Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Yaani huu ulikuwa mkenge mmoja matata sana. Hakunaga gawio hata 100 ningejua milioni 3 yangu ningekunywa windoki tu. Dustbin. Ova
16 Reactions
111 Replies
9K Views
Jana nimefunga mita ya maji yaani maunganisho mapya kwa mara ya kwanza. Cha ajabu na cha kushangaza mita inaonesha nimetumia unit mbili. Sasa nikamuuliza fundi kuwa hizo unit 2 zimetokea wapi...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Hivi kwanini Mungu anazidiwa akili na Wanadamu?
1 Reactions
46 Replies
2K Views
Miaka hio ya 2000s hadi 2010s Zilikuwa shule flani za kishua na ndoto ya kila mtoto kwenda Kuna wakati walisema ni za yule mama Lwakatare Sijui zimeishia wapi siku hizi?
7 Reactions
36 Replies
2K Views
Hi 👋 Siyo jambo jipya wala geni au kwamba hujawahi sikia la hasha. Neno kahaba limetajwa sana kwenye vitabu vya dini bila shaka ukahaba ulianza tangu enzi hizo. Swali langu ni hili hapa...
26 Reactions
178 Replies
5K Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya tunajivunia mafanikio makubwa tuliyoyapata katika kipindi cha miaka minne ya Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi...
1 Reactions
3 Replies
671 Views
Watanzania wanatakiwa wafahamu kina LISU, Heche, Mnyika nk hawana cha kupoteza hata CHADEMA ikifa leo. Watakaopoteza na kula hasara ni watanzania. Madhila yote yanayowapata sasa Watanzania...
4 Reactions
4 Replies
295 Views
Kila kukicha au dakika hapa JF ni mada ambazo utolewa na wanaccm wakijua undani wa Mbowe kuliko wa wasira,nchimbi wala yule CPA makala. Lengo lao ni lipi na kwa nini wasijadili kuhusu watu wao...
2 Reactions
4 Replies
371 Views
Jana pale Kisutu iliunguruma kesi ya uchochezi namba 11805/2024 Jamhuri dhidi ya Malisa na Boniyai. Jamhuri iliwakilishwa na Mawakili Clemence Kato na Cathbert Mbilinyi. Upande wa utetezi...
8 Reactions
14 Replies
1K Views
Nimemsikia shehe wa DSM sheikh Walid akisema Mtume Muhammad SAW ndiye Mtume wa mwisho wa Mwenyezi Mungu Swali: Hawa akina Mtume Mwamposa na wenzake ambao sheikh mstaafu wa mkoa wa DSM Alhad Musa...
6 Reactions
39 Replies
2K Views
Ni jambo la kushangaza kuona baadhi ya wasomi(waliobobea katika elimu ya juu) wanaposhindwa kujibu hoja mitandaoni, wanakimbilia kutoa matusi ya kisaikolojia. Hoja hujibiwa kwa hoja. Mtu...
13 Reactions
50 Replies
2K Views
Ni kweli kabisa kama Yesu alivyoahidi katika Yn 14:13-14 tukimuomba Mungu jambo lolote tutapewa au tutafanyiwa. Nimethibitisha hilo mimi mwenyewe. Niliomba pesa ya kujenga nyumba na kununua gari...
31 Reactions
71 Replies
3K Views
Deodatis Balile amechaguliwa bila kupingwa kuwa Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) kwa kipindi cha miaka minne ijayo. Uchaguzi huo umefanyika leo, Jumamosi, Aprili 5, 2025, mjini...
2 Reactions
6 Replies
368 Views
Wazee wa ukoo mko wapi ? Vijana wenu wa kiume wanajazana kusuka Rasta saloon? ili kukemea na kushughulika nao? Yaani saloon za kike mtu unakaa foleni kusubiri wanaume wasuke rasta Moshi Aiseee
5 Reactions
8 Replies
494 Views
Dar kuna baridi na upepo kwa sasa je mlio mikoani hali iko vipi?
1 Reactions
138 Replies
12K Views
Hadi leo Januari 21, 2025, maeneo ya Isyesye hapa Jijini Mbeya haujapata maji kwa wiki moja sasa, tumetoa taarifa kwa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mbeya (MBEYA UWSA) lakini hatuoaji...
1 Reactions
2 Replies
539 Views
Kuna mtu amekwapuliwa simu na mtu waliyekuwa wanadaiana ripoti ipo polisi tayari ila leo ni siku ya pili namba akipigiwa anapokea naomba kujua Kuna ugumu gani wa huyu mtu kukamatwa na anatumia...
0 Reactions
5 Replies
360 Views
NYENYEKEENI WAUME ZENU: Ndoa nyingi zinaendelea kuvunjika kwa sababu uanaharakati wa kijinsia (feminism) umewafundisha wanawake kwamba hawapaswi kuwanyenyekea wanaume zao. Lakini ukweli ni kwamba...
13 Reactions
32 Replies
2K Views
Leo nilibahatika kukutana mjini London na Ahmed Rajab, Mohamed Abdullahi na Chama Omari Matata, waandishi maarufu barani Afrika na watangazaji wa zamani wa BBC. Kwa hakika ni nadhara kukutana na...
7 Reactions
9 Replies
2K Views
Salaam, shalom!! Nimesoma kitabu kimoja kinaenda Kwa Jina la (Waebrania 7:3), kwamba Kuna mtu anaitwa MELKIZEDEKI, Ambaye amefananishwa na YESHUA / YESU/JESUS,Kwa sifa zake, kwamba Hana baba wala...
1 Reactions
11 Replies
562 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…