Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

  • Poll Poll
Wakuu habari zenu niende kwenye mada moja kwa moja Nimekuwa nikiangalia ukuaji wa watoto wa kwetu na watoto wa kizungu Kupitia movie ata documentary mbali mbali ata series Nilichokuja Tambua ni...
4 Reactions
3 Replies
608 Views
Nimeskia Mkutano wa Chadema Huko Mbeya wanasema Ndani ya siku 7 Makala asipoomba radhi kwa chadema kwa kauli yake ya kuwa Chadema wanachangishana ili walete virusi vya Marbug na vingine...
15 Reactions
51 Replies
2K Views
Naam, imefikia pahala watanzania tunajitumbukiza kwenye vijistori vya hovyo hovyo na kuvinadi pasipo kufanya utafiti wa kina. Hili mimi naliona kama tatizo kubwa sana kwetu kama watanzania. Hivi...
37 Reactions
109 Replies
18K Views
Hakuna watu walio athiriwa na mtaala Mpya wa Elimu Tanzania kama wamiliki wa shule za EMs . Kwa sababu ya mtaala huo hata wale wazazi walio kuwa vichwa ngumu kuwatoa watoto Wao Ems kuwarejesha...
17 Reactions
229 Replies
9K Views
Nauliza tu hivi umeshawahi kulala kisha ukaanza kuota kwenye ndoto ukiwa unaona mazingira ni halisi kabisa bila kujua kwamba upo ndotoni ghafla bin vuu ndoto inaanza kuchangamka unajikuta aidha...
1 Reactions
10 Replies
574 Views
Ems schools ni shule za public zenye majengo private. Hazina tofauti na Kayumba. Kwa sababu zote Ems na Kayumba zinatumia mtaala wa Necta. Ems zinawapa wazazi wanao somesha shule hizo "...
28 Reactions
101 Replies
5K Views
ANAANDIKA BICHWA KOMWE:- Hizi shule zinazoitwa "international schools" zinafundisha nini cha ziada sana ambacho hakimo penginepo? Ni kweli, shule zina mazingira mazuri na yanayofurahisha, lakini...
18 Reactions
189 Replies
11K Views
Nasomesha Englisha Medoum ila ukweli ni kwamba sijawaji zikubali hizi shule, Shule zimejaa janja janja nyingi sana kuliko kutoa elimu ni full hadaa na wanajua fika kucheza na akili za wazazi...
31 Reactions
170 Replies
5K Views
#HABARI Mfanyabiashara wa madini Marwa Masese Festo (55) pamoja na mtoto wake John Marwa (30) wakazi wa Kunduchi Mtongani jijini Dar es Salaam, wameuawa baada ya kupigwa na vitu vizito kichwani na...
13 Reactions
137 Replies
20K Views
Binafsi ni muoga sana wa masuala ya mahakama najua yanaweza kupoteza muda na fedha pia, lakini pia kupoteza dira ya maisha kwa ujumla. Sasa basi nizingatie mambo gani ili nisije kujikuta kwenye...
4 Reactions
17 Replies
723 Views
Ukweli Mchungu wa maisha maisha yetu Baada ya kuzaa, nge mama huwabeba watoto wake mgongoni ili kuwalinda. Wakati huu, yeye hali na hutumia nguvu zake zote kuwaweka salama watoto wake, Kadiri...
11 Reactions
7 Replies
709 Views
Licha ya kero mbalimbali ambazo zimekuwa zikiripotiwa na Wananchi wenzangu kwa nyakati tofauti kuhusu Mwendokasi, lakini kuna kero ambayo imejitokeza kwa zaidi ya wiki sasa na haijapatiwa ufumbuzi...
0 Reactions
0 Replies
547 Views
Ndugu zangu wa JF nimetoka kusoma habari hii hapa chini kwenye strictly gosple. NDUGU YETU FANUEL SEDEKIA AMELALA JANA HOSPITALI YA PORIYA TIBERIA. MIPANGO YA KUULETA MWILI WAKE UNAFANYWA...
0 Reactions
55 Replies
33K Views
Habari, Mwenye mawasiliano na familia ya Marehemu Fanuel Sedekia naomba anisaidie. Ahsante
10 Reactions
163 Replies
40K Views
#Porojozabongo Asili ufata asili Nilikuwa Mimi na Dugo tukizungumza mambo fulani hivi yaliyokuwa yakitupa faraja, japo mahala pale palikuwa panachosha kelele za mitambo iliyokuwa ikifanya kazi...
1 Reactions
1 Replies
282 Views
Marafiki zake wanamchapia wake zake, Mabinti zake ni sukari ya mji, vijana zake akiwatafutia vibarua wiki moja wanarudi maskani kuchuja nafaka, hakika huyu msukuma ana balaa, sasa sijui ni...
8 Reactions
30 Replies
2K Views
Mimi ni HR katika benki mmoja hapa Tanzania. Kila baada ya miaka 2 huwa tuna utaratibu wa kuajiri vijana waliohitimu chuo kwa program ya “Graduate Management Trainees (GMT). Hawa GMT recruits...
24 Reactions
127 Replies
14K Views
Kwenye majiji angalau unaweza kuona barabara za lami au zege zinajengwa mitaani ila ni nadra sana kukuta barabara za vijijini zina lami, labda kwa mikoa michache kama Kilimanjaro. Kuna sera...
2 Reactions
5 Replies
426 Views
I am not very fluent in Kiswahili that's why I use English to write this thread. Lawyers or any other person with the knowledge about this matter are welcomed to share with us. Being a man is not...
5 Reactions
52 Replies
2K Views
Juzi kati nilisoma habari moja kuwa mama mmoja wa kambo huko ughaibuni alimfungia kijana wake wa miaka kumi na moja ndani kwa muda wa miaka 20. Kijana alikutwa akiwa na afya dhoofu kabisa. Mama...
2 Reactions
6 Replies
409 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…