Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Huwa naumia sana roho nikiona jinsi maliasili zinavyoteketea vijijini huku yule aliyetakiwa kusimamia akiwa ndiye kinara wa uharibifu huo. Hawa vijana wanaokuwa recruited kila mwaka sijui...
0 Reactions
0 Replies
215 Views
Mahakama ya Kuu Kanda ya Morogoro imemhukumu kunyongwa hadi kufa mshtakiwa Amos Martin Masua mkazi wa Kingolwila mkoani Morogoro kwa kosa la kumuua baba yake mzazi Martin Masua (84) mkazi wa...
0 Reactions
3 Replies
641 Views
Nimeshangazwa sana nilipojaribu kuangalia line za mitandao mingine zilizosajiliwa kwa namba yangu ya NIDA kwa kubonyeza *106# kisha nikachagua kuangalia line zote zilizosajiliwa kwa NIDA yangu...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Mfano unafanya biashara ya duka dogo unauza vinywaji, kuna mda friji linakua limepoa sana kiasi kwamba wateja wanalalamika vinywaji vyabaridi sana. Namatan kulizima friji lkn nakumbuka watu wengi...
12 Reactions
51 Replies
3K Views
Nimepanga kwenda Matembezi Baada ya Mwezi wa 6 Nataka Niwe uko kwenye huo mkoa kwa Siku 20 au kama zitazidi pia Ni jambo Jema. Naomba isiwe mikoa hii. 1.Musoma/ Mwanza, hapana, kwa Baba yangu(...
4 Reactions
73 Replies
4K Views
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake kuwa changamoto iliyojitokeza leo asubuhi katika njia za manunuzi ya umeme (LUKU) imefanyiwa kazi. Kwa sasa wateja wetu wanaweza...
1 Reactions
3 Replies
358 Views
Wakuu, Kuna vitu vinakasirisha kwa kweli iko hivi, Mimi ni mteja mwaminifu wa huduma ya maji mtaani kwetu,na ni miongoni mwa watu wanaotumia maji bombani kwa kiasi kikubwa Mtakubaliana na Mimi...
5 Reactions
29 Replies
1K Views
Kwanini Azam hajawekeza kwa Boti za kwenda Tanga, Lindi na Mtwara.
8 Reactions
96 Replies
15K Views
Si Serikali wala Sekta binafsi, ukiangalia, kwa uhalisia, kwa watu walio wengi, wanapata mishahara iliyo chini na uhalisia wa gharama za maisha. Mfano unakuta mwajiriwa wa Serikalini, graduate...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Anonymous
Mimi ni mkazi wa Mahina Mwanza, hii kero ya maji imekua Sungu Sana. Sasa tunazaidi ya siku 3 Hakuna Maji na Hakuna taarifa yoyote. Hivi wewe Mabula ni Mbuge au Boga
0 Reactions
0 Replies
91 Views
Yaani huu ulikuwa mkenge mmoja matata sana. Hakunaga gawio hata 100 ningejua milioni 3 yangu ningekunywa windoki tu. Dustbin. Ova
16 Reactions
111 Replies
9K Views
Jana nimefunga mita ya maji yaani maunganisho mapya kwa mara ya kwanza. Cha ajabu na cha kushangaza mita inaonesha nimetumia unit mbili. Sasa nikamuuliza fundi kuwa hizo unit 2 zimetokea wapi...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Hivi kwanini Mungu anazidiwa akili na Wanadamu?
1 Reactions
46 Replies
2K Views
Miaka hio ya 2000s hadi 2010s Zilikuwa shule flani za kishua na ndoto ya kila mtoto kwenda Kuna wakati walisema ni za yule mama Lwakatare Sijui zimeishia wapi siku hizi?
7 Reactions
36 Replies
2K Views
Hi 👋 Siyo jambo jipya wala geni au kwamba hujawahi sikia la hasha. Neno kahaba limetajwa sana kwenye vitabu vya dini bila shaka ukahaba ulianza tangu enzi hizo. Swali langu ni hili hapa...
26 Reactions
178 Replies
5K Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya tunajivunia mafanikio makubwa tuliyoyapata katika kipindi cha miaka minne ya Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi...
1 Reactions
3 Replies
671 Views
Watanzania wanatakiwa wafahamu kina LISU, Heche, Mnyika nk hawana cha kupoteza hata CHADEMA ikifa leo. Watakaopoteza na kula hasara ni watanzania. Madhila yote yanayowapata sasa Watanzania...
4 Reactions
4 Replies
295 Views
Kila kukicha au dakika hapa JF ni mada ambazo utolewa na wanaccm wakijua undani wa Mbowe kuliko wa wasira,nchimbi wala yule CPA makala. Lengo lao ni lipi na kwa nini wasijadili kuhusu watu wao...
2 Reactions
4 Replies
371 Views
Jana pale Kisutu iliunguruma kesi ya uchochezi namba 11805/2024 Jamhuri dhidi ya Malisa na Boniyai. Jamhuri iliwakilishwa na Mawakili Clemence Kato na Cathbert Mbilinyi. Upande wa utetezi...
8 Reactions
14 Replies
1K Views
Nimemsikia shehe wa DSM sheikh Walid akisema Mtume Muhammad SAW ndiye Mtume wa mwisho wa Mwenyezi Mungu Swali: Hawa akina Mtume Mwamposa na wenzake ambao sheikh mstaafu wa mkoa wa DSM Alhad Musa...
6 Reactions
39 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…