwa wazalishaji wa ndani katika Afrika Mashariki. Kwa kutumia mitaji mikubwa na mbinu za ushindani wa...
6 Reactions
42 Replies
3K Views
Habari wakuu nimekuta bandiko katika ukurasa wa Prof. Jay kuhusu kukamatwa kwa msanii ROMA na kuchukuliwa kwa baadhi ya vitu vya studio ya Tongwe record sijui ni kiki au kweli? Mwenye kujua...
6 Reactions
651 Replies
116K Views
Serikali imebadili mtaala na kuanzia mwaka huu, wanafunzi wa kidato cha kwanza wataanza kusoma mtaala mpya. Hivyo Serikali imeamua kuwapa semina walimu ili kuendana na kasi ya mtaala mpya. Pia...
25 Reactions
180 Replies
7K Views
Za jioni ndugu, nahamia sehemu, na sababu ni nyumba mpya Umeme Bado haujaunganishwa na zero taarifu, ila lengo langu nikitimiza masharti basi niunganishiwe ili niweze kuchezea kwenye units 75...
3 Reactions
82 Replies
19K Views
MAMBO MAKUU YANAYOONYESHA ALIYEMBELE YAKO NI MWANAMKE WA SHOKA. SUPER WOMAN; SIFA ZA MWANAMKE BORA ANAYEJITAMBUA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Ni kweli mwanamke Bora,mwema na super woman...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Iko hivi kipindi nasoma miaka hiyo nilikua na jamaa yangu mmoja tulikua majirani na wazazi wetu walikua marafiki sana. Tulikua tunasoma darasa moja kuanzai darasa la tatu hadi form four...
17 Reactions
30 Replies
2K Views
MWANANGU nisikilize kwasasa Wanawake watakuacha saaana tu, Mabinti hawatodumu kwenye maisha yako ila lisikupe shida, kanuni ya maisha ni kuwa Paka hakai na Msela, mara atakwambia haupo romantic...
10 Reactions
15 Replies
988 Views
Wasalaam, (Maalumu kwa kijana wa kiume kati ya umri wa miaka 20-30) Kwako mpendwa kijana wa kiume. Inaweza hii ikawa si mara ya kwanza kuona nyuzi za namna hii au zenye kufanana na hii...
47 Reactions
142 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…