KERO Canteen za Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agostino (SAUT ) Mwanza zimechakaa, hazifai kwa matumizi

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu SAUT CAMPUS ya Mwanza. Changamoto tuliyonayo hatuna canteen za chuo. Majengo yamechakaa sana imefika hatua wazabuni wamekimbia kwa miundombinu kuwa chakavu sana.

Majiko yanavuja wakati wa mvua. Majengo yamechakaa sana kiasi kwamba hata sisi wanafunzi hatuna imani na chakula kinachopikwa kenye canteen hizo kwani ni chakavu na mbovu sana. Pia mazingiza kwa ujumla ya kupumzima na kupata chakula ni changamoto sana.

Kutokuwa na hoteli (canteen) chuoni hapo inapelekea pia wanafunzi wa mwaka wa kwanza wanapokuja kwenye usahili hukosa maeneo ya kula ukizingitia ni wageni hulazimika kwenda mtaani pia huko si salama wengine huibiwa.

Kuna hoteli (canteen) nne zote ni chakavu sana na hazina wazabuni

Pia soma
- Chuo cha SAUT badilikeni,chuo kama shule ya msingi

saut.jpg
 
Majengo mbona kama ya shule ya sekondari. Mbona Jordan University na RUCO pako vizuri sana,hapa pana nini na ni chuo kikongwe?
 
Back
Top Bottom