Nyoka kibisa
JF-Expert Member
- Nov 30, 2014
- 947
- 2,601
Duniani tunaishi tunaishia.
College mate wangu ametuacha mapema sana taarifa tumezipata kwenye group la chuo miezi mitatu toka kufariki kwake na ndipo tukajichanga kwenda kumfariji mjane.
Na hapa ndipo wazo likaniijia dunia ya sasa watu tuna makundi mengi ya kufarijiana katika matatizo mbalimbali na katika raha pia tukianzia na wale tuliosoma nao primary, sekondari, chuo wale tuliotoka mtaa/kijiji kimoja makundi ya kazini na tumeunganishwa kwa mitandao ya kijamii hasa whatsup. Tunachangiana harusi, misiba na magonjwa
Sasa jiulize je?, Unaokaa nao wanajua makundi uliyojiunga hata likitokea la kutokea wanaweza kutoa taarifa huko?
Au ndio tunaogopa kuwapa wake/waume zenu access ya kujua simu yako na makundi uliyojiunga yenye faida kwako?