Najaribu kutafakari hawa wazungu ijalishi ni wachina,wazungu wenyewe mpaka waarabu wa saudia na wahindi.
Vuta picha wakija afrika bila chochote na sisi twende kule kwao na vyote vyetu itakuwaje
Habari zenu ndugu zangu ,
Habari za Mfungo wa Ramadhan &Kwaresma!
Swali hili nimekuwa nikijiuliza na kupata maono ya watu wengi hasa wazungu : Ni kipi kinafanya watu kuletana kwenye dunia yenye...
Katika kipindi cha miaka minne ya uongozi wa serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan manispaa ya Songea iliyopo mkoani Ruvuma imenufaika kwa utekelezaji wa miradi ya...
Hili ni Daraja la Kijiji cha Mirongoine, Kata ya Mbuyuni mkoani Arusha viongozi wamekula fedha ya ukarabati wa daraja hili hadi inapelekea Wajawazito kuvunjika wakijitahidi kuruka kwenye mawe ili...
Serikali imetoa Sh bilioni 106.4 kufanikisha miradi ya maji, afya, barabara, umeme na elimu katika jimbo la Bukoba Vijijini mkoani Kagera kwa kipindi cha miaka minne, Mbunge wa jimbo hilo, Jassoni...
Mifumo ya AI inaendelea kukua kwa Kasi ulimwenguni, lakini watafiti toka MIT wamegundua kuwa mifumo hiyo ya AI inajifunza pia kutudanganya Wanadamu pamoja na kuwaendesha kupelekea kuibua wasiwasi...
Mwanadamu ana nguvu mbili ya ndani na ya nje .
Mwanadamu ameumbwa akiwa kamili au kwa mfano wa Mungu, uungu u ndani mwake,hivyo haitaji nguvu toka nje ili aweze kujiendesha labda tu kwa asiyeelewa...
MUSOMA VIJIJINI, ELIMU: "THE DIALOGUE" - MJADALA WENYE MAPENDEKEZO YA UBORESHAJI WA UFUNDISHAJI, UJIFUNZAJI NA UELEWA WA WANAFUNZI WETU
Tarehe:
25 - 27 Machi 2025
Wataalamu:
1. Dr Zabron...
CHADEMA inamshutumu Amosi Makala ikidainalieleza Uma kuwa CHADEMA ina mpango wa kununua Virusi vya kuangamiza Wanachama wa CCM.
==========
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimeagiza...
Kuvuta bahati na pesa ni ndoto ya watu wengi, lakini hakuna njia ya haraka au ya hakika ya kufanikisha hilo. Hata hivyo, kuna mbinu na mazoea ambayo yanaweza kukuweka katika nafasi nzuri ya...
Kuna jamaa,yuko kwenye mahusiano na binti mmoja wamezaa na mtoto wanaishi pa1.
Mwanamke wake waliyezaa nae ana mtoto mwingne tayar alizaa kitambo huko kabla hajakutana na mwana ,hata baba...
Hawa mafundi waliosomea au waliopata ujuzi site na baadaye wakaamua kujiajiri wanaishi kwenye uhuru wa kifedha kuliko watumishi wengi wa umma.
Ukiondoa watumishi wa umma wezi kundi lingine lote...
Tutakumbuka Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam lilieleza kwamba kuanzia Februari 18 hadi 22,2025 liliwakamata watuhumiwa 26 kwa tuhuma za kujihusisha na biashara haramu ya upatu...
Nimeshangazwa na kusikitika na kinachoendelea nchini kuhusu hali ya hewa.ni kipnd cha mvua sahivi cha kusikitisha karibia maeneo yote nchini hayana mvua,mazao yamekauka mashambani TMA MKO KIMYA...
Wakuu nawasalimu Kwa upendo wa dhati kutoka kwangu.
Amani na huruma za Mola ziwe kwenu nyote
Kuna hii kitu inaitwa hijaama ama kupiga chuku ama kutoa damu chafu mwilini. ni kitu inafanywa sana...
Je, ni kweli kwamba pesa zitolewazo na bank ya dunia ili kugharamia miradi ya maji vijijini kupitia ruwasa (p4r) imekwama kutokana na serikali kutumia fedha hizo kwenye mambo mengine nje ya miradi...
The Zanzibari-British Nobel laureate (Literature, 2021) Abdulrazak Gurnah, released his first book after receiving the Nobel Prize.
Titled simply "Theft", the book is out since March 18 2025.
I...
Habari kutoka Busega Halmashauri ya Busega ya Mkoani Simiyu, imeelezwa kuwa, viongozi na Watumishi wa Serikali wapo kwenye orodha ya kuhujumu uchumi kufuatia kutoa tenda na kufanya minada pasipo...
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Igunga mkoani Tabora, Athumani Francis Msabila amekamatwa na Jeshi la Polisi wilayani humo na kuwekwa mahabusu katika Kituo Kikuu cha Polisi wilayni humo...
Mikoa ya Tanzania kwa Ukubwa wa Eneo
Mikoa Mikubwa kwa Eneo:
1️⃣ Tabora – 76,151 km²
2️⃣ Rukwa – 75,240 km²
3️⃣ Morogoro – 73,139 km²
4️⃣ Lindi – 67,000 km²
5️⃣ Ruvuma – 66,477 km²
Mikoa ya...