Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Biblia ya Kikristo ya Ethiopia, inayojulikana kama "Orthodox Tewahedo Bible", ina vitabu zaidi kuliko Biblia za Kanisa la Magharibi. Kwa jumla, ina vitabu 81, ikilinganishwa na vitabu 66 vya...
5 Reactions
8 Replies
1K Views
Kuna kasumba imejengeka ambayo inaweka classes za watu kulingana na Mkoa wanakotokea. Mathalani Mikoa ya Business Class (VVIP) ,Hawa Hujiona superclass na kwamba wanastahili attention Dar Arusha...
18 Reactions
224 Replies
11K Views
Nani anaikumbuka hii kesi ya mganga wa kienyeji aliyekamatwa na fisi? amehukumiwa leo. Mahakama ya Wilaya Bariadi mkoani Simiyu imemhukumu kifungo cha miaka 20 jela pamoja na kuchapwa viboko 12...
10 Reactions
63 Replies
3K Views
Tatizo hili limekuwa sugu sana, Karibu kila chuo kuna wahadhiri hunyanyasa mabinti kwa kutumia kisingizio "Mwalimu na mwanafunzi wa chuo wote ni watu wazima" wengine wamewahi kufumaniwa baada ya...
9 Reactions
23 Replies
2K Views
Ninahitaji kuongeza account kati ya benki hizo mbili Crdb na Nmb. Nakumbuka hapo zamani Crdb na Nmb process zilikuwa ndefu sana wiki 1 hadi 2 Mambo yamebadilika ????
2 Reactions
14 Replies
895 Views
### Kanisa la Orthodox la Kikopti (Coptic Orthodox Church) Ni Nini? Kanisa la Orthodox la Kikopti ni moja kati ya makanisa ya kale zaidi ya Kikristo yanayofuata mapokeo ya Kiorthodoksi ya...
0 Reactions
2 Replies
603 Views
Exposure ktk elimu, sayansi na Tech? Kuathirika na utapeli wa kidini? Exposure ktk Atheism literature? Globalism na World wide sharing? ????????????????????????????????
1 Reactions
3 Replies
324 Views
Assalaam alaykum, Leo bhana wakati nimemaliza kuftari na kushiba basi yakawa yanakuja mawazo kedekede kuhusu mafundisho ya dini.... Nimetafakari nimeona waislam wengi wetu tunamchukia nguruwe...
43 Reactions
211 Replies
6K Views
Dar es Salaam. Wafanyabiashara wengine watatu wa Kariakoo, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashtaka ya 31 ya kuua bila kukusudia. Wafanyabiashara hao ni...
2 Reactions
0 Replies
645 Views
Nilishawahi kusema hapa JF kuwa Serikali ya Tanzania haina Ubavu kwa Simba na Yanga nikabishiwa je, sasa mmeona?
0 Reactions
1 Replies
312 Views
Mamlaka ya maji safi na salama Moshi - MUWSA, Sasa wanafanya kazi kwa mazoea kama sio kufuru na kudharau wateja wa maji safi na salama. Kauli inayosema "mteja ni mfalme" imegeuka na sasa mteja...
3 Reactions
21 Replies
1K Views
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuhukumu kifungo cha miaka 99 jela Salma Mntambo baada ya kupatikana na hatia katika mashitaka 17 ikiwemo kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu. _ Miaka hiyo...
12 Reactions
55 Replies
3K Views
Habari wakuu, Nimekuwa nikifuatilia mijadala mitandaoni, hasa kwenye Facebook, X na hapa JF, kuhusu sakata la Wachina kwenye biashara za rejareja. Inaonekana wale ambao hawafanyi biashara au...
8 Reactions
81 Replies
4K Views
Nakatiza pande za mtaa wa Kongo. Nyomi la hapa si la mchezo. Watu tunatembea kwa kusukumana. Jua la utosi. Afu katikati ya msongamano unamkuta mama akiwa na mtoto mgongoni. Daah unaishiwa pozi.
3 Reactions
1 Replies
294 Views
Duniani tunaishi tunaishia. College mate wangu ametuacha mapema sana taarifa tumezipata kwenye group la chuo miezi mitatu toka kufariki kwake na ndipo tukajichanga kwenda kumfariji mjane. Na hapa...
6 Reactions
48 Replies
1K Views
Leo nitafurahi kama nitalipata Jibu moja ambalo nalihitaji ili nithibitishe kuwa 99% ya Wateja waendao hapo ni ...................!!!
1 Reactions
13 Replies
887 Views
Kada wa Chama cha mapinduzi (CCM),Deo Mushi ameendelea kuwasha moto juu Sakata la kuuzwa kwa shamba la Shule ya Wereni iliyopo Kata ya Kibosho Magharibi . Katika clip yake iliyosambaa kwenye...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Anonymous
Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu SAUT CAMPUS ya Mwanza. Changamoto tuliyonayo hatuna canteen za chuo. Majengo yamechakaa sana imefika hatua wazabuni wamekimbia kwa miundombinu kuwa chakavu sana...
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Kama kuna Mzazi ambaye hujampeleka Mwanao kusoma SAUT Mwanza jua umepoteza bahati Kubwa na Ijutie sana.
8 Reactions
50 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…