Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Magufuli alipoingia alileta unemployment ya kiasi kikubwa sana. Majeshi ambayo ndiyo yalikuwa yakiajiri kwa wingi kutoka JKT hayakuweza kuajiri au yaliajiri kwa number chache sana. Kuficha aibu...
1 Reactions
14 Replies
306 Views
🔮 1. Merlin — mchawi maarufu wa Ulaya Merlin ni mmoja wa wachawi maarufu zaidi katika fasihi ya Ulaya, hasa katika hadithi za King Arthur. Anasimuliwa kuwa: Alikuwa mshauri wa King Arthur...
3 Reactions
24 Replies
450 Views
Haya makosa wanaume walio wengi wanayafanya pasipokujua mlipuko wake upo,na lazima ulipuke 1. Epuka "Fake Life" (Maisha ya Sifa) Wanaume wengi wanapoanza mahusiano, ili kumvutia mwanamke...
3 Reactions
4 Replies
135 Views
Mtoto mwenye (10) Elias Mashaka, mkazi wa mtaa wa Rungwa, Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi, amefariki dunia baada kujinyonga kwa kutumia kamba ya neti. Imeelezwa kuwa tukio hilo limetokea wakati...
4 Reactions
39 Replies
708 Views
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari ameeleza mpango wa kuwekwa huduma ya Internet bure katika Shule na Vyuo vote nchini Tanzania kwa ushirikiano na kampuni ya Viatel. Katika kipindi cha...
0 Reactions
1 Replies
82 Views
Basi ,Kuna jamaa mmoja alikuwa ameweka banda lake la kuuza Kahawa na Tangawizi nje ya nyumba niliyokiwa nimepamga. Basi nikawa mmoja wa wateja wake maana nilikuwa napenda draft hasa hakukuwa na...
6 Reactions
27 Replies
461 Views
TANZANIA imewataka Nchi Wanachama wa Mkataba wa Nairobi kuchukua hatua madhubuti na za pamoia kukabiliana na mabadiliko va tabianchi, uchafuzi wa bahari na matumizi yasiyd endelevu ya rasilimali...
0 Reactions
0 Replies
50 Views
Uhamisho ni haki ya mtumishi wa umma,japo kwa sasa haki hii imepokwa na kunyiwa kupitia mfumo wa ess. Ambapo sasa mtumishi ina muwia vigumu kuomba uhamisho kupitia mfumo huu kwani umewekewa...
4 Reactions
7 Replies
687 Views
True emotional whiplash is running a vast East African realm where the domestic policy is quiet, but the cross-border business imports are shockingly loud. Spare a thought for the realm’s leading...
0 Reactions
0 Replies
66 Views
Tazama uso wa huyu mnyama... 🐒 Nyani huyu anaitwa Bald Uakari, lakini kule Amerika Kusini anajulikana zaidi kwa jina la "English Monkey" (Kima wa Kiingereza). Sababu haina sayansi wala mambo...
2 Reactions
23 Replies
284 Views
Usidharau Mtu Kama Hujatembea Gari milioni 300, mtumbwi milioni 3. Hujui nani atakubeba ukipata tatizo. Kuna jambo moja ambalo maisha yanatufundisha kadiri tunavyosafiri na kukutana na watu...
2 Reactions
2 Replies
119 Views
Jamani , hapo Kweka ataangusha kisago cha haki kabisa!
1 Reactions
11 Replies
285 Views
Ruto, alias Kasongo ana umilia mengi!
1 Reactions
1 Replies
87 Views
Ukitoa wanaofanya kazi kwenye kada zifuafazo Udaktari Ufundi kama tanesco Walimu wa vyuo vikuu na shule ya msingi Polisi Wanajeshi Hawa wanatakiwa waendelee kuajiriwa kwa mfumo wa sasa kwa...
3 Reactions
55 Replies
2K Views
Nimeweka mafuta ya 50000 mshale hata hujapanda, maana nikieka unafika robo Nimemconfront attendant anaanza kusema gari langu bovu
7 Reactions
8 Replies
167 Views
Mkoa wa Dodoma umeendelea kutekeleza Kliniki za Ardhi katika maeneo mbalimbali kwa lengo la kusogeza huduma za ardhi karibu na wananchi, ambapo safari hii kliniki hiyo inafanyika Wilayani Chemba...
0 Reactions
0 Replies
51 Views
Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhandisi Anthony Sanga amesema Wizara yake inajipanga kuanzisha Kliniki ya Ardhi katika mashindano kama ya Shirikisho la Michezo ya...
0 Reactions
0 Replies
44 Views
Fikiria mfanyakazi anayeamka kabla ya jua kuchomoza, anapanda basi lililojaa watu, anafanya kazi kwa muda mrefu, anarudi nyumbani akiwa amechoka, kisha kesho anarudia tena. Katika mji huo huo...
1 Reactions
1 Replies
46 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…